Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu.
1.Simu yako ina dakika uniazime?
2.Kuombana vifaa vya kazi.
3.Kuombana mavazi hasa viatu.
Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
Wajuzi,Hizi plate no. Ni za taasisi gani? Madawa ya kulevya hutumia namba gani?
Nimejiuliza sana kitambo sijapata majibu
"SJK" na "SMT" ZINA KIBAO CHEUSI NA BENDERA YA TANZANIA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani.
Amesema zamani walidhani ni mchakato utakaoongozwa na TCD lkn baada ya kuambiwa utakuwa unaripoti kwa rais...
Youtube kuna full movies nyingi sana. Nyingi za zamani na chache mpya. Ni wewe na bando lako tu, na uzuri youtube haili bando kivile.
Mi napenda kutembelea channel inaitwa Wu Tang collection kuangalia movie za zamani za kichina. Hizo ndiyo huangalia sana.
Juzi wizara husika kwa kushirikiana na vyombo vengine vya kisanaa vilitangaza shortlist ya majina wanaogombea tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za wasanii bora wa muziki Tanzania.
Kinachoshangaza sana, wasanii wanaoiwakilisha nchi kimataifa i.e. diamond, alikiba, zuchu, rayvanny etc hawajajitokeza...
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame
Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana...
Wakati niko shule niliwaona watu (couples) wakiwa na furaha nyakati zote, kusaidiana nyakati zote.
Nikajipa matumaini na kusema mapenzi matamu Nami nitainjoy soon.
Mda ukafika kila niliyokuwa naye sikuwahi pata Yale niliotarajia nikiwa shule.
Nilijua kwenye mapenzi kuna.
•Utulivu
•Furaha...
Habari waungwa sana wa JF
Leo nimeona nami nijaribu kushea tukio moja ambalo kila nikikumbuka nabaki kusema ni mungu tu.
Siku hiyo asubuhi naelekea stendi kupanda gari ya kuelekea Dar es salaam. Siku moja kabla ya safari nilitanguliza mizigo miwili ya kukaa kwenye buti. Sasa asubuhi nilibeba...
Habari wana MMU,
Leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi naye.
Naanza mimi:
=> Kwenye maguest house
=> Kwenye migahawa ya chakula
=> Kwenye ma bar na kumbi za muziki
=> Sokoni au maeneo ya gulioni
=> Kwenye...
Mtoto amekuwa akipata tatizo la kutoka damu puani mara kwa mara.
Kumekuwa na maoni tofauti wengine wakisema ni hali tu ya kawaida.
Ninachotaka kufahamu kutoka kwa Daktari au Wataalamu ni hatua gani ikifikia inabidi kwenda kumuona Daktari?.
Wakuu,
Binafsi mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery
Kwa wakati tofauti, Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake
1. Katika kabila letu LA kaskazini kule kuna watu wa mahala fulani kaniambia nisioe huko hata kwa...
Wakuu,
Leo ni Ijumaa? Kama kawa nimetoka..nipo na Pic kali nakumbukia ujana.
Kama kawaida yangu napiga bia zangu za buku sh tano...ila pic I napiga savana.
Pic ishakunywa kama savana 4 afu tushapata mbuz choma yaani mambo ni fresh...ila muda huu kuna savana mbili zimekuja mezani..sijajua...
Habair wanajamii
Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba.
Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
Habari zenu wana JF wenzangu.
Mara nyingi katika maisha yetu tumekuwa tukikutana na mambo kadha wa kadha, ikiwamo fursa, ajira, changamoto, connections na hata Utapeli.
Katika maisha yetu haya yaliyojaa harakati, utapeli umekuwa ni mkubwa sana.
Takribani miezi miwili iyopita nilikutana na...
Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani, na huyo Dr Mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani?
=========
Kwanini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena?
Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii...
Habarini. Kuna hii ishu ya majanga ya kiikolojia ambayo mara nyingi husababishwa na binadamu na shughuli zao. mfano hapa Tanzania kuna janga la Magugu maji katika ziwa Victoria. Inasemekana yaliletwa sijui na watu gani. Pia nasikia kuna Samaki, kati ya Sato au Sangara, waliwekwa humo ziwani na...
Habarini za muda huu,
Kumekuwa na Vita nchini Ukraine ambapo majeshi ya Ukraine yanalinda nchi Yao dhidi ya uvamizi wa Rassia katika nchi Yao.
Dhamira ya nje ya Ukraine ni kujilinda dhidi ya uonevu wa Rassia.
Dhamira ya nje ya Rassia ni kuwalinda wa Ukraine wanaonewa na serikali yao wenyewe...
Tanzania kuna matabaka 2 makuu, tabaka tawala na tabaka tawaliwa.
1. Tabaka tawala
Hili ni tabaka ambalo wengi husomesha watoto nje ya nchi licha ya wananchi wa tabaka tawaliwa kusotea msosi wa kila siku.
Imagine, watu wanasema vyuma vimekaza lakini Ukraine pekee ilipokea vijana wa Kitanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.