King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Ukimsikiliza vema mtaalam hapo chini, utagundua anasema Kenya is far better kwenye Democracy kuliko Tanzania ambayo ipo kwenye dictatorship.
Ki international Diplomacy ….hii haijakaa sawa…. He is literally insulting and questioning democracy ya Serikali ya Tanzania. Kama Taifa, kuna mahali...
Hii ni moja ya maajabu ya dunia ukitazama hii ramani.
Waarabu wote hao kushindwa kuwalinda ndugu zao hapo Gaza dhidi ya Israel ni jambo la kushangaza sana.
Hawa wajinga wana umoja wao wa nchi za kiarabu lakini huo umoja wao mpaka sasa umeshindwa hata kuwasaidia ndugu zao wapate chakula kwa...
"KABURI LA AJABU"
Kuna kaburi moja linavuma sana...
Halionekani kwa macho, halina jiwe wala msalaba.
Halipo makaburini, bali linatembea kati yetu.
Ni kaburi linalobeba ndoto zilizokufa, vipaji vilivyonyamazishwa,
mapenzi yaliyovunjika, na watu waliokata tamaa wakiwa hai.
Hili ndilo kaburi...
Habarini Za MDA huu ,kutokana na taarifa kwamba mechi ya makolo imehamishwa kwenda Uwanja WA New Amaan Complex,hivo kupelekea baadhi ya mipango Yao kufeli ... Wameamua kuja na mpango Mbadala wakuhakikisha kuwa lazima fainali hii kieleweke..
Mbuzi hao wanasafirishwa hao mpaka Zanzibar
Uzi tayari
Habari wana JF.
Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nimeona nilete thread hapa "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au generation hii wakuu hata mwanamke bikra ni mjanja mjanja vilevile, ingawa yeye nyeti zake zinakuwa...
Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk.
Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
Naomba kujua haswa kisheria zaidi
Hipo hivi.. sisi tumezaliwa wa 5 kiujumla watatu wa baba na mama mmoja wawili tumeshare mama.. ambao ni wakubwa kwetu.. yaani mama aliolewa na mzee akiwa tayari na watoto wawili
Mzee wangu alikuwa na wake wa 3 mama yangu ndio alikuwa bi mkubwa.. kuna ndugu...
Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania.
Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi ...
Kile kitu kama cha njano kinachotoka kwenye koo chenye harufu mbaya kinajulikana kama tonsil stones au tonsilloliths kwa Kiingereza, kwa Kiswahili huitwa mawe ya tonsils au uchafu kwenye tonsils.
Maelezo ya Tonsil Stones:
Huchipuka kwenye nyufa ndogo (crypts) za tonsils.
Huundwa na...
Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume
Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣
Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
Kwako rais Samia:
Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia.
Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu.
Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu?
Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema.
Acha haki...
Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais...
Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu.
Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani wake, Psv kwa jumla ya alama tisa.
Mambo yalienda kombo kwani Ajax alipoteza mechi mbili mfululizo na...
Ni nyumba yenye vyumba 3 vya kulala
Hapo ni material na ufundi
Kama unataka tukujengee
Utuchek 0743 257 669
Raman
Mahesabu
Ujenzi
Tuchek
Ofisi zetu zipo banana ukonga
wa.me//255743257669
WE DO DESIGN AND CONSTRUCTIONS SERVICES
KAZI YETU NI MOJA TU KILA MTANZANIA ANAANZA KUISHI KWAKE
CALL US +255624004650
TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.