chuo

  1. A

    KERO Changamoto ya upungufu wa Wakufunzi na miundombinu duni katika Chuo cha Ufundi Arusha

    Mimi ni mwanafunzi wa Arusha Technical College (ATC), na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayolikabili chuo chetu kwa sasa, hususan katika suala la upatikanaji wa wakufunzi na rasilimali za kujifunzia. Kwa muda sasa, chuo kinakabiliwa na upungufu mkubwa wa wakufunzi, hali ambayo imeathiri...
  2. L

    KERO Wanafunzi tuliohitimu clinical medicine chuo cha Kilimanjaro College of Health and allied sciences mwaka 2025 mpaka leo hatujapata vyeti vyetu

    Habarini za kazi , Wahitimu wa diploma ya Clinical medicine wa chuo cha Kilimanjaro college of health and allied Sciences (KICOHAS)tulihitimu mwaka 2025 mwezi wa nane mpaka leo hatujapata vyeti Soma Pia: Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Arusha wa Mwaka 2025 hatujapatiwa vyeti vyetu, wanatupiga...
  3. D

    Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

    Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
  4. A

    KERO Changamoto tunazopitia wanafunzi wa Kozi za Afya katika Chuo cha Kolandoto College of Health Science [KCHS]

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi; 1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa...
  5. N

    Naomba anaejua Chuo cha Mitambo (Skaveta, Greda na Rola)

    Ndugu zangu naomba kujua vyuo tajwa hapo juu vinapatikana wapi ? Elimu yangu ni form 4 . Nilipata dv 3 natamani kusoma mitambo hio .kuopperate. Naomba muongozo
  6. Mercenary Army

    Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    WanaJF salamu, Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
  7. A

    KERO Chuo cha Ustawi wa Jamii wananyanyasa wanafunzi waliopungukiwa ada

    Mimi mwanafunzi wa degree institute of social Work campus ya dar es salaam. Nimeathirika kisaikolojia baada ya kuzuiwa kufanya mtihani wa continuous assessment (CA) kwasababu sijalipa ada kwenye installment ya 3. Kumbuka ni mitihani ya CA sio hata mtihani wa mwisho wa semester. Sasa, mimi...
  8. Babu Sisu

    Historia ya Professor wa chuo cha Udsm aliyeuawa kwa bomu

    Miaka ya 1970 katika chuo cha kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) kulikuwa kuna Professor mmoja maarufu aliefahamika kwa jina la Walter Rodney alikuwa ni raia wa Guyana nchi inayopatikana bara la Amerika kusini Rodney alikuwa ana PHD ya Historia ya Afrika aliyoipata katika chuo kikuu cha London...
  9. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Afya Kilimanjaro (KICHAS) hatujapata vyeti, tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika

    Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika. Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa chuo wanasema kwenye vyuo vilivyopata vyeti chetu hakipo kwa sababu kilisahaulika wakati wanaprint vyeti.
  10. A

    KERO Mashine ya Reach Stacker Chuo cha Bandari Dar ni mbovu, inatukwamisha, tunashindwa kujifunza kwa vitendo

    Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Bandari kilichopo Tandika Jijini Dar es Salaam, sisi tunaosoma kozi fupi ya Reach Stacker tunapokwenda kwenye mafunzo kwa vitendo pale NASACO Bandarini hukuta mashine moja, pia mashine yenyewe ni mbovu na chakavu. Tunaishia kufundishwa kwa maneno na kubadilishiwa...
  11. C

    Jinsi nilivyoanza ujasiriamali kipindi nipo chuo

    nakumbuka kipindi hicho nilikua nimepanga mtaani ilikua ni mwaka wa pili maana mwaka wa kwanza nilikaa hostel baada tu ya kuingia mwaka wa pili nikatafuta geto nikalipia kodi nikanunua godoro na mazaga machache, sasa mimi ni mtu ambae napenda wanyama baada ya kuona nimekaa mpweke sana pale...
  12. R_Breazy

    Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

    Habari za wakati huu Baada ya kuhitimu chuo 2025, niliweka matumaini mengi sana sababu Kuna watu hadi ndugu walinikazia nimalize ili wapate angalau namna ya kunisaidia, nilipambana nikamaliza yote ni Baada ya kuacha. Nilitakiwa nimalize 2023, ila mambo yakawa mengi chuo nkatema nkaingia kitaa...
  13. A

    KERO Daraja hili Kigamboni eneo la Kona ya Chuo cha Mwasonga haliishi, tunateseka na nauli

    Hii ni Kigamboni, barabara inaunganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga, hilo daraja haliishi maji, yakijaa hapo Watoto hawaendi shule wiki ya tatu sasa. Yaani ukitaka kwenda Cheka boda anakushusha upande na mwingine anakupokea upande wa pili yaani kona ya Chuo cha City College, tunalipa nauli...
  14. A

    KERO Somo la Pharmacognosy Mwaka wa 3 Chuo cha Kampala (KIUT), mhusika anaweka ‘ugumu’ ili tufeli, ‘ukimtoa’ unafauli

    Mimi Mwanafunzi wa Kampala (KIUT), Kozi ya Pharmacy, kuna jambo linatukera sana, kuna tabia ya Walimu kukomoa Wanafunzi, kutuwekea mazingira magumu ya kufaulu mtihani, na njia pekee ya kutoboa hapo ni “kunyoosha mkono uwe mrefu” jambo ambalo linatushinda Wanafunzi wengi, hatuna uwezo huo ikifika...
  15. A

    KERO Mabafu na Vyoo vya Mabibo Hostel kukosa milango ni hatarishi kwa watumiaji

    Habari, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia ni mkazi wa Mabibo hostel. Hii changamoto imekuwa ni kwa miaka sasa. Mabafu na vyoo havina milango na wala hakuna dalili za marekebisho kwa usalama wetu binafsi. Hilo suala ni kero kwa sisi tusiokuwa na makazi zaidi ya hostel...
  16. A

    KERO Chuo cha T.I.A inatunyanyasa Wanafunzi tunaotumia mfumo wa zamani chuoni hapo

    Tangu mwaka wa masomo ulipoanza mwezi November 2025, baadhi ya wanafunzi TUNAOTUMIA MFUMO wa ZAMANI wa chuo hicho, tumekumbana na changamoto kadhaa na hatupati msaada kokote tunakokwenda. Kwanza kabisa, Account zetu za uanafunzi zimezuiliwa, huwezi kuiona account yako kwenye kifaa chako kama...
  17. E

    Safari ya Jenerali Ulimwengu kutoka Ngara hadi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Kumekuwa na utata wa wasifu wa mwandishi wa habari mkongwe, Jenerali Ulimwengu, hasa baada ya kutakiw akuomba upya uraia, enzi za Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa. Akizungumza katika mahojiano maalum, Jenerali Ulimwengu anasimulia safari yake tangu alipozaliwa wilayani Ngara mkoani...
  18. O

    “Miaka yote Imeenda Bure?” Students wa KIM walia baada ya Serikali Kufunga Chuo na Kufuta Vyeti vyao

    Wadau, mambo ni mazito kwa maelfu ya students wa Kenya Institute of Management baada ya Technical and Vocational Education and Training Authority (TVETA) kuifungia kabisa na kufuta vyeti vyote vilivyotolewa kuanzia 2018 Hii si mchezo imagine umesoma miaka kadhaa, umelipa fees, umegraduate…...
  19. Roving Journalist

    Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

  20. A

    KERO Tuliosoma Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) – Mwanza tunashindwa kujisajili Ajira Portal

    Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November lakini nilivyojaribu kufuatilia Vyeti vyangu vya Certificate na Diploma nimepata kimoja cha Diploma...
Back
Top Bottom