chuo

  1. A

    KERO Open University, haswa tunaosoma program ya Masters in Community Economics kuna changamoto kubwa sana

    Wanafunzi tunaosoma hiyo kozi tunapata changamoto sana yani kwanza wanachelewesha kusubmit kqzi kwa external kwa kudai kuwa ili kusubmit kuna malipo ya 150,000 kwa ajili ya kuandaa document ili iende kwa external nje ya ada ya CED project ambayo kiasi chake ni (1,680,000) kisha baada ya hapo...
  2. A

    KERO Chuo cha Ufundi Polisi kuna shida gani vyeti vya HGV havitoki tangu tusome mwezi wa 5

    Madereva tuli itikia wito wa serikali wa kututaka turudi darasani kupata elimu ya usalama bara barani lakini shida inakuja kwamba sisi tumesoma intake ya 9 kuanzia tar 18 mwezi wa tano mpaka leo hii hatujapata vyeti. Mabosi wamewapa magari yetu watu wengine, tuna familia, tunategemewa jamani...
  3. M

    Isaya Yunge, Kijana kutoka Mwanza, anamuoa binti wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, Hii hapa Cv Yake

    Leo Agosti 8, nchini Kenya tukio kubwa ni engagement ya Charlene Ruto ambaye ni binti wa Rais Ruto. Katika tukio hilo, ametambulisha mumewe mtarajiwa ambaye ni Mtanzania Isaya Yunge. Historia yake si kubwa sana mtandaoni ila nimepata hints hizi. Kwanza jamaa kasoma IFM Bachelor of Science Degree...
  4. Takwimu za CIA zinavyopotosha: Mjadala Chuo Kikuu Cha Lowa na Northwestern University

    https://youtu.be/SIhAolibf1c?si=Y2Pk2yO1KCUm7j31
  5. A

    KERO Chuo cha Sayansi ya Afya KAM college Kimara Korogwe Dar, es Salaam kinanyanyasa wafanyakazi wake

    Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi. Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa July akidai hajafurahishwa na utendaji kazi japo yeye hakuwepo chuoni maana alisafiri. Jambo...
  6. A

    KERO Miezi 11 Bila Mshahara Chuo cha Afya Mvumi (MIHS) kilichopo Dodoma, Serikali Iingilie kati

    Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa zinazotukabili kwa muda mrefu. Kwa sasa baadhi ya wafanyakazi tumekaa takribani miezi 11 bila kulipwa mishahara...
  7. Kati ya Fani zifuatazo unashauri kijana aliyemaliza chuo ajifunze kwa future?

    Udereva malori(Transit) Excavator driving Au ni fani gani una mshauri kijana mpambanaji asomeee?
  8. A

    KERO Walimu wa muda (Part-Timer) – Chuo cha UDOM, mwezi wa 5 sasa tunasotea malipo yetu

    Nimekuwa mmoja wa Walimu wa mkataba (part-timers) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kazi yetu kuu ni kusaidia kufundisha wanafunzi wa kozi za Diploma ya Famasia (Pharmacy) na Diploma ya Maabara ya Tiba (Medical Laboratory Sciences) chini ya Shule Kuu ya Tiba (School of Medicine). Wengi...
  9. L

    Je, kusoma chuo kama MUHAS kuna advantage kwenye career nzima ya medicine?

    Kwa nyakati tofauti nimeona wanafunzi wanaosoma Muhas na alumni waliomaliza chuo Cha muhas CV zao zimesheheni activities nyingi out of elimu ya darasani Kuna walionzisha NGOs,Wana hudhuria Health summit,wanahudhuria masterclass na hii inakua ni tofauti kwenye vyuo vingine vya afya Je changamoto...
  10. A

    Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  11. Aliyedukua tovuti ya Chuo Kikuu aitwa akasome bure

    Huko India Mwanafunzi mmoja amedukua tovuti za vyuo viwili ambavyo aliomba nafasi ya kusoma Degree ya Usalama wa Mtandao (Cyber Security) lakini akakosa kwa kuonekana hana vigezo. Baada ya kunyiwa nafasi aliingia kwenye website zao na kuzihack. Vyuo hivyo ni Indian Institute of Technology...
  12. A

    KERO Malalamiko kuhusu utekelezaji wa Mfumo wa ufundishaji katika chuo cha DIT

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu hali ya ufundishaji katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambayo kwa maoni yangu imekuwa ikiwakwamisha wanafunzi wengi kupata ujuzi unaostahili. Kumekuwa na matukio ambapo baadhi ya walimu hawafundishi ipasavyo kwa kipindi...
  13. Chuo Cha udsm kimenundikia hivi je kimenikataa au niendelee kusubili

    Hapa kimenikataa au niendelee kusubili?
  14. A

    KERO Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya research kinyume cha utaratibu

    Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya utafiti (research) na kuufanyia utetezi (defence) katika muhula huu. Hata hivyo, wanafunzi wanalalamikia muda mfupi waliopewa, kwani muhula huu wana masomo matano pamoja na jukumu la kufanya research na...
  15. A

    KERO Wahitimu wa Diploma katika Chuo cha Mipango Campus ya Mwanza tunachelewa kupata vyeti

    Wanafunzi tuliomaliza masomo ya Diploma tunaomba msaada kuhusu changamoto ya kucheleweshewa vyeti vyetu. Kila tunapofika chuoni kufuatilia vyeti, tunaambiwa kuwa mashine ya kuchapisha au kutoa vyeti imeharibika. Hali hii imetuletea usumbufu mkubwa, hasa kwa wale wanaotoka maeneo ya mbali ambao...
  16. A

    Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
  17. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimechapisha video kuonesha vyoo vya majengo yao ni visafi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetoa documentary fupi ambayo inaonesha kuwa suala la changamoto ya usafi katika vyoo vya majengo ya chuo hicho umefanyiwa kazi na kwamba vyoo ni visafi. Ikumbukwe kuwa mara kadhaa Wadau tofauti wa JamiiForums.com wamekuwa wakidai kuna changamoto ya usafi katika...
  18. Padri Prof. Emmanuel Wabanhu Ateuliwa Kuwa Makamu Mkuu Mpya Wa Chuo Kikuu Cha Mt Agustino Tanzania(SAUT)

    PADRE WABANHU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambaye pia ni Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap, amemteua Padri Profesa Emmanuel...
  19. Msaada, anataka kwenda chuo Diploma Zenji, bahati mbaya alipoteza vyeti vyake

    Kuna huyo mshikaji, amemaliza form four 2013, sasa alikua anataka kwenda chuo sasa diploma hapa zenji, Kwa bahati mbaya alipoteza vyeti vyake, na mwaka huu anataka anze mwaka wa kwanza diploma in clinical medicine. Kuna watu wanadai atumie index no yake ya form four, ambayo anayo, Kuna wengine...
  20. A

    HOJA Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD)

    Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD). Mwongozo wa TCU unaeleza kuwa mwombaji anatakiwa awe alisoma somo la Physics katika ngazi ya O-Level. Je, wanafunzi waliosoma katika shule za ufundi (Technical Secondary Schools), wakasoma mchepuo wa Science...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…