Timu zote za Tanzania kuanzia za vilabu, hadi zile Team za Taifa, hazitapata mafanikio yoyote ktk mashindano dhidi ya mataifa mengine.
Ni nguvu ya asili inawashughulikia.team zote zitacheza kama zimechoka sana, wachezaji watakuwa kama wamebeba magunia ya mchanga, watacheza bila Kasi, na kwa...