gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga

    Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga
  2. Ni tabia gani unayo ambayo Mama yako haifahamu?

    Kila mama anadhani anamjua mwanae asilimia 100, lakini ukweli ni kwamba kila mtu ana tabia yake ya siri ambayo mama yake hajawahi kuijua. Sasa tuambie ni tabia gani yako ambayo mama yako haifahamu?
  3. R

    Umejiandaaje na project gani na wewe kupata mgao wa bilioni 700 za El Nino? Sisi tunarekebisha madaraja!

    Bilioni 730 za El Nino ije is8je lazima "zitafunwe". Wewe umebuni mradi gani? Safisha mitaro, rekebisha madaraja, chimba mitaro mipya kuchepusha maji, bomoa nyumba zilizo karibu na njia za maji, mabinde, mito etcetc. BUNI MRADI
  4. M

    Mtutsi ni mtu ambae hapendi kuongozwa na Mbantu, Pamoja na kuwa wachache atafanya lolote apate uongozi au usawa kwenye uongozi sehemu yenye wabantu

    Uganda – Inaongozwa na serikali ya Yoweri Museveni. Mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, amewahi kutoa kauli za kusifia asili yake ya kitutsi na kuonyesha uungaji mkono kwa kundi la M23. Rwanda – Kwa mujibu wa makadirio yanayotajwa mara nyingi, Watutsi ni takribani asilimia 14, huku Wahutu wakiwa...
  5. M

    Kuna tatizo gani kiwanda cha Tanzania distillers Ltd kuacha kuzalisha Valeur brandy? Wateja wanahangaika sana

    Kinywaji hiki pendwa hapa nchini kimetoweka kwenye soko. Kinapendwa sana na wateja wangu. Kama zaidi ya miezi mitatu kimepotea kwenye soko.
  6. Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  7. Sijui kama mambo yamebadirika ila nakumbuka zaman shulen tulikuwa tunalishwa matango pori kuhusu ujamaa na ukomunist na jinsi gani ubepari ni ushetani

    Ila sasa hivi hauwezi kudanganya vijana kama ulivyofanya miaka ya 70, 80, 90 na early 2000s SAsa hivi wanajionea ukweli wenyewe katika TV kubwa iitwayo globalization. Tulidanganywa mengi, tukafichwwa historia za maana ili tuwe wahanga wa system ambayo haikufanya kazi kiuchumi na maendeleo...
  8. Mkia wa samaki Taa(Stingray) una maajabu gani?

  9. M

    Ni faida gani Taifa linapata kwa Serikali kujielekeza kwenye mashindano ya U miss, na mashindano mengine yanayofanana na hayo?

    Ndugu wanajamvi je serikali haioni ni muda muafaka wa kuwashindanisha vijana katika mambo muhimu kwa ajili ya kujenga taifa lenye watu walio na utaalamu na hasa ikizingatia uhitaji wa dunis ya sasa? Kwa nini kama nchi turuhusu mambo ya kipuuzi kama urembo, utanashati na Makonda juzi anatoa maoni...
  10. Kuna watu hapa Tanzania ukiwaona tu unatambua ni kabila gani au watu wa mkoa gani .

    1. Wamakonde ukiona vichwa vya mviringo unajua tu huyu ni mmakonde 2.Mchaga macho makubwa, vichwa vikubwa na miguu myembamba unafamu huyu ni mangi . 3.Mhaya sura ngumu ya kutisha na imekomaa unafahamu huyu ni kyoma. 4.Muiraq/mmburu weupe mkali miguu myembamba na pua mchongoko hapo unajua maji...
  11. E

    Serikali imechukua hatua gani kwa hatari hii ya kemikali?

    Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu uwajibikaji wa taasisi za serikali, usimamizi wa vibali na usalama wa wananchi wanaoishi karibu na...
  12. M

    HOJA Intelijensia ya Polisi inafanya kazi wakati gani? Kwanini magari kama haya yanatembea Dar bila Sheria kuzingatiwa?

    Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O. Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna aliye juu ya sheria”?
  13. M

    Mchoraji wa Katuni hii ana maana gani?

  14. Wengine wanavuna asali, wengine wanatengeneza pesa kwa kuiuza — wewe upo upande gani?

    Je, unajua kwamba unaweza kuingiza kipato kizuri kupitia biashara ya asali hata kama humiliki mzinga mmoja wa nyuki? Hebu fikiria jambo hili. Mfanyabiashara mmoja ananunua asali kutoka kwa wafugaji wa nyuki mkoani Tabora, anaichuja, anaifungasha vizuri kwenye chupa zenye lebo, kisha anaiuza...
  15. Hivi Kahama kuna viwanda gani?

    Naomba kuwa refreshed. Takribani kama miaka mi4 sijakanyaga kahama, je kwa sasa kuna viwanda gani vya maana vilivyopo katika wilaya ya Kahama?
  16. WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

    Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
  17. Hivi ni dawa gani inayoweza kumuwezesha mtu kua Mnene?

    Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu. Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu. Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu...
  18. L

    Kadri ushindani kuhusu madini ya Afrika unavyozidi kuimarika, ni njia gani sahihi ya ushirikiano inayohitajika?

    Yakiendeshwa na ukuaji wa haraka wa nishati mpya na utengenezaji wa hali ya juu, madini kama vile madini adimu, lithiamu, na kobalti yamekuwa karata muhimu katika ushindani wa kimataifa. Bara la Afrika lenye utajiri wa madini linaonyesha hali tata: nchi zenye uchumi mkubwa zinaimarisha msimamo...
  19. Ina maana gani katiba kusema sisi ni nchi ya kijamaa?

    Ujamaa uko wapi Tanzania ? Kuna sera gani ya maana ya kijamaa Tanzania ya kunufaisha raia wote?? CCM acheni utapeli kusema sisi ni nchi ya kijamaa na mmeandika hivyo kabisa katika katiba yenu wakati hata huduma ya afya sio bure kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kibepari kama Canada, Scandinavia...
  20. Kuna ukweli gani mikoa imekabidhiwa mawaziri walezi ?

    Kuna maneno kwamba mikoa imegaiwa mawaziri kuwa kama walezi wa hiyo mikoa ndio maana Bashite anatamba Mwanza kama Waziri mkuu au waziri wa wizara zote akikagua vivuko, hospital, n.k huku akitioa maagizo. Kama ni kweli huu utakuwa ubunifu mpya wa CCM ambao haijawahi kutokea duniani 🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…