dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. HOJA Majengo na Maghorofa chakavu yaliyopo katikati ya Jiji la Dar es salaam yapakwe rangi yanatia aibu

    Moja kwa moja ... Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati ya Jiji bila uboreshaji wowote . Kuna Afcon wageni wanakuja Dar ambayo tunayojivunia sasa ikiwa...
  2. Updates: Kinachoendelea kwenye Maadhimisho ya Miaka 50 ya Biashara Kimataifa Saba Saba Julai, 2026 Dar es Salaam

    Leo Julai 7, 2026 ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya Biashara Kimataifa, maarufu kama Saba Saba (77), ambapo mataifa mablimbali hupata kuonyesha bidhaa zao na kuimairisha ushirikiano wa kibiashara na Tanzania. Siku imeanza vizuri ikiwa na kimvua kwa mbaliiii, kushusha vumbi njia ionekane vizuri ili...
  3. A

    DOKEZO Harufu ya rushwa katika Idara ya Utawala na Utumishi, Halmashauri ya Ilala

    Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu. Kinachoshangaza ni kwamba baadhi yetu tunakatwa mishahara, lakini wenzetu wengine hadi leo...
  4. Wasafirishaji wa Dar es Salaam wakataa kutumiwa kufanya maandamano ya kiharifu

    Kanusho bodaboda,bajaj na daladala hawaja tangaza kuuunga maandamano aidha wanawasihi wananchi kuyapinga kqa kuwa wao bila watu kwenda kutafuta hawapati chochote kitu
  5. Wapi nitapata hivi vifaa vya ujenzi hapa Dar es Salaam?

    Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa. Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
  6. Kwanini hatuwazi kama Japan, Korea, Singapore na Ulaya?

    Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30. Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
  7. Nukuu za Rais Samia akimkaribisha Rais chapo κατικα maonesho ya biashara ya kimataifa, jijini Dar es Salaam

  8. Plot4Sale Plots For Sale at Dar es Salaam

    Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. Plots available for sale; Location: Dar es Salaam areas. •Mbagala Chamazi: Industrial area, 14km from Kilwa rd, 11 acres(SQM 42,308), USD 8M, Title Deed. •Kisemvule: Industrial area, 400m from Kilwa rd, 3.5...
  9. Chalamila: Wananchi wa Dar kufanyiwa vipimo vya afya bure kuanzia Julai 3 hadi Julai 8, 2026

    Albert Chalamila, leo Julai 2, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa kampeni maalum ya upimaji wa afya na utoaji wa matibabu bure kwa wananchi kwa muda wa siku sita. Akitoa taarifa hiyo, Chalamila amesema kampeni hiyo itaanza Julai 3 hadi...
  10. Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Dar es Salaam | 01 Julai, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=k_vjhqNEwi4&pp=0gcJCU4LAYcqIYzv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha Viongozi Wateule, 01 Julai, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
  11. Wanaochafua Dar es salaam ni hawa watatu

    1. Mabango ya manabii/wachungaj 2. Mabango ya CCM 3. Matangazo ya waganga Yani kila sehemu yapi ovyoovyo, nchi haina utaratibu kabsa kama tunaishi porini. Huwez kukuta ujinga huu kwa watu wanaojtambua hata mara moja Kila kituo cha daladala, stend ya mabus , pembezoni mwa barabara hizo takataka...
  12. M

    Tetesi: Mgomo wa Wasafirishaji Dar kuanza Tarehe 1 Julai 2026

    Kutoka mitandaoni, mwaka huu CCM maji wataita mma, CCM wanajitengenezea matatizo Nimekutana na hii video, Kumbe LATRA walisema wataenda na Police?, mwenye video ya Henche anavoelezea Tanzania mapolisi kujazana Dar aweke hapo chini. Pia tunaomba anayemfahamu huyu mmliki wa MOFAT ni nani...
  13. Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

    Maisha ya mkoani shikamooo Hakuna connection Hakuna dili za kutosha Kazi ngumu malipo hafifu Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta Nipe connection ushauri nk Karibu
  14. M

    Barua ya wazi kwa Mufti na sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu tabia ya kutukanana kwa baadhi ya masheikh mitandaoni

    Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Na: Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam SOMO: WITO WA KUDHIBITI TABIA YA KUTUKANANA NA KUDHALILISHANA MITANDAONI KWA BAADHI YA MASHEIKH. Assalaam alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Nawasilisha barua hii nikiwa kama mmoja wa Waislamu anayejali kwa dhati heshima ya...
  15. Hawli ya Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Nyumbani Kwake Magomeni Dar es Salaam

    Anaelezwa kuwa hakuwa alim (mwanachuoni) wa dini pekee, bali alikuwa mwanasiasa shupavu ambaye historia ya Tanganyika haiwezi kuandikwa bila kumtaja. Alikuwa na ushawishi mkubwa kwa viongozi wa TANU na alimuunga mkono Mwalimu Nyerere katika harakati za uhuru,. Mgogoro wa EAMWS na BAKWATA: Video...
  16. Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    Wakuu naimani wazima Twende kwenye Mada moja kwa moja Nimekuwa nikifanya biashara ya Hotspot kwa muda sasa na kumiliki site maeneo tofauti, ila kwa sasa majukumu yananielemea kulingana na project nyingine nje ya Hotspot business nazo fanya inapelekea kukosa usimamizi mzuri kwa baadhi ya...
  17. A

    KERO UCHELEWESHWAJI WA UTOAJI VYETI VYA TAALUMA IFM DAR ES SALAAM

    Naomba wakubwa mtusemee labda nyie watawasikiliza. Kuna ucheleweshwaji wa utoaji vyeti vya taaluma usio na sababu ya msingi katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM hii inatuwia vigumu tunaotoka mikoani. Wiki ya nne sasa hatujapata vyeti na hatuna makazi maalumu ya kuishi tumelazimika...
  18. A

    KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  19. Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

    Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina...
  20. Utapeli upo huu upo? Ama kweli Bongo Dar es Salaam

    Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu. Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo lakini wote wakubwa. Jiji maarufu la vyakula vitatu wali, chips na ugali. Jiji lenye vyanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…