Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
RC CHALAMILA WEWE HATA UKITAKA KUCHOMWA KAMA BANIANI CHOMWA TUU. ACHA MAMBO YA KUFANANA UISLAM na UKRISTO. AU HAMIA HUKO. HUTAPUNGUZA CHOCHOTE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Oooh! Mimi nikifa nisiwekewe Sanduku. Nizikwe kama Waislam.
Mara Yesu sijui nabii gani mbona walizikwa bila...
Kuna watu wanavunja Sheria za nchi wakidhani mabeberu yatawatetea mnajidanganya, lazima mtanyooshwa na Sheria za nchi bila haya. Hata mabeberu huwa yanaogopa kuvunja Sheria za nchini kwao.
Moja ya msingi wa Demokrasia ni "rule of law " all people are equal before the law, no one is above the...
Wakazi tunaoishi maeneo ya jirani na misikiti tunakujulisha kwamba tunkabiliwa na changamoto ya kelele zinazotokana na shughuli mbalimbali za ibada(mara tano kwa siku), hali hii imekuwa ikiathiri kwa kiasi kikubwa maisha yetu ya kila siku, ikiwemo kupumzika, kufanya kazi, na kupata usingizi wa...
Huku Yombo tunachangamoto ya umeme, mfano wanaweza kukata kuanzia Saa 12 Asubuhi wakakata hata mara nane kwa staili ya kukata na kurudisha, hii si sawa wataunguza vyombo vya watu.
Kwa sasa changamoto ndiyo imeongezeka zaidi. Mfano juzi kuanzia Saa 12 Asubuhi mpaka Saa 6 Usiku umeme umekatika...
Anonymous
Thread
changamoto
hata
kukata
kurudi
mara
siku
tuna
umeme
Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni.
If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂
Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
Miaka 30 jela.
Uraibu wa pornographia
pedophilia
Cheating.
Kufirisika.
Kuharibu mahusiano.
Kufumaniwa.
Kuzazaa ovyo na kuongeza watoto wa mitaani
Aaaaargh!
Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache
Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna
Jioni njema
WAZIRI HUSIKA AOMBWA KUCHUNGUZA MAKAMPUNI YA AFYA YANAYODAIWA KUTOA HUDUMA BILA WATAALAMU WENYE SIFA
Kwa heshima na taadhima, Mheshimiwa Waziri husika, naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Kwa sasa, kuna makampuni mengi ya afya yaliyojitokeza katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam...
Kichwa cha habari kinajieleza, naomba kukumbushwa maana hawa watu uwa mara nyingi ni wateule wa rais
Hivi Lazaro nyarandu anashauri nini rais?
Yanayofanywa kisiasa na kisheria hata mwalimu wa somo la sayansi kimu anaweza kukifanya hata badili kuwa ikulu
Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana
Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
Tunazaliwa bila hiari yetu.
Tunapewa masharti ya kuishi as if ulikubali kuja kuishi kwa masharti.
Hivi ni nini maana halisi ya uwepo if all we do is end up dying..
Je kuna kusudi lolote la sisi kuwepo, beside kuzaliwa, kuishi na kufa?
Maana we are living as if this life is our own and then...
Na shangaa kuona mada zikufutwa au kuunganishwa au kuwa kivuli watu wasisome.
Sina mengi ya kusema ila ni wazi tulipofikia hata ujumbe huu mtakumbuka.
Mungu ibariki mkifa
Najua huyo aliyeposti hana ubavu wa kufanya chochote zaidi ya kuwa shujaa wa nyuma ya keyboard (keyboard warrior), lakini bado mawazo haya si ya kubeza.
Hata nchi ikija kutawaliwa na viongozi wa kiimla kama Mobutu Sese Seko, msithubutu kufanya maamuzi ya kuomba msaada kwa Watutsi. Watu hawa...
gani
hali
hata
kamwe
kilio
kujikomboa
kujikwamua
kulia
kuomba
kusaga
kusaga meno
kutoka
kutumia
kwenda
mbaya
meno
mlango
msaada
mtakuja
mtego
nchi
vijana
Ukitenguliwa tulia, jitafakari ulikosea wapi, usisahau kuwashukru waliokuamini wakakuteua, jiulize wewe ni nani mpaka Mh. RAIS akakuteua kwenye nchi yenye watu mil.60+, mshukru Mungu, toa sadaka ya pekee kwa Mungu wako acha kutapatapa mitandaoni wewe tayr ni sehemu ya national figure...
Lisu yuko kwenye Wrong National akipigania watu very wrong na sina hakika kama Lisu hilo analitambua ama la.
Ona sasa anaenda kuozea jela na maisha mataani yanaendelea, Wanao piganiwa hawana habari kabisa, life inaendelea na mbaya zaidi ni kama hakuna kilicho tokea, Lisu namlaumu sana, namlaumu...
Ndani ya Mwaka Mmoja, Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijenga hata Banda la kuku Tanganyika.
Samia Suluhu ungozi wake utakumbukwa kwa Utekaji, Mauaji kubambikia Watanganyika kesi.
Kwenye uongozi wake, Watanganyika wengi wamefunguliwa kesi za...
Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile
George Jackson David
Aisha Muhammad Nurdin
Uhuru Baraka Amani
Judith Christopher Benard
Salehe Abdul Ally
kunafuta utambulisho wa asili na...
Nafahamu,
Yapo mambo mengi ambayo wenzetu huungana kuyakemea na au kuyatetea kwa nguvu zao zote ambayo mengine mengi ni kwa manufaa ya umma wote wa Watanzania bila kujali itikado zao
Suala hili la ushoga kuenea kwa Kasi na kujitangaza kwa waziwazi mitandaoni limeanza kwenye utawala huu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.