chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Kuna changamoto ya uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo

    Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo. Kwa mujibu wa taratibu za kawaida, zabuni mbalimbali hutangazwa kwa uwazi kupitia mbao za matangazo na...
  2. Idugunde

    Peter Madeleka ulifanya kosa kubwa sana kugombea ubunge kupitia Act wazalendo huku ukijua ni chama kisichofaa

    Nakushauri kwa madini uliyonayo utubu dhambi zako na ufanye uchaguzi sahihi. Mtu alie makini hawezi kukaa kwenye chama kama Act Wazalendo. Unajenga hoja za msingi lakini watu wanakudharau sababu ya kuwa upo na kibaraka wa CCM mwenye makunyanzi.
  3. Crocodiletooth

    Inakuwaje mtu anatoka kwenye chama chenye heshima kubwa na kuelekea kwenye chama cha kiharakati?

    Jambo lililonishangaza sana kwa siku ya leo ni hili. NCCR-MAGEUZI is a respected party,kinaheshimika sana.
  4. passioner255

    CCM waondoeni hao wahuni walioteka chama chenu

    CCM haya yote yanayoendelea kama utekaji,mauaji nk ni kwa sababu wahuni wameteka chama chenu na serikali.Watanzania. wameshawawakataa ndo maana mnatumia nguvu nyingi mpaka kuua ili muwe madarakani. Kama hamtaki chama chenu kuanguka watoeni hao wahuni madarakani na chamani msafishe kila kitu...
  5. M

    Katiba mpya si mali ya Chama chochote cha Siasa bali ni mali ya Wananchi

    Ambagile anasema kuwa anaona itakuwa ngumu sana kupata katiba mpya kwa sababu anaona vyama vya siasa vimeanza kugombea agenda kuwa hiyo agenda ya Katiba ni ya chama fulani, anasema Katiba mpya ni ya Watanzania na Si ya CCM, CHADEMA, Waislam, Wakristo, Simba au Yanga. Anasema ni kama tunaanza...
  6. Kipenzi Changu

    Rio na Goli la Chama; viongozi wa Yanga ficheni upumbavu wenu

    Nimeona video ya mwandishi Meena Ally akimtaka maoni Rio kuhusu goli la Chama Nimeona Rio akikiri kwamba ni goli bora lenye hadhi ya kuwa goli bora la dunia Nimeona malalamiko ya viongozi wa Yanga wakilalamikia hilo. Ninakiri kwamba viongozi wa Yanga sio watu smart vichwani kuanzia uongozi wa...
  7. baz kaiza

    Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  8. Roving Journalist

    Masoud Kipanya: Ningekuwa Bodi ya ithibati, kila Mwandishi aliyegombea kupitia chama asingerudi kwenye Uandishi

    Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
  9. instinct desire

    CHADEMA imeharibu maadili ya Taifa letu. Siasa zao zimejikita kwenye matusi, upotoshaji, vurugu na ufitinishaji; kama Taifa tuseme NO

    Kila siku tunalalamika kushuka kwa Maadili nchini lakini wavuruga maadili nchini ni chadema. Mpaka Leo hii maadili ya watanzania yameharibika kwasababu ya viongozi wa chadema na chama Chao cha chadema. Kwasababu matusi kwao ndo njia ya kufikishia ujumbe, upotoshaji kwao ndo ajenda ya kupata...
  10. Tlaatlaah

    Siasa za picha mitandaoni ni kujifariji na kujidanganya tu, kiukweli hazijawahi kusaidia chama chochote cha siasa kushinda uchaguzi.

    Mfano hapa Tanzania, kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
  11. Idugunde

    Picha: Maelfu ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA wakishiriki kupandisha bendera za chama chao huko Katoro Geita

    Je, hii ndio Sababu ya Sisty Nyahoza kutaka kuifungia Chadema?
  12. gimmy's

    Ni ipi kazi ya vyama vya wafanyakazi, kama kwa mfumuko wa bei hivi sasa hakuna chama chochote kimetoa kauli kutetea maboresho ya mishahara?

    Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas zikipanda lazima bei ya bidhaa ipande. Kwasasa hali ya maisha kwa upande wa wafanyakazi imekua mbaya zaidi...
  13. A

    DOKEZO Viongozi wetu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) hawatetei maslahi yetu sababu wanaogopa kutumbuliwa

    Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu wanaogopa kuenguliwa nafasi zao. Wanafanya hivyo kwa kuwa wao maslahi yao ni makubwa wanajua wakitumbuliwa...
  14. Cantona fundi mkuu

    Chama ni mtego kwa Simba msimu ujao

    Viongozi wa Simba wanajua wanaenda poteza ubingwa kwa mara ya 5 mfululizo. Wakaamua kuja na njia ya kusifia magoli ili mashabiki wahamishie furaha Yao kwenye kushabikia magoli. Hivi timu kubwa km Simba ni yakukaa na kuwa wanafurahia magoli ya wachezaji wao?? Turudi kwa kiwango cha chama...
  15. M

    Kwa hiyo Chama akipewa uraia ndio Taifa Stars itafanya vizuri? Hii CCM imekosa maono. Hawafikirii kuboresha maisha ya Walimu wanafikiria porojo

    Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana. Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu. Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
  16. A

    KERO Chama cha Wafanyakazi Kibondo (TALGWU) na makato yasiyo sawa

    Mimi ni Mtumishi katika halmashauri ya Kibondo. Khero yangu kubwa ni Makato yanayokatwa na Chama cha wafanyakazi TALGWU, ambayo kwa kila mwezi ninakatwa 17,660/= Ila ni miaka zaidi ya 2 imepita bila kusomewa Mapato na Matumizi katika Chama, je! Ukaguzi wa ndani na nje ya Halmashauri...
  17. Kipenzi Changu

    FT: Simba 1- 0 JKT Tanzania; ni "Mzee " Chama tena

  18. Roving Journalist

    Wakili Mwabukusi: Kama Lissu anatusumbua Kisiasa, futa Vyama vingi kibaki chama kimoja

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  19. W

    Baba Levo: Anayekataa Chadema sio Chama Kikubwa cha upinzani huyo naye kichwa chake kitakuwa kina shida

    Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani Kuu na Chief Odema, Mbunge Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chiponda 'Baba Levo' amesema kuwa anaekataa CHADEMA sio chama kikubwa cha upinzani huyo mtu kichwa chake kitakuwa kina shida. Mimi nakiheshimu sana chama cha CHADEMA kimeleta upinzani nchini...
Back
Top Bottom