hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Leo katika kumbukumbu: Toeni hukumu ambayo mnayo, ambayo mmeagizwa kuitoa.” Tundu Lissu 6.11.2026

    Waheshimiwa Majaji, naomba nimalizie. Uamuzi wa kunitia hatiani kwa kosa ambalo sikushitakiwa nalo, na ambalo sikupata fursa ya kujitetea dhidi yake, kwa lengo la kubalansisha tu, una athari kubwa. Athari yake ni kwamba mmewapa kinga wale waliohusika na mauaji, kwa sababu watasema kwamba wale...
  2. R

    Jaji Mkuu, Mh Masaju, kwanini hukumu ya Tundu Lisu haiko mtandaoni, TANZLII? Mnaficha nini?

    1. Means mnajua ukora mlioufanya,.mnaficha aibu yenu 2. Mnajua ile siyo hukumu, ni hotuba ya Ndunguru 3. Mnajua dunia inataka kuisoma maana AI will translate it in all languages 4. .....ongeza
  3. R

    Mwabukusi: Hukumu haihitaji kutetewa, inapaswa kujieleza yenyewe

    Kufuatia majibu ya Serikali ya Tanzania dhidi ya Uingereza kuhusu hukumu ya kifungo cha miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kupitia ukurasa wake wa...
  4. Mapendekezo ya LHRC juu ya Hukumu ya Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu

    Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu 1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
  5. Hukumu ya zinaa katika dini

    Tunapokuwa tunazungumza Sheria katika dini, tunamaanisha miongozo iliyonyooka, (haibadilishwi). Katika dini (uislamu) hukumu ya zinaa imetajwa katika mafungu mawili • wazinifu walio kwenye ndoa • wazinifu ambao hawajaoa Katika kila kundi lina adhabu yake kutokana na athari...
  6. M

    Huyu chawa mwanasheria wa serikali alifaulu kwa madesa.....tazama anavyojiuma kujadili hukumu ya TAL

    wanajamvi jioneeni mwanasheria anavyoahibika,,,,,,,ni bora asingeeenda hapo kwenye majadiliano https://www.youtube.com/live/BFtdAQgPuow?si=EIwzILxl-mKo3ehs
  7. R

    Let us propose Justices of Appeal ambao at least wana rekodi ya kutoa hukumu za haki ie BOLD JUDGES OF THE COURT OF APPEAL

    Majaji wa mahakama ya Rufaa ambao bado wanatenda haki, na hivyo wakipewa kesi ya Lisu watatenda haki 1. .........................................
  8. Uingereza yahoji hukumu ya Lissu

    Uingereza yavunja ukimya kuhusu hukumu ya Tundu Lissu, yataka haki na maridhiano Kwako Wakili Msimi🤣 ==== Serikali ya Uingereza imeelezea wasiwasi wake kuhusu kuhukumiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka Tanzania kuzingatia haki ya kupata usikilizwaji wa kesi kwa haki...
  9. M

    Utata hukumu ya kesi ya Lisu

    Baada ya watu kujadili hukumu ya kesi ya jamuhuri dhidi Mh. Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Mendeleo nimeona nami niiangalie kesi kwa jicho la mtu wa kawaida, ambaye si mwanasheria na namna hukumu inavyoathiri twasira ya mahakama kwa jamii. 1 .Iwapo kosa alilokutwa nalo mh. Lissu...
  10. Kuna jambo la msingi sana hatulizungumzii lililofanywa na Majaji kuhusiana na hukumu ya Lissu ya walichoita kosa la uchochezi

    Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini. Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
  11. R

    Mwenye hukumu ya Lisu tunaomba atuwekee hapa.

    Jamani hukumu hii imetoka? Mwenye nayo atuwekee hapa please
  12. Kwa nini hukumu ya kesi ya Lissu ilivuja? Kwetu ni furaha, Machawa huzuni

    Hapa ndipo ninapoanza kupata matumaini kwamba mambo yanayojiri huko juu si mepesi. Taarifa zinapovuja kuhusu jambo nyeti kama hili, kwetu ni fraha mambo ni moto lakini hutufanya tutafakari kwa kina. Kwa kawaida, taarifa za ndani zinapovuja kuna maswali kadhaa ya kujiuliza: Hutakiwi ...
  13. Wanaohoji hukumu ya Mh. LISSU wanatuchanganya raia, kateni rufaa kimyakimya

    Mifugo yangu yote ng'ombe, mbuzi na kondoo nimeiwekea alama maalum. Wakati namtafuta ng'ombe wangu mmoja aliyepotea jana usiku kwenye maboma ya wafugaji wenzangu nilimkosa ng'ombe wangu lakini nikamkuta mbuzi wangu ambae pia nilikuwa simuoni wiki moja iliyopita. Je, mbuzi wangu siwezi kumchukua...
  14. R

    Unaona kabisa kuwa hukumu ya Lisu ni ya watawala, kwanini haijawekwa kwenye TANZLII. Ushahidi tosha kuwa iliandikwa na watawala kama Mange alivyosema

    Hukumu zote zinawekwa siku hio hiyo inapokuwa pronounced! Mpaka sasa haijawekwa. Mnaogopa nini kuiweka public? Nani anazuia isiwekwe public?
  15. Uchambuzi: Je, hukumu iliyotolewa Dhidi ya Tundu Lissu inakidhi matakwa ya Katiba, Sheria za mwenendo wa makosa ya jinai na Misingi ya Utoaji haki?

    Republic v. Tundu Antiphas Lissu | Criminal Case No. 19605 of 2025 Ndugu wanajamvi, Wadau wa Demokrasia na utawala wa Sheria, Wanaharakati na wengine wote Kwa ujumla Uzi huu utajikita moja kwa moja kwenye mambo kadhaa ambayo ni ya kina kabisa Kisheria kama ifuatavyo; 1. Ukweli wa kumbukumbu za...
  16. Majaji wawili hawajasaini hukumu ya Tundu Lissu

    Nakala ya hukumu ya Tundu Lissu ina saini ya Jaji mmoja badala ya majaji watatu waliosikiliza kesi. Majaji wengine majina wala saini zao hazipo licha ya hukumu humo ndani kutumia wingi yaani neno "we.." kila ukurasa. Hali hii inatia mashaka ikizingatiwa uwepo wa tetesi kwamba wakati hukumu...
  17. Naomba ufafanuzi kuhusu hukumu yaTundu Lissu

    Kwa mjibu wa Sheria, wanasheria wameeleza kuwa mtu anapofungwa kifungo chenye ukomo, sheria ya magereza anampa msamaha wa 1/3 ya muda wake wa kukaa gerezani. Kwa kuwa Lisu alikuwa amekaa zaidi ya siku mwaka 1 na miezi 7 yaani siku 577. Ikiwa atapunguziwa 1/3 ya adhabu je ni sahihi atakuwa...
  18. Uchambuzi wa hukumu ya kesi ya Lissu,kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali

    Uchambuzi wa hukumu ya kesi ya lissu kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali Kwanza ile kesi ya msingi ya uhaini ambayo alishtakiwa imefeli baada ya jamhuri kushindwa kuthibitisha uwepo wa uhaini,hii maana yake Lissu amekaa takribani siku mia tano na miezi 7 gerezani bila kosa lolote lile Lakini...
  19. M

    Hoja za TAL baada ya Katuga kuongea siku ya hukumu zimenifanya nimfananishe TAL na AI

    Nimeshangaa uwezo wa TAL jinsi alivyotema nondo kukabiliana na equation ya Ndunguru na Katuga... hakika jamaa ni AI
  20. Baada ya hukumu ya Tundu Lissu 4Rs za Rais Samia zipo wapi?

    Rais Samia Suluhu Hassan alijipatia umaarufu kwa 4Rs yaani akiwa na maana ya; 1. Reconciliation-Maridhiano 2. Reforms-Mabadiliko 3. Resilience- Ustahimilivu 4. Rebuilding-Kujenga upya Sasa ikiwa ni miaka takribani miaka 6 madarakani na akiwa amebakiza miaka 3 na nusu aondoke je sera hii ya 4Rs...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…