habari

  1. UMUGHAKA

    Kwasasa ni Arsenal na Chadema ndiyo Habari ya mjini,Nyie wengine subirini kwanza!

    Nawashukuru sana Arsenal baada ya miaka 22 kusubiri hadi kuwa mabingwa wa kombe lenye hadhi kubwa ulimwenguni la EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE) Nimefurahi mnooooo! Arsenal imechukua ubingwa wakati ambao Chadema wanaenda kuwa mabingwa na viongozi wakuu wa nchi ya Tanzania Ahsante Chadema...
  2. C

    Humu ukisoma habari mchanganyiko unachanganyikiwa akili

    ukipita unakutana na anonymous anaeleza kero, ukishuka kidogo unakuta luca anasifu, ukishuka unakutana na story za kina binti wa zamani, ukishuka chini unakutana na habari za ukraine binafsi huwa nikipitia new posts hua kichwa kinachanganyikiwa sana
  3. BigTall

    PEMBA: Waandishi wa Habari watakiwa kukaa karibu na Watafiti ili waibue matatizo ya Jamii

    Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika. Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
  4. K

    From the Pitch to the Pillars of Power: Evaluating the Mismatch of Media Scrutiny in Tanzania

    This critique originates from the deeply frustrated perspective of an ordinary citizen—a passionate observer who is tired of watching immense intellectual talent and public influence squandered on sports debates while vital national assets are bargained away in silence. Day after day, Tanzanians...
  5. JOH CARLOS

    Habari kwa wafanyabiashara na ma-contractors!

    Je, unatafuta namna ya kuomba zabuni za serikali na taasisi mbalimbali kupitia mfumo wa NeST bila makosa? Usipoteze fursa ya kushinda tender kwa sababu ya makosa madogo ya kimfumo au upungufu wa nyaraka. Sisi tunakuhakikishia huduma bora ya: Kuandaa Documents Zote: Tunasaidie kuandaa nyaraka...
  6. R

    Msigwa: Mimi ndiye Mwandishi wa habari wa kwanza Tanzania kutuma stori kwa Internet

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
  7. R

    Jitu kama hili halina habari na Liberation struggles za Tanganyika. FLUINISHING

    Kilichotuumiza ni FLUINISHING
  8. R

    Askofu Nzigila: Vyombo vya habari vya kanisa tangazeni ukweli, Ukweli utabaki kuwa kweli hata watu wakiukataa

    Vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki vimetakiwa kusimamia ukweli na kuepuka kujiingiza katika mtego wa kusambaza habari za uongo au zinazopotosha ukweli kwa maslahi binafsi na kutafuta umarufu wa kupata wasikilizaji na wasomaji au fedha. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kurugenzi ya...
  9. Nyankurungu2020

    Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  10. O

    Uhuru wa Vyombo vya Habari hatarini: Waandishi wa Standard Media wazuiwa kwenye hafla ya Rais William Ruto

    Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference. Kisa hiki kimeibua mjadala mkubwa kuhusu freedom of speech na haki ya wanahabari kufanya kazi yao bila vitisho au ubaguzi. Inadaiwa...
  11. E

    Kwanini Serikali ndio iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe?

    Wakati Serikali ikitangaza kuwepo kwa mpango wa kuwatambua waandishi wa habari wakongwe ambao hawakusomea uandishi wa habari kwa ngazi ya stashahada, swali linalogonga vichwa ni kwa nini Serikali ndiyo iwe mwamuzi wa nani awe mwandishi wa habari na nani asiwe? Hivi karibuni, Msemaji Mkuu wa...
  12. Pascal Mayalla

    Maisha ya Sasa, Pesa Ndio Kila Kitu!, Hakuna cha Bure!, Je Umefika Wakati Habari Zilipiwe?Bila Pesa Hakuna Habari!. Media Zilipwe, Waandishi Tulipwe?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni bure?!, je umefika wakati habari nazo zilipiwe?, bila pesa hakuna habari!, media zilipwe, waandishi...
  13. R

    Burkina Faso yaifungia Televisheni ya Ufaransa 'TV5 Monde' kwa habari za uongo

    Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na mamlaka ya kusimamia vyombo vya habari nchini humo siku ya Jumanne Mei 5, 2026. Hii si mara ya kwanza...
  14. Roving Journalist

    Mwenezi Kenani Kihongosi anazungumzia kuhusu maridhiano, leo Mei 4, 2026

    https://www.youtube.com/live/K8FOhiBhit4
  15. Desierto

    Je, kuna vyombo vya habari vinapoteza kabisa ushawishi Kwa watu kuwafuatilia?

    Chombo kikubwa kama hiki kinaweka chapisho lakini hakuna comment yoyote hii inamaanisha Nini?
  16. DodomaTZ

    LHRC: Bila uhuru wa habari, sauti ya Wananchi hupotea

    Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu. Akizungumza jijini Arusha katika kongamano la waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
  17. M

    ARUSHA: Wadau wajadili masuala ya uzalishaji wa habari pamoja na usambazaji wake katika mazingira ya Kidigitali

    Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika kukabiliana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. Akizingumza leo Aprili 29, 2026, Mwenyekiti wa Mkutano...
  18. UTPC

    Fursa ya Fellowship ya Miezi 9 kwa Waandishi wa Habari wanaopendelea uandishi wenye maslahi kwa umma (PIJ)

    Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki: https://fellowship.utpc.or.tz/auth Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza...
  19. Chizi Maarifa

    Kwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week

    Kwisha habari yao. Simba wamekubali kuingia change room wasipofungwa leo nipigwe ban ya week.. Kalikuwa kasehemu kadogo tu. Kuwa waingie vyumba vya kubadilishia jersey. Waligoma goma now wameshakubali. Watarudi kuja pokeay⁴
  20. Roving Journalist

    Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) walaani baadhi ya Viongozi, Taasisi za Umma.. kudhoofisha uhuru wa Wanahabari na Vyombo vya Habari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mwenendo wa Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania unatisha Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) unalaani mwenendo unaoendelea wa baadhi ya viongozi wa serikali, taasisi za umma na vyombo vya usalama kudhoofisha uhuru wa wanahabari na vyombo vya habari nchini...
Back
Top Bottom