King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya.
Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena.
UZI TAYARI.
Hello
Shalom!
Naongea na wakomavu ambao wanahitaji chakula kigumu na si uji tena.
Uhai wa Mkristo uko katika maombi, mkristo ambaye haombi huyo ni mkavu, aidha amekufa kiroho au anakaribia kufa kiroho.
Hivyo ni wajibu wa kila mkristo kuhakikisha mito ya uzima ndani yake haikauki. Na kuifanya...
Honestly niko na mzee wangu hapa anasema yeye hii mechi lazima aka wake kwanza pombe 🍻🍻mbili tatu ndo anangalia. 90 minutes are very long. bila few drinks na support. ujapiga ganzi kwanza. you move.
tupige bia,🍻🍻. it's a failed country any way.
1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ?
1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo wa chama kimoja (1965, 1970, 1975 & 1980) Rais JK Nyerere hakuwahi kujaza fomu ya kugombea Urais...
Hawa vijana wamekosa adabu ya akili zao, sidhani kama wanaweza kukosa 5000/- kila siku wakiwa kijiweni kupakia abilia ila ndio vijana wa ovyo tunaoweza kusema samaki moja akioza..!.
Vijana hawa wanatumia pikipiki kwa kuwapora watu jijini Arusha na wanazunguka sana maeneo haya St.Costantine...
Wakuu,
Kama mnavyojua, ATCL kila mwaka inapata hasara. Mfano mwaka uloisha 2022/2023 imepata hasara ya Bilioni 56.
Hii BIlioni 56 ni Madara au Hospital ngapi? Ingesambaza maji Vijiji vingapi? Tuache kung'ang'ania mambo tusiyo yaweza. Haya mambo tuwaachie Kenya. Kenya Airways imedai kupata...
Kampuni ya usafirishaji Mabasi, New force imehusika kwenye ajari nyingi sana. Ifike kipindi mamlaka husika itueleze tatizo lipo wapi vinginevyo roho za watu zitazidi kuteketekea tu kila kukicha.
Nitaongelea zaidi uhasibu, kwa sababu ndo fani Ninayoizungumzia zaidi, katika kazi ya uhasibu ina changamoto mbalimbali, kama kulipa loss etc. Mfano siku umefanya mauzo ya sh milioni moja, lakini baada ya kufunga hesabu zako ukapata laki tisa lazima ulipe laki moja ili hesabu ifunge, ndo hivyo...
Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu.
Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla.
Kwa muonekano huo wa...
Wakuu kwema?
Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online
Please nitashukuru sana
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu.
Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya...
Habari zenu wadau
Leo nimekuja hapa nataka niwashirikishe sababu zinazofanya biashara nyingi kushindwa kukua na Nini cha kufanya ili biashara yako ikue
Nipo kwenye biashara kwa muda mrefu Kuna mengi nimejifunza kipindi naanza biashara nilikuwa nayumbisha sana mtaji mtaji kushindwa kukua Kuna...
Habari za jioni wakuu!
Niko polisi hapa kituo ambacho kipo karibu na soko! Imepigwa filimbi na watu wote wamesimama mpaka jamaa kamaliza kushusha bendera akapiga tena filimbi ndiyo watu wakaendelea na mishe!
Hivi huu si utumwa?
Maana yake nini kwa kizazi cha leo?
Mimi yote hayo yakiendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.