Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.
Nadhan Mahakama zimebaki za Vijana wanaobomoa Mali za Wachina baada ya Wachina kuwanyanyasa na kushindwa kuwalipa Mishahara yao kwa wakati.
Mahakama zimebaki kufungwa Vijana wakitanzania wanaokutwa na Bangi Gram 5, Nyama ya swala kilo Moja .
Mahakama zimebaki za Kupambana na CHADEMA .
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeamuru Serikali na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuondoa mara moja vizuizi vyote vilivyokuwa vikizuia upatikanaji wa mtandao wa kijamii wa 'X' (zamani Twitter) nchini, ikitangaza kuwa hatua ya kuufunga mtandao huo ilikuwa...
Aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, pamoja na washirika wake wawili, wanatarajiwa kujua adhabu yao leo baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Rongo, Sharon Otieno.
Mahakama Kuu chini ya Jaji Cecilia Githua inatarajiwa kutoa hukumu dhidi...
▪︎ Aagiza utekelezaji wa hukumu na utatuzi wa migogoro ya ardhi Ifakara
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewaonya watendaji wa Serikali wanaopuuza hukumu za mahakama na kusisitiza kuwa kiongozi au taasisi yoyote isiyoridhika na hukumu inapaswa kukata rufaa badala ya kukaidi utekelezaji wake...
Bodi ya Filamu Tanzania imekuja na utaratibu mpya wa kuwasajili wafanyabiashara wa filamu, wakiwemo wanaouza filamu mitaani na wanaomiliki maktaba (Video Library), kwa lengo la kuwatambua kisheria na kurahisisha usimamizi wa shughuli za usambazaji wa kazi hizo nchini.
Kupitia mfumo wa...
Kwa nini mtu afungwe miaka 30 kwa sababu amebaka?
Kwa nini tusifuate sheria za mungu mjuzi wa yote kuhusu ubakaji ?
Biblia katika Kumbukumbu la Torati 22:28-29 iliweka Sheria ya ubakaji ambayo inapuuzwa.
"Mtu mume akimwona binti aliye mwanamwali ambaye hajaposwa, akamshika na kulala naye...
Taarifa muhimu hapa JF asubuhi ya leo ni kuwa kuna Rufaa ya Jamhuri dhidi ya hukumu iliyotolewa na kumtakasa Lissu, viongozi wa Chadema na Watia nia wa Chadema zaidi ya 300 dhidi ya tuhuma za Uhaini.
Tumeambiwa kuwa rufaa hiyo inaandaliwa na Ofisi ya DPP, anakofanya kazi Wakili Mkuu wa Serikali...
NGOMA BADO MBICHI! JAMHURI YAKATA RUFAA KUPINGA LISSU KUACHIWA HURU KWENYE UHAINI 🔥🇹🇿 MAMBO BADO NDIO KWANZA......
Huku vumbi la hukumu ya kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi likiwa bado halijatulia, upepo wa kisiasa na kisheria nchini umegeukia Mahakama ya Rufani.
Upande wa...
▪ Aeleza hatua tatu za kuharakisha miradi ya barabara nchini
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa hukumu za mahakama lazima ziheshimiwe na kutekelezwa kwa mujibu wa sheria, akisema mtu asiyeridhika na uamuzi wa mahakama anapaswa kutumia taratibu za kisheria kuupinga badala ya...
Hata mtoto wa IJA aliyefuatilia mwenendo wa kesi ya Lisu , hata yule mwenye very basic education ya sheria, hata yule anayesoma hukumu TANZLII bila kwenda shule ya sheria, anaona ukweli kuwa kesi ya Lisu imekuwa flawed!
Wewe ndiye una tabia ya hovyo kushindwa kuuongoza muhimili wa mahakama...
Wakuu kuna jamaa ananiadisia hapa kuna dada yake ana mume wake wamezaa watoto watatu!
Mke kafukuzwa nyumbani,kesi imeenda baraza la kata la Salasala hukumu imetoka kuwa huyo mke aondoke kwenye nyumba , wakati wamejenga nyumba wote na mumewe! Jamaa kurudi nyumbani kamtupia nguo mwanamke na vitu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiizungumzia jinsi hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu ilivyo yaibua yale madudu ya udhaifu wa Mhimili wetu wa Mahakama katika kutenda haki na kutoa hukumu za haki ambazo hata jicho la kawaida litajiridhisha kuwa haki...
haki
haya
haya ni
hukumuhukumu kesi ya uhaini
katiba
katiba mpya
kesi
kesi ya uhaini
kutenda haki
lissu
madudu
mahakama
mahakama kutenda haki
mpya
suluhisho
tundu
tundu lissu
udhaifu
uhaini
Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026
Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa.
Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki.
Lakini swali linabaki: Je...
TUNASIKITIKA KUWATANGAZIA KUAHIRISHWA KWA MJADALA ULIOPASWA KURUSHWA LEO TAREHE 14 NOVEMBA, 2026 KUHUSU HUKUMU YA KESI YA MHE. LISSU BAADA YA KUPEWA TAARIFA NA MAMLAKA KUWA HUKUMU HIYO IMEKATIWA RUFAA NA HIVYO HAIRUHUSIWI KUJADILIWA, KWA KUFANYA HIVYO NI KUINGILIA MWENENDO WA KESI HIYO. POLENI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.