Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.
Ndugu wajumbe salamu kwenu.
Leo mimi mwanaCCM mpenda haki nisiye na uchu wa madaraka na mpenda haki
Leo hukumu ya Mwkiti wa Chama kikikuu cha siasa nchini
Baada ya kuumbuliwa wale majaji wa maelekezo kule Lushoto kuhusiana na hukumu yao kuwa wanaandaa hukumu kwa kusaidiana na magenge ya wahalifu ya CCM, je tutegemee kubadili gear kwa kuwa deal hasi been discovered.
Wakati Bw. Nelson Mandela alipopewa na kubambikiwa Kesi ya uwongo ya ugaidi kule nchini Afrika Kusini enzi hizo za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu Bw. Baltazar Johannes Vorster, kwa jina lingine pia alikuwa anajulikana Kama John Vorster au kwa kifupi pia alikuwa anaitwa B.J. Vorster...
Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court)
Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika.
Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliomba rasmi uongozi wa Mahakama kuruhusu matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake, Tundu Lissu.
Hatua hii ilitangazwa mapema ili kutoa fursa kwa Watanzania na wadau wa demokrasia ndani na...
Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya Novemba 6, 2026, siku iliyopangwa kutolewa kwa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hali ya mvutano inaendelea kujitokeza kwa kauli na matamko.
Kauli ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuhusu uwepo wa...
Anonymous
Thread
hukumu
kesi
kesi ya tundu lissu
kuepusha
lissu
maslahi
maslahi ya umma
mubashara
sintofahamu
tundu
tundu lissu
umma
Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar.
Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
Hamjambo wote!
Ijumaa tarehe 6. Nitakuwa mmoja wa watu nitakaohudhuria hukumu ya kesi ya Tundu Antipas Lissu. Naamini kila kitu kitaenda sawasawa.
Nitakuwa hapo kama Mwakilishi wa Watibeli.
Mwenye kujua Venue, na muda sahihi anaweza kunijuza nisijefika hukumu imeshasomwa.
Nitakuwepo...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia jinsi hukumu ya kesi ya uhaini ya Tundu Lissu, inavyosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kwa kujiuliza kama je haki itatendeka na kuonekana imetendeka...
Hukumu ya Tundu Lissu ilipangwa kutolewa mnamo tarehe 6 Novemba, 2026. Zilikuwa imebaki siku 2 tu hukumu itolewe rasmi. Lakini kuna kitu cha hatari nakiona mbele. Mimi sio mtabiri wala mganga wa jadi lakini nina wasiwasi huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaahirishwa hadi mwakani kwa kisingizio...
Je Lema amepangwa atuandae kisaikolojia?
Kwa nini ameongea Baadhi ya mambo yaahakamani siku Tano kabla ya hukumu ya Tundu lisu?
Mfano eti kuna mbunge wa ujerumani alisema ni chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji.
Hapa lema ni kama anaunga mkono wauaji na kulaumu waandamanaji.
Hapa ni kama...
Ujumbe wa kutia moyo, kujenga matumaini na kutokata tamaa katika maisha.
Katika maisha kuna wakati unaweza kujikuta unapitia kipindi kigumu sana, kiasi kwamba kila unapoangalia mbele huoni matumaini yoyote. Unajaribu jambo hili linashindikana, unajaribu lile nalo halifanikiwi. Wakati mwingine...
..Kitendo cha jeshi la Magereza kukaidi amri ya Mahakama ni kuujaribu Mhimili huo.
..Nadhani ili Mahakama yetu isichezewe chezewe ni vizuri wakakunjua makucha yao.
..Kama hukumu na amri za Mahakama zinapuuzwa kuna umuhimu gani wa Mahakimu na Majaji kuwepo kazini?
..Kwa mtizamo wangu, ni vema...
CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia.
Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili...
Kwasababu kwa kawaida,
mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe.
Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
MAJAJI WASITISHWE WALA KUSHAWISHIWA!!
Iwapo itathibitika uhaini umefanyika na watu 500+ wakafariki adhabu stahiki itolewe bila woga na bila ushawishi.
Kinyume na hapo tutajikuta na maafa mengine wakati mwingine chini ya ushawishi wa wahaini wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.