hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwalimu Nyerere ndo muasisi wa serikali dhalimu, inayoumiza watz weng, Kwa kuwatisha, kuwaua na hata kuwafanyia ukatilia, Hana ushujaa wowote

    Ukifatilia historia vzur ,huyu Nyerere ndo alikuwa anawatisha watu waliokuwa wazalendo kama Oscar kambona,Nyerere ndo kaka madarakani miaka Mingi Kwa udikteta wake uchwara, Nyerere ndo kaacha Katiba ambayo mpk Leo inatutesa, Nyerere kiufup alikuwa mnafiki mjanja,nyuma ya pazia alishawaambia CCM...
  2. M

    Ulipitia nini utotoni hutamani watoto wako wapitie hata kwa bahati mbaya?

    Moja ya kitu sitamani watoto wangu wapitie hata kwa bahati ni kukosa ujasiri wa kueleza ukatili au mambo wanayokutana nayo au kukaribiana nayo kwa hofu kwamba wakieleza watapigwa. Nimewafanya kuwa marafiki wawe huru kusema chochote hata kama kibaya ili kuweza kujua kwa undani maisha yao kwani...
  3. C

    Hata Simba atatoka sare na Orlando Pirates

    Timu zote za Tanzania kuanzia za vilabu, hadi zile Team za Taifa, hazitapata mafanikio yoyote ktk mashindano dhidi ya mataifa mengine. Ni nguvu ya asili inawashughulikia.team zote zitacheza kama zimechoka sana, wachezaji watakuwa kama wamebeba magunia ya mchanga, watacheza bila Kasi, na kwa...
  4. Kama Mifumo ya nchi haimtaki namba 2 hata kama lolote litokee katikati ya safari anaweza tengenezwa namba 1 kufikisha mtumbwi ng'ambo

    Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) na humanoid robots inaweza kutumika kutengeneza roboti inayofanana na namba 1 aliyesafiri Roboti hiyo inaweza kuiga sura, sauti, lafudhi, mwendo na namna namba1 alivyokuwa akizungumza. Inaweza pia kuhifadhi hotuba zake, historia yake na mawazo yake ili...
  5. Si kwa ubaya , ila kumtambua samia kama rais kwangu ni ngumu sana na ni aibu hata angepigiwa kura na wa tz wote.

    Binafsi miongoni mwa vitu ambavyo vimeshatokea na vinanikwaza ni kuona samia ni rais wa nchi. Kwa wanaompenda ni sawa kwa matakwa yao ila kwangu naona aibu sana kumtambua au kusimamama kidete kusema samia ndiye rais wa nchi yetu. Siwezi kumsikiliza samia hata sekunde 10 bila kukwazika na...
  6. M

    Mwananchi: Mfumo wa ajira unachangamoto sana, mtu unaweza kuomba hata mara 1000 usipate

    Wananchi ambao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali wanazungumzia namna ambavyo elimu waliyoipata haikuwa na uhususiano wa mojamoja na matakwa ya ajira. Vijana wengi wako mtaani wakiwa wamehitimu vyuo vikuu na wanarudi mtaani kufanya shughuli za kuunga unga ikiwemo umachinga.
  7. Kumbe Allah ni Mungu hata kwa Wakristo!

    Kwenye Biblia za Kiarabu mungu anaitwa Allah. kwa Wakristo wanaouzungumza Kiarabu Mungu ni Allah. Wagalatia wa bongo hawapaswi kudhihaki neno Allah kwa sababu ni mungu. Sasa swali linakuja unatenganishaje mungu wa Kikristo na wa Kiislamu kwa kuzingatia kwamba haiwezekani mungu wa dini hizi...
  8. Nauza Powerbank itakayochaji iPhone yako mara 8 na zaidi hata umeme ukate wiki nzima

    PowerBank hii inaweza kuchaji iPhone yako mara 9 ndio uichaji. Inafaa kwa mainjinia, project managers nk na wale ambao wanakaa maeneo ambayo yana changamoto ya umeme. Sifa zake kwa ufupi; 1. Inachaji simu mara zaidi 9 (inategemea na ukubwa mAh za battery) 2. Inawaka taa (tochi) 3. Ni rahisi...
  9. B

    CHADEMA ni watu wadogo sana, serikali ingefanya maridhiano na kanisa maana lina siri za Octoba 29 kuliko hata CHADEMA

    Naona mnakataa,. kwani siku ya mazishi ya waliyopigwa risasi nani alisalisha misa ile? Kanisa lina hospitali nyingi, na zilipokea majeruhi na maiti na picha wanazo maridiano yangefanyika kati ya serikali na kanisa. Halafu kanisa halinaga shida na kusamehe maana wao hufundisha kusamehe saba...
  10. H

    Hata tukichukiana, hata tukipigana, ardhi haiongezeki. Tutauana bure, tutajenga chuki, lakini ardhi haiongezeki. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮

    “Hata tukichukiana, hata tukipigana, ardhi haiongezeki. Tutauana bure, tutajenga chuki, lakini ardhi haiongezeki.” 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 Waziri Mkuu wa Tanzania 🗓️ Novemba 22, 2026 📍 Ngerengere, Morogoro, Tanzania Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Ngerengere, Halmashauri...
  11. Zuchu: Nimemvumilia Nandy kwa Muda Mrefu, sikusema popote

    Wanamuziki nyota wa kike nchini Tanzania, Zuchu na Nandy, wameingia kwenye sintofahamu kubwa baada ya mashabiki kuwapambanisha kwenye mitandao ya kijamii, hali iliyojitokeza hivi karibuni. Sintofahamu hiyo ilibainika wazi baada ya Zuchu kuacha comment yenye ujumbe mzito kwenye ukurasa wa...
  12. Historia ya Uhuru wa Tanganyika Inavyowababaisha Hata Wahariri wa Magazeti Makubwa

    https://youtu.be/DQGfunK5eVU?si=_2a5ZoSm6F_wKmJX 🔥 NANI ALIYEANDIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA? JE, TUNASOMA HISTORIA YA KWELI AU TUNARUDIA SIMULIZI ZILIZOWASAHU WAHUSIKA WAKUU? Historia ya uhuru wa Tanganyika haiwezi kuandikwa kwa kutaja majina machache tu na kuwaacha pembeni watu na...
  13. U

    Enyi Wakiristo natoa zawadi mkinionyesha Aya moja tu inayomtaja au kumtambulisha kwa jina Mkristo hata mmoja kwenye biblia

    Enyi Wakiristo natoa zawadi mkinionyesha Aya moja tu inayomtaja au kumtambulisha kwa jina Mkiristo hata mmoja kwenye biblia Niwatakie sabato njema
  14. Mziki ukiniendea vizuri nawapeleka Marekani, Ulaya bure kabisa bila kutoa hata Mia, just exposure wakuu

    Mziki ukiniendea vizuri nampango kuwa chukua member wa jamii forum walau idadi saba saba tu twende ulaya, marekani gharama zote tagharamia ili tufurahi, tujifunze vitu, nk hii ni ahadi naiweka mtanikumbusha wakuu, tutakua tunaenda kwa awamu. Nb hii sio kwa wote bali wale amabao hawajawahi...
  15. Atheist ni wasomi wasiotafakari, inakuwa vipi umdai uthibitisho wa Mungu muumini anayetumia kitabu cha karne ya 1 halafu wewe ukitumia cha karne ya 21

    Habari wakuu wa Jamii Intelligence, Humu ndani kumekuwa na ubishi wa muda mrefu kati ya watu wa dini na wasioamini Mungu (Atheists). Mara nyingi, hawa Atheists wanaojikita kwenye logic na sayansi huwabana waumini wakiwataka walete ushahidi wa kisayansi wa uwepo wa Mungu kupitia vitabu kama...
  16. M

    Huyu jamaa hata kama ni tapeli hakupaswa kuteswa namna hii. Sheria ilipaswa kufuata mkondo

    Acheni kutesa watu ninyi wana usalama
  17. Mashirika 34 ya TZ ya ndege yaliyofungiwa kuingia anga la Ulaya vs Kenya (hakuna hata moja?)

    Tumirogwa? Inaisikitisha sana. Bado tuna watu wanaenda kazini na kupata miposho kama yote? 1. Air Tanzania, 2. Precision Air, 3. Auric Air, 4. Coastal Travels, 5. Flight Link, 6. Regional Air Services, 7. Air Excel, 8. Fly Zanzibar, 9. Grumeti Air, 10. Tropical Air Services, 11. Tanzania Air...
  18. Kifo cha binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, hata pole hawajatoa!

    Pumzika kwa amani sasa binti shujaa wa Tanzania. Hujaacha deni lolote lile. Binti kamaliza maisha yake jana na sijasikia hata neno moja la pole kwa binti na familia yake toka kwa muuaji Samia na wauaji wenzake! Kwa chuki mlizozipandikiza kwenye mioyo ya Watanzania, muda si mrefu mtavuna...
  19. Hata kama una Degree/Masters: kama huna kazi jitahidi uwe na CV hizi ili angalau maisha yaende. Sio dhambi kujishusha kwa muda.

    Hata kama unadegree na huna kazi. Jitahidi uwe na CV pembeni ya -STD 7. -ya Form 4. -ya Form 6 au Diploma. Maisha hayajanyooka kama unavyodhani. Wakati unasubiri kazi au biashara ya ndoto lazima uishi. Kuishi inabidi uwe tayari kwa lolote. Kuna jamaa aliitwa Interview akasweka vyeti vyote. CV...
  20. K

    Kwasasa wahuni wote wanaojiita Vyama vya Siasa wanaohudhuria kinachoitwa maridhiano tuwatenge kwenye shughuli yoyote

    Wakuu natoa pendekezo kuwa wale wahuni wanaojiita vyama vya siasa wanaoshirikiana na wafiraji na watekaji tuwatenge kwenye mitaa yetu popote walipo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…