habari

  1. beth

    Uganda: Waandishi wa Habari walioandamana kupinga ukatili dhidi yao watawanywa kwa mabomu ya machozi, wengine wakamatwa

    Polisi imetumia mabomu ya machozi kuwatawanya Waandishi wa Habari wapatao 50 waliokuwa wanaandamana kuelekea Makao Mkuu ya Polisi Jijini Kampala kuwasilisha kero zao juu ya ukatili wa Polisi dhidi yao Waandishi hao kutoka Chama cha Waandishi wa Habari wa Uganda (UJA) walikuwa wakienda kukutana...
  2. Planett

    Taarifa kwa wateja kuhusu system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa

    Hatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio...
  3. Analogia Malenga

    CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mambo yanayoendelea katika uchaguzi wa serikali za mitaa

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Wakati tukielekea mwisho wa ratiba ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, ambao unatarajiwa kuwa leo jioni saa 10.00, Chama...
  4. Mystery

    Mo Dewji azidisha utata wa kutekwa kwake baada ya mahojiano BBC

    Siku chache zillizopita, mfanyibiashara maarufu nchini Mo, alihojiwa kwa mara ya kwanza tokea kuachiliwa huru mwaka jana na chombo cha habari cha nje, shirika la utangazaji la BBC Nilisikiliza kwa makini sana clip hiyo na ningependa maswali yafuatayo yajibiwe na viongozi wetu wa serikali 1...
  5. Pascal Mayalla

    Tanzania tuna uhuru wa habari, ila media oga! Tungekuwa mbali sana kimaendeleo, rushwa, uhujumu, ufisadi, ubadhirifu vingeibuliwa kabla

    Wanabodi, wale wenye access angalieni Star TV, kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa live na Star TV, kila siku za Jumamosi asubuhi, leo Mtangazaji Mahiri, Leonard Mapuli yuko na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Press Clubs, UTPC, Aboubakar Karsan, anamwaga nondo za kufa mtu...
  6. Pascal Mayalla

    Habari ya Dr. Shika Daily News: Dear Daily News, you are a broadsheet and not a tabloid!, habari za udaku, umbeya na udhalilishaji waachieni Tabloids!

    Wanabodi, Kupitia bandiko hili, imeripotiwa kuwa gazeti serious la serikali, The Daily News, ameripoti habari hii ya Dr. Shika https://www.jamiiforums.com/threads/bilionea-dr-shika-hana-sehemu-ya-kulala-analala-kituo-cha-magari-mnazi-mmoja-dar.1645086/#post-33317174 Imeripotiwa in a form of...
  7. W

    Al-Kasusi au Al-Kasusu ni kinywaji gani? Kinasaidia nini mwilini?

    Wana JF habari zenu. Nafikiri kuna watu mbalimbali wameshakutana na vijana mtaani wakiwa wamevaa kanzu na kofia wamebeba chupa za chai na vi-glass vya plastic wanauza sijui huwa ni vitu gani, sijui ndiyo hiyo Al Kasusu? Naomba anayejua anifafanulie na ina kazi gani hiyo kitu. Nawasilisha.
  8. Mpinzire

    Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

    Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini. Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy? Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
  9. Mystery

    Ni kwanini habari kubwa ya Amnesty International na Human Rights Watch haikutangazwa na vituo vyote vikubwa vya runinga nchini?

    Habari kubwa nchini hivi sasa ni hizi ripoti za Amnesty International na Human Rights Watch kuionya Tanzania kuhusu mwenendo wake wa kila kukicha, tokea Rais Magufuli aingie madarakani mwaka 2015, kupeleka sheria Bungeni za kukandamiza vyombo vya habari, kuziminya kampuni zisizo kuwa za...
  10. C

    Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

    jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi sasa hivi ina wezekana ana mimba au?
  11. Mwana Taaluma

    Habari ndugu zangu

    ,,,
  12. figganigga

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
  13. Tuelimishanee

    Sitashangaa waziri Dkt. Angelina Mabula akipita bila kupingwa 2020- Dkt. Bashiru Ally

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally amesema hatashangaa kuona mbunge wa jimbo la Ilemela ambaye ni Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akipita bila kupingwa katika uchaguzi mkuu ujao 2020 kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya kuwaletea...
  14. Mstahiki Mea

    Utapeli mpya Tanzania

    Unaijua biashara ya mtandao? Hii ni siri nzito usiyoijua Biashara ya mtandao – hii ni biashara tofauti na watu kama Facebook, Zoom, matangazo ya kulipia au tovuti na barua pepe. Biashara hii au mfumo huu ambao unaitwa ujasiriamali, mara nyingi si halisi kama watu wanavyouuza mtaani. Watu wengi...
  15. Kurzweil

    Serikali yalifungia gazeti la MSETO kwa miaka 3 kwa kuandika habari likitumia nyaraka za kugushi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amelifungia gazeti la Mseto kwa miezi 36 kutokana na kuandika stori yenye nyaraka za kughushi. Nape amelifungia gazeti hilo leo baada ya kuandika habari ya uongo kuhusu Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Edwin Ngonyani na...
Back
Top Bottom