dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Natafuta kazi ya part-time (usiku & wikendi) Dar es Salaam – home tuition (Math & Chem) / IT / kazi yoyote halali

    Habari za muda huu wana JamiiForums, Mimi ni kijana Mtanzania, mwalimu kitaaluma(Professional Teacher) ambaye kwa sasa ninaendelea na masomo ya shahada ya kwanza (sayansi ya kompyuta) hapa Dar es Salaam. Kutokana na majukumu ya kimaisha na masomo, natafuta kazi ya part-time (muda wa usiku na...
  2. Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Jijini Dar es Salaam | 27 Novemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/eYm_4HmbPWE Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 27, 2026.
  3. Rais Samia anafungua Mkutano wa Tatu wa Kisayansi wa Afya JNICC, Dar es Salaam | 26 Novemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/RHxzTxFUdNE Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifungua Mkutano wa Tatu wa Kisayansi wa Afya ya Uzazi, Mama, Mtoto Mchanga, Mtoto, Vijana na Lishe, JNICC jijini Dar es Salaam Novemba 26, 2026.
  4. C

    TANESCO yatangaza kukosekana kwa umeme baadhi ya maeneo dar es salaam

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam kufuatia hitilafu iliyotokea kwenye njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 220 kutoka Kituo cha Kinyerezi kwenda Kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Ubungo...
  5. Taarifa ya hitilafu kwenye njia ya kusafirisha umeme iliyopelekea kukatika umeme maeneo kadhaa kwa wateja wa mkoa wa Dar es Salaam

    TAARIFA KWA WATEJA WA MKOA WA DAR ES SALAAM
  6. A

    🚘 Unapanga kuagiza gari kupitia bandari ya Dar es Salaam?

    Jambo muhimu ni kuhakikisha unaandaa mapema nyaraka zote zinazohitajika kwa ajili ya usafirishaji na uingizaji wa gari lako. Nyaraka zilizokamilika na kupangwa vizuri zitakusaidia kuelewa vizuri mchakato wa ushuru na forodha, pamoja na kupunguza ucheleweshaji unaoweza kuepukika. AGENT MALCOLM...
  7. U

    Hivi wakatoliki hela wanatoa wapi? Jimbo Kuu Dar es salaam wachanga shs Bilioni 6 Sadaka ya Mavuno

    Mimi ni msabato lakini Leo nawapongeza Wakatoliki Kanisa moja Takatifu la Mitume Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam limekusanya jumla ya Shilingi bilioni 6.15 (TSh 6,154,464,705.55) katika kilele cha mchango wa Misa ya Mavuno (Tegemeza Jimbo) kilichofanyika leo Jumapili, Novemba 22, 2026...
  8. Dar es salaam: Miradi ya kuimarisha upatikanaji wa umeme yafikia hatua za mwisho kukamilika

    Serikali yawekeza zaidi ya bilioni 193 kuimarisha upatikanaji wa umeme Dar kukidhi ongezeko la mahitaji ya kiuchumi na kijamii Miradi inayotekelezwa inalenga kuongeza uwezo wa kusafirisha umeme kutoka vituo vya uzalishaji hadi kwa watumiaji
  9. S

    Mimi ni dereva mwaminifu na makini, natafuta bajaji ya hesabu – Dar es Salaam

    NATAFUTA BAJAJI YA HESABU – DAR ES SALAAM (DEREVA MWAMINIFU NA MAKINI) Habari wana-JamiiForums, Ninaomba mwenye bajaji iliyo katika hali nzuri ya kiufundi na anahitaji dereva wa hesabu jijini Dar es Salaam, tuwasiliane ili tuweze kufanya kazi kwa uaminifu number 0621810992
  10. D

    Ninaomba kazi yoyote nipo dar es salaam nina degree ya petroleum chemistry

    Habari za wakati huu na samahani ,nilikuwa naomba kama naweza pata kazi ambayo itanisaidia kwa namna moja ama nyingine kikubwa iwe ya halali nipo dar es saam na pia nina uzoefu wa kufanya kazi maabara na kiwandani elimu yangu ni degree .msaada🙏🏻🙏🏻tafadhali Namba yangu ni 0798449559
  11. Computer4Sale Mjapani Company, Tunauza kompyuta desktops na laptops aina zote, za wanafunzi, professional, Gamers, workstations na n.k,tupo dar es salaam

    Unahitaji kompyuta kwa ajili ya kazi zako kama library, ofisini, video editing, engineering, architecture na n.k. Njoo ujipatie PC desktops na laptops kwa bajeti yako, kwa mawasiliano nicheki 0756704145 call,sms, WhatsApp.
  12. Mjapani Company, Tunauza kompyuta desktops na laptops aina zote, za wanafunzi, professional, Gamers, workstations na n.k,tupo dar es salaam

    Kwa mahitaji ya kompyuta laptops na desktops njoo ujipatie kwetu kwa hitaji lako, nitajie PC unataka ya kazi gani nikupe bei na specs (sifa) za PC unayotakiwa kuwa nayo, nicheki 0756704145 call,sms, WhatsApp.
  13. Mjapani Company, Computer desktops and laptops tunauza, tupo dar es salaam, magomeni, kariakoo, na mawasiliano

    Kama unahitaji gaming PC na workstations za custom build yaani unawekewa hardware unazotaka kama RAM, HDD au SSD , CPU kulingana na mahitaji yako...kwa desktops Computer, pia kwa laptops zipo aina zote za gaming, professional na mobile workstation zenye gpu ya NVIDIA graphics card... Njoo na...
  14. Kando na Dar es Salaam, Mbeya ndio mkoa unaokuwa kwa kasi zaidi

    Habari wakuu. Pengine sipo sawa au nipo sawa kwa maana hii ni my own experience. Mimi nimepita mikoa kadhaa na nimeishi miji ya mikoa mingi sana nchi hii. Dodoma, Arusha, Kilimanjaro, DAR, Mwanza , Geita , Bukoba na Shinyanga ni baadhi ya mikoa na miji niliyoishi . Kwa experience niliyoipata...
  15. Ukweli kuhusu Foleni za Dar es Salaam!

  16. B

    job vacancies in dar es salaam November 2026

    Explore the latest 518 Jobs in dar-es-salaam, November 2026 Apply For the 518 jobs Found in dar-es-salaam on this November 2026. Explore various jobs from various companies. Herocean Enterprises (T) Ltd, United Bank for Africa (UBA) Tanzania, As Recruit Solutions, LGV Real Estate Consultants...
  17. Kama unataka kumpigia mtu na yuko Dar es Salaam jaribu kumpigia kwa line zingine. Tigo )Yas mtandao hapa Dar ni majanga

    Hii haswa kwa wamiliki wa line za tigo aka Yas walioko Dar es Salaam katikati. Ukiwapigia lazima halo halo ziwe nyingi. Ni miezi 2 sasa nimefanya utafiti na kuona hili. Yas mnayumba
  18. Honda yawekeza Tanzania, yafungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki Dar es Salaam

    Kampuni ya Honda imefungua kiwanda cha kuunganisha pikipiki eneo la Ubungo, Dar es Salaam, hatua inayolenga kuongeza ajira kwa vijana, kukuza ujuzi wa kitaalamu na kuimarisha sekta ya viwanda nchini. Kiwanda hicho kitaunganisha pikipiki kwa kutumia vipuri vinavyoagizwa kutoka nje, hatua...
  19. Malalamiko makubwa Dar es Salaam ni msongamano wa vyombo vya moto barabarani, ipo mbinu ya siri sana ya kumaliza changamoto hiyo

    Katika moja ya changamoto zinazosumbua Dar es Salaam ni foleni barabarani Gharama za kumaliza hii changamoto kwa njia za kawaida ni kubwa sana inayogharimu billions za tsh ambazo ni usumbufu mkubwa sana kwa Serikali wakutenga budget Lakini kupitia Pakome kuna mbinu za siri sana za kumaliza...
  20. Naomba wazo la biashara la mtaji wa 15m hapa mkoa wa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa 15m hapa mkoa wa dar es salaam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…