hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    Mpaka sasa serikali feki awamu hii inatafuta Amani na kujisafisha mpaka mwisho wa madaraka utakapofikia

    Ukiingia kwenye vyombo vya habari vyao hakuna hata waziri mmoja anazunguza uwaziri wake kilicho muweka ,wote wanazunguka makanisani,misikitini na kuwatetea wasanii na raisi kuhusu amani. Hata siku moja sijawasikia wakisema Haki ,wao wapo na kuzungumza amani tu.
  2. Lighton

    Nguvu ya uwanaume inapotea kwenye jamii, wanaume tufanyaje?

    Wakuu habari za jioni hii. Hili ni andiko huru kwa watu huru, wa jinsia zote, na mlengo ni kuwekana huru kifikra. Mwanaume tokea Karne za nyuma anafahamika kuwa na sifa za uongozi kwenye Dunia, kuongoza nchi,kuongoza jamii na familia. Kitabu Cha mwanzo kinaelezea vizuri role ya mwanaume...
  3. stakehigh

    Hii nyimbo harmoniza umeua sana, Haswa kwa sisi tunaopenda nyimbo za taratibu

    "Leo" by Harmonize featuring Mbosso, produced by Mafia, is a heartfelt Bongo Flava love anthem that captures the raw honesty of falling deeply for someone at the most unexpected time. Harmonize opens the song with a nostalgic confession, remembering the first moment their eyes met, the...
  4. Superbug

    USITAMANI MAISHA YA MTU HUIJUI KESHO YAKE JE UNGETAMANI KUWA KAMA YULE POLEPOLE WA UNAIJUA V8 LEO HII TUNGESHAKUSAHAU.

    Siku zote namshukuru mungu Kwa vile nilivyo Wala sitamani kuwa yeyote zaidi ya Mimi mwenyewe. Hata kuwa Elon Musk sitamani. Imagine kama UNGETAMANI kuwa kama polepole wa kipindi Cha ma V8 je Leo ungekuwa wapi? Any way no one knows tomorrow.
  5. Tajiri wa kinyankole

    Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  6. Lycaon pictus

    Krismasi hii wakenya wamejua kuvaa.

    Wakenya mambo yao.
  7. Fbn

    Hii account mtandao X ya raisi inawezekana inaongozwa na mtoto wala sio yeye wala ikulu.

    Hivi mjawahi kujiuliza account ya raisi anatumia yeye au mtu maalumu kama sio mwanae,basi mtu wake wa karibu. Tumeona account ya Dolnad trump na viongozi wengi. Hata wajibiwe vipi uwezi kuona wana kublock labda kuwepo na shida kubwa sana. ila ya huyu yani ukimpa challenge na spana unaingizwa...
  8. Fahari ya kusini

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia ameweza kuunganisha au kuleta umoja wa kitaifa kati ya waislamu na wakristo lakini pia ameweza kuleta...
  9. Eli Cohen

    HII NDIO SIKUKUU BORA KULIKO ZOTE, ZINAANZA NYINGINE THEN HII NDIO INAKUWA FUNGA KAZI. MERRY CHRISTMAS WANA JF

  10. R_Breazy

    Hii hali kwangu ndio ngumu kuliko

    Heri ya siku kuu ya krisimasi ndugu zangu. Hope nyote mko salama Life ni gumu kuzidi kupambana kila siku ila tusisahau kuhusu maua mazuri ambayo mwenyezi Mungu katubariki Tanzania na duniani kote. Hatua zote za kumpata binti kwangu kuna hili moja huwa inanisumbua sana, huwa inanitokeaa hasa...
  11. bwawani90

    Naomba nchi yangu usije ikaingia kwenye hii orodha

    Pamoja na yaliyotokea Mungu atuepushie. Ingawa hawa walio kwenye orodha waliingia baada ya damu za binadam kumwagikanhuko zamani Wanasiasa wasitupeleke huku
  12. Prof_Adventure_guide

    Hii ni message kwa ma-snitch na ma-clown wanaocheza na maisha yetu – we’re done with this bullshit

    wassup ma-niggas mlioko kwenye hili jukwaa! Inabidi sasa tuongee lugha moja maana hii straight-up fuckery inazidi kimo. Tunakaa kimya mnadhani sisi ni dead bodies? Mnatuona kama sisi ni lame-ass puppets mnaoweza kutuvuta kamba mnavyotaka? Hell no, man! Tumeshastuka na huu usenge wenu! Mnatupiga...
  13. Fbn

    Kaka wa Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ila hiyo nchi ikitaka kuwachukua siku moja ni mifano tosha kwenye mapinduzi

    Huyu kaka yake Polepole sio mwanajeshi wa nchi hii ndio maana serikali ya CCM mafwere iwezi kuzungumza chochote wala kujibu. Wakijibu ni kama wanamgusa mwewe na malikia marehemu. kwa sasa wabaki wakishindana na sisi wananchi kututeka na kufanya vyovyote,ila mpo mbioni kutekwa na nyie na kufutika.
  14. Miguel255

    Kama wewe ni mpiga nyeto hii inakuhusu

    Leo nimetimiza siku 54 bila kupiga punyeto naamini hii ndo itakuwa safari yangu ya mwisho katika kutimiza lile nililokuwa napigania muda mrefu. Nimeanza hii shughuli 2012 nikiwa bado nasoma, ilifika mahali kwa siku napiga hata mara 3 mpaka 5. Kila nikisema niache nitakaa wiki baada ya hapo...
  15. Mtemi mpambalioto

    Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

    Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania Au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la kwanza linaloongoza kwa watu...
  16. Fbn

    Makampuni mengi ya sanaa,umisi yana nini angalia hii

    kuna media ilikuwa inaongoza kwa kupendwa na watoto na watoto wengi wamejikuta wakiwa kama mazombi au umaskini wa ajabu.
  17. D

    Nisiwe mnafiki, napendezwa sana na Usayansi wa kiuongozi wa serikali hii

    Hii serikali kwa Sasa Ina uongozi flani wa kisayansi sana........kwa mwenye akili tu ndo atanielewa lakini kwa mimburura itaishia kutukana tu hapa kama kawaida yao. Nimependa approach zao... Narudia, hakuna serikali itafanya maendeleo makubwa kuizidi hii......hutaki nenda Kenya ukaungane na...
  18. stakehigh

    Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
  19. Kimbesa11

    Falsafa ya CCM ya Uhuru na kujitegemea ndiyo inayolifaa bara la Africa katika Karne hii ya sasa.

    Licha ya heshima kubwa waliojijengea wafuasi na wanachama wa CCM nchini na Duniani kwa kudumisha uzalendo na kuheshimu utu wa watu, CCM ni chama cha kizalendo kwelikweli kwani Bado kinaamini kwenye falsafa ya uhuru na kujitegemea, hakimsujudu beberu yoyote kinajiamini kwenye utendaji kazi wake...
  20. Prof_Adventure_guide

    The great schism: hii serikali ni straight up trash na sisi vijana tushawakata chama kwenye hii mutual disregard!

    Ukweli ni kwamba tushafika point ya no return ambapo kuna total breakdown ya mawasiliano kati ya mtaa na hawa jamaa wa juu. Hii serikali is full of it, wamekaa kwenye viti vyao wakijiona ni untouchable huku mtaani vijana tukisota kinyama. It’s a mutual delegitimization process, yani kifupi we...
Back
Top Bottom