chuo

  1. A

    DOKEZO Chuo cha Agha Khan kinatoa Shahada kwa miaka miwili tofauti na vyuo vingine na TNMC wapo kimya!

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
  2. E

    Msaada wa kozi ya afya ya kusoma kwa ufaulu huu

    Habari ndugu zangu ! Mdogo wetu wa kike amepata ufaulu huu hapa chini na tungependa kupata ushauri kwa next step. GS - S Physics - D Chemistry- C Bio - C Bam - C Anapenda mambo ya afya sana, sasa je ufaulu utamruhusu ? Chuo gani bora kwa kozi hizo hapa Tanzania ? Gharama / mkopo nini kifanyike...
  3. D

    Ofa ya halotel chuo je ni ya kweli

    Wakuu samahani Nimesajili laini mpya ya HALOTEL ya chuo Ina wiki Sasa Walinipa gb kama 5 hivi za ofa mwanzoni navosajili alafu wakasema Kuna ofa ukiunga kifurushi cha mb 980 cha 2000 na ukatumia ndani ya masaa SITA kikaisha wanakupa ofa ya gb 2. Nataka kuuliza kama Kuna mtu ashawi fanya hii...
  4. M

    Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
  5. A

    DOKEZO Chuo Kikuu Huria Tanzania (Vituo vya mikoani): Malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi

    Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, hususan katika vituo vya mikoani, kuna malalamiko kuhusu mgawanyo wa baadhi ya nafasi za kazi ambazo zinaonekana kutotumika ipasavyo. Kwa mfano, kuna vituo vyenye wafanyakazi watatu pekee lakini bado vina Afisa Rasilimali Watu (Human Resources Officer)...
  6. A

    KERO Wanafunzi Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) tumesaini ada bodi ya mikopo mpaka sasa Leo 1-07-2026 hazijawekwa kwenye mfumo wa matokeo

  7. M

    JWTZ wazalendo waungeni Wananchi 7/7, Viongozi wazalendo kumbukeni mafunzo yenu kutoka chuo cha Taifa cha Ulinzi, kuhusu usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa si tu kutokuwepo kwa vita, usalama wa Taifa unahusu umoja wa Kitaifa, Utulivu wa kisiasa, uchumi, teknolojia, masuala ya kijeshi na mazingira. Chadema kimekwisha kuwa chama cha kitaifa kutumia taasisi za serikali kama Jeshi, polisi na usalama kukizuia kufanya kazi ni...
  8. Napenda kukifahamu chuo cha Afya Kange

    Habari za asubuhi wadau Nisaidieni mwenye kukifahamu vizuri naombeni MSAADA maana naona matangazo mengi sana huko kwenye mitandao mingine
  9. Napenda kukifahamu chuo cha Afya Kange

    Habari za asubuhi wadau Nahitaji MSAADA wa kupata chuo huko kwenye mitandao mingine naona matangazo mengi kuhusu hiki chuo vipi wakuu kinafaa au ndoa kizuri chajiuza.......
  10. Chuo Direct: Msaada Kamili Waombaji Vyuo

    KARIBU CHUO DIRECT* Hiki ni Kikundi Rasmi cha Msaada kwa Waombaji wote wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania. Huduma Tunazotoa: 1. Mikopo ya HESLB- Maombi kamili, marekebisho ufuatiliaji 2. Uhakiki wa Vyeti - Vyeti vya kuzaliwa. 3. Namba za AVN & Loss Reports - Tunakusaidia kuipata kwa...
  11. Wenzetu mliotumia pesa za kujikimu (BOOM) la chuo mkatoboa mmefanyaje huenda wadogo zenu wakasaidika

    Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo, kiukweli na biashara anayofanya na zile pesa za kila baada ya miezi miwili ni mbingu na ardhi...
  12. A

    KERO Kutopewa Matokeo ya Chuo kwa muda stahiki hata baada ya kufanya ufuatiliaji wa muda mrefu

    Habari, najua hii ni personal lakini nimemaliza chuo cha CBE Dar es salaam tangu mwaka 2021, nimekuwa nafuatilia matokeo yangu mpaka leo sijapata. Nashindwa ku apply masters na ni vigumu kupanda cheo au mshahara sababu ya kukosa hayo matokeo ya bachelor. Huwa nawaza kama hawa viongozi au...
  13. A

    KERO Changamoto Somo la Pharmacognosy KIUT Dar, Mwalimu Atajwa...!

    Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio ufaulu hata mitihani yake sio standard kabisa.
  14. Kuna Chuo wanajamiiana kuzidi IFM?

    Wadada wa IFM wanachakatwa aisee, serikali ya awamu ya 6 iingilie kati. Wasomi gani hawa? Naomba mama yetu kipenzi toka kizimkazi aokoe hawa wake za watu watarajiwa.
  15. H

    Dkt. Mwigulu: Chuo cha Sokoine Katavi kuwa cha mfano Tanzania

    DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa...
  16. Binti wa Chuo anataka nimuoe na nimvumilie amalize masomo, najiuliza itakuwaje badae?

    Wapendwa katika Kristo, BWANA YESU asifiwe sana,, Asalaam Aleykum kwa Waislam wote ,Twende kwa maada wapendwa,kuna binti yupo kidato cha sita na atamaliza mwaka huu baadae ataenda chuo kama miaka mitatu japo sijajua atasomea nini,huyu Binti tupo nae mtaa mmoja japo kuna umbali kiasi na tunasali...
  17. Natafuta chuo Cha kufundisha part time tutorial assistant?

    Wajuzi wa hizo kazi naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu au kuwa na taarifa. Baada ya kumaliza kazi zangu za Kila siku huwa nakuwa na muda kidogo ambayo naona kama unapotea. Sasa nahisi kama ninaweza kuutumia muda huo kujiongezea kipato kwa kuutumia ujuz na maarifa niliyojaaliwa na mungu...
  18. E

    Natafuta mwekezaji mwenza wa Chuo cha Kati

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT. Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:- Ninatafuta Mwekezaji wa Kufanya nae Biashara ya kuendesha Chuo cha Kati. Nina Kampuni ambayo...
  19. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga Newala (Septemba 2025) hawajapewa vyeti mpaka leo na wahusika hawatoi maelezo ya kutosha

    Ikumbukwe wahitimu wa vyuo vya afya diploma vyeti vyao huwa vinatoka NACTEVET nakupelekwa vyuoni. Ila cha kushangaza wanafunzi wa vyuo vingine wameishapokea vyeti vyao toka mwezi wa pili mwaka huu ila chuo chetu peekee ndo atuchajpewa kila tukofatilia kwa mkuu wachuo anatwambia vyeti havipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…