King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki?
Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie kukutoa lakini huna kipaji chochote cha kuimba muziki wewe.
Unaweza kuimba nyimbo za maombolezo...
Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga...
Jamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm jamani mwenye kujua hii ndoto au msaada naona sielewi kabisa
Hii ina ukweli gani wakuu?
ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU
Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani.
Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
Wakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
Katika ukurasa wake wa X Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-CETRE Tanzania Bw David Kafulila amesema kauli ya Rais Samia kufungua nchi kwenye takwimu inaongea kwa sauti ya juu zaidi kwa miaka hii Mitatu.
Kafulila anasema kabla ya Rais Samia mauzo ya ndani na nje yalikuwa na na Jumla ya US$ 17.4bn sawa...
Habari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother).
Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira (Ajira Potal) na kufanikiwa kuitwa kufanya usaili alifanikiwa kufanya written na baadaye oral na hivyo...
Wajuzi
T14 Armata
100 others
and 100 others
ILAN RAMON
Mtu asiyejulikana, anayeaminika kuwa mpelelezi kutoka nchi ya kigeni, anatuhumiwa kwa kuendesha operesheni ya upelelezi inayolenga kambi za jeshi na maeneo nyeti nchini Israel.
Operesheni hiyo ya upelelzi ilihusisha kutumia app ya Strava...
Mimi ni kijana nimeo nina mke mmoja na mtoto mmoja
Sasa tangu nimeoa mke wangu Nimekuwa kama mtu ambaye ametupiwa Pepo la uzinzi Yaani siwezi kupitisha siku mbili au moja na nusu bila kufanya tendo la Ndoa na mke wangu nimejaribu kutafuta michepuko lakini wapi kila nikimuona tu natamani...
Tumekuwa na wakati Mgumu sana ndugu zanguni. Wakati ule anapigwa Hamas tulisema ajaribu kwa Hezbollah. Atakiona cha mtema kuni.
Walipomalizana na Hamas wakaanza na Hezbollah. Wakawapiga kinyama. Wakatamani na Iran. Iran akachokozwa akaingia kwenye mfumo. Tukaanza kuwashabikia Iran kuwa sasa...
Spika kabisa unaona poa kushadadi ajira za kujitolea yaani mtu anasoma mpaka university halafu manaona kumpa cheap labour ndo halali yake, kweli.
Badala ya spika wa bunge kukemea hilo we ndo kwanza unaona poa tu unalitumia kuwakandamiza wengine ili nao wajitolee ili kupata kazi.
Halafu mobunge...
Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa sana. Ukiangalia ripoti ya Robo mwaka ya performance ya mawasiliano kwenye takwimu za mawasiliano...
Nimeshangaa Egypt haitaki kabisa kuwa msaada kwa wanaGaza ili wapate mapumziko.
Unaona huu ukuta. Unaweza sema Trump katili sana kajenga huu ukuta kuzuia wapalestine wasiingie USA.
Unakuja kuambiwa ni ndugu wa Damu. Hakuna anayewataka Wapalestine. Sijui kwa nini. Huu mpaka wa Egypt na Gaza
Dawa ya kuacha punyeto hii hapa
Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu.
Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo safi...
Wale mlikokuwa mnahitaji container Kwa bei nafuu zaidi sasa imebaki moja
Utapata Kwa 3.6 mil
Kuna hii tu nyingine bei zake zipo juu kidogo.
Tupo kurasini DSM
Call and WhatsApp 0625 085 224
Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi,
Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake.
Walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.