Wakuu poleni na hongera kwa shughuli za kutafuta riziki.
Naomba wale wote wenye experience ya maisha ya ghetto pindi wapo chuo, mnaweza nipa muongozo mdogo wenu ni kwa namna gani nitaweza hustle kiume.
Ikiwa ni pamoja na ushauri namna ya kupambana na shughuli nyingine nje ya masomo, maana...
Habari wadau,
Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka.
Pia kuna chuo cha private niliomba ila siyo online na wamenichagua so nasubiri majibu ya majina waliyopeleka TCU...
Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania.
Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui.
Wapo watakaosema mbona Urusi na...
Habari za kutwa wana jamvi la elimu.
Husika na mada tajwa apo juu.
Leo nilikuwa niko na rafiki yangu yeye amepata Dvs two point 12 flat D na anatamani sana kusoma MD ila akajiamini kweli ana weza kusoma MD kwa mwaka huu. Ameomba KCMC UDOM pamoja na St Francise ila amekosa vyote. Amekaa...
Wahitim weng wa Foundation progra wanalalamika kuwa hawajapata chuo kwenye first round!
Wew uliebahatika kupata kwa kutumia hayo matoke ya Foundation course njoo uwape moyo wenzio,ikiwezekana uwaambie na ufaulu wako ulikuwaje!
Karibun wadau
Habari za wakati huu wana Jukwaa wenzangu, mm mdogo wenu nilifanikiwa kuomba vyuo vinne na namshukuru mungu majibu yametoka nimechaguliwa vyuo vyote hivyo nimekuja hapa kuwaombeni mnipe ushaur wenu ni chuo gani na koz gan nzur niconfirm itakayonisaidia hapo baadae.
Vyuo na kozi hizo ni;
1...
Watu wengi wanasema maisha baada ya chuo huwa ni magumu sana kwasababu ule mzunguko wa kupata pesa kama kipindi mtu yupo chuo huwa ni mgumu.
Kwa experience yako unampa ushauri gani mtu ambae amemaliza chuo mwaka huu juzi juzi tu hapo afanye kitu gani ili kupambana na maisha ya kila siku?
vile...
Wadau habari za Jumapili?
Historia inaonesha chuo kikuu cha UDSM kilianza rasimi 01/10/1961. Kilianza na Kitivo cha Sheria, yaani Faculty of Law ikiwa na wanafunzi 14 tu.
Baadae kadri muda unavyokwenda vitivo vingine viliongezwa sambamba na udahili wa wanafunzi kuongezwa.
Saivi ni chuo cha...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amezindua kituo cha Dar es Salaam cha Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya.
Chuo cha maendeleo ya Michezo Malya, ni Chuo pekee kinachotoa stashahada ya michezo hapa nchini kwa kuzingatia...
Ujenzi wa Chuo Kikuu Chato ungekua na justification ya kupeleka fursa ya elimu kwa watu wa ukanda wa Geita, Kagera mpaka Kigoma. Hili hata bungeni lingepita kirahisi na isingemletea kashfa.
Chuo kikuu kinakusanya wanafunzi, hii huleta mzunguko wa hela kwa biashara hasa kwenye malazi, chakula...
Habari wapendwa natumai wote mko poa kiafya.
Na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa naenda straight to the point mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu "X" hapa mkoani Dodoma naingia mwaka wa tatu, nilibahatika kumpata mwenza wa First Year wa chuo fulani cha Mipango. Sasa tumedumu takriban miezi...
Vijana wengi wanaacha masomo ya Chuo Kikuu kwa sababu asilimia ndogo sana ndio hupata mikopo. Sera ya CCM ni kuwapa mikopo mayatima tu. Soma sera hii ya CHADEMA halafu fanya chaguo sahihi kwa ajili ya mwanao.
"Ugharamiaji wa elimu ya juu ndio changamoto kubwa kwenye elimu ya juu na hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.