biashara

  1. Biashara ya mbao na samani: Fursa ya kujiajiri Tanzania

    Je, unajua kuwa biashara ya mbao na samani inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato ukiifanya kwa mipango sahihi? Kadiri watu wanavyojenga nyumba, kufungua ofisi na kuboresha makazi yao, ndivyo fursa za kuuza mbao, vitanda, meza, makabati na samani nyingine zinavyojitokeza. 1. Mtaji wa kuanzia...
  2. Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha tu biashara

    INAUZWA! KABATI YA KIOO YA ALUMINIUM Gharama za Delivery ndani ya Tanzania bara ni juu yangu,kama ni Zanzibar Gharama ni Kwako
  3. Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha biashara tu

    INAUZWA! KABATI YA KIOO CHA ALUMINIUM
  4. Siri ya Mafanikio: Kwanini unapaswa kusoma Biashara Zilizokufa (Cadaver) kabla ya Kuanzisha biashara yako!

    Wakuu salama! Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
  5. Tangazo la biashara ya mbao

    Habari jamii forum. Kwa wakazi wa Dar es salaam na maeneo Jirani . Tunauza mbao aina ya mtiki (tirky) Kwa vipimo vifuatavyo, Urefu wa mbao karibu zote ni Cm 270 yaani futi 9. Kwahiyo mauzo ni, Ujazo ni cm 6 yaani inches 2 na nusu Hivyo mauzo na bei ni kama ifuatavyo 2×5=25000/-...
  6. A

    KERO Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) waboreshe Kitengo cha Customer Service

    Tumekuwa tukipata changamoto mbalimbali katika Mfumo wa BRELA lakini hakuna Customer Service nzuri, unaweza ukapiga simu siku tatu na wasipokee pia system yao inachangamoto sana. Changamoto ni pale unapokuwa na shida ya kupiga simu haipokelewi no +255 22 221 2800 System yao ni pale mtu...
  7. Nini kimempata shilole na shishi food yake mbona kama umaarufu wa biashara yake ya chakula umeporomoka?

    Shilole nini kimekupata mama au siku hizi unapika chakula kibovu au ndo Yale Yale badala ya kuweka juhudi zaidi kwenye biashara Yako ww umeweka juhudi ya kuwa mpiga vigelegele mashuhuri wa serikali ya mama Samia ukisubiria kuteuliwa kwenye nyadhifa mbali mbali? Watu walivyochoma mgahawa wako...
  8. Unafikiri Biashara ya Dobi ni kununua mashine ya kufulia tu? Fikiria tena!

    Juma alikuwa na ndoto ya kufungua biashara ya dobi (Laundry & Dry Cleaning). Alinunua mashine ya kufulia, pasi na vifaa vingine, kisha akaanza kupokea nguo za wateja. Mwanzoni biashara ilienda vizuri, lakini kadri wateja walivyoongezeka, changamoto zikaanza kujitokeza. Hakuwa na mfumo mzuri wa...
  9. Kama unatafuta watu wa kukuamini kwenye maisha yako, pambana sana ujenge imani kwa wateja wa kike kwenye biashara yako

    Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe. Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
  10. A

    KERO Wafanyabiashara wa Maua, Mbuyuni- Dar tumepewa siku 3 kuondoka ikielezwa kuwa haitakiwi fremu kuwa kando ya barabara

    Ndugu wanajukwaa, Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam. Mwaka jana 2025, tulikutana na...
  11. M

    Biashara ni uwanja wa vita, Jirani yangu ananichekea usoni ila ananichukia na kunisema vibaya nimemuharibia soko na wateja

    Ni habari nazozipata kutoka chanzo cha kuaminika kisicho na shaka hata kidogo Jirani tunachekeana lakini chuki aliyonayo kwangu ni kubwa. Na mimi nimewahi kupata ushindani mkali kiasi kwamba nilishindwa kabisa kucompete, nilihama lakini sikufikia kiwango cha hii chuki na unafki wateja wangu...
  12. Bandari Mbamba Bay yafungua fursa za ajira, biashara

    Ajira, ujuzi wa ufundi na kuimarika kwa biashara ndogo ni miongoni mwa fursa ambazo wananchi wameanza kupata kutokana na ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay, wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma, ambao umefikia asilimia 78. Baadhi ya vijana wanaoshiriki ujenzi huo wamesema wamepata kipato cha kuendesha...
  13. Umesajili jina la biashara lakini sasa unataka kubadilisha?

    Je, jina la biashara yako haliendani tena na malengo yako? Au unataka jina jipya litakalowavutia zaidi wateja? HABARI NJEMA! UNAWEZA KUBADILISHA JINA LA BIASHARA YAKO. Kupitia taratibu za BRELA, unaweza kuomba kubadilisha jina la biashara lililosajiliwa, kwa kuzingatia masharti husika. MAMBO...
  14. Unataka kusajili jina la biashara yako BRELA? Epuka makosa haya 5 yanayoweza kukuchelewesha!

    Wafanyabiashara wengi wanapotaka kusajili majina ya biashara zao, hukumbana na changamoto zinazoweza kusababisha maombi yao kuchelewa au kukataliwa. Mara nyingi, changamoto hizi hutokana na makosa madogo ambayo yangeweza kuepukika kwa kupata mwongozo sahihi. YAFUATAYO NI MAKOSA 5 MUHIMU...
  15. Una biashara lakini jina lake halijasajiliwa? Usisubiri mpaka ukumbane na changamoto!

    Wafanyabiashara wengi wanajitahidi kutafuta wateja na kukuza mitaji yao, lakini wanasahau hatua muhimu ya kuirasimisha biashara yao, ambayo ni kusajili jina la biashara kupitia BRELA. ZIFAHAMU SABABU 5 MUHIMU ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA YAKO. 1. KUJENGA UAMINIFU KWA WATEJA Biashara yenye...
  16. Biashara yako, suluhisho letu!

    🚀 BIASHARA YAKO, SULUHISHO LETU! Boresha usimamizi wa biashara yako kwa mifumo ya kisasa, rahisi kutumia na inayokupa matokeo. ✅ Punguza kazi za mikono na matumizi ya daftari. ✅ Achana na usumbufu wa Excel. ✅ Rahisisha mauzo, stock, hesabu na ripoti. ✅ Pata suluhisho kulingana na mahitaji ya...
  17. Tanzania na Kenya zajipanga kuondoa vikwazo vya biashara mpkani

    Tanzania na Kenya zinaendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ya mpakani, kwa lengo la kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, kupunguza gharama na muda wa wafanyabiashara, pamoja na kuongeza fursa za biashara kati ya nchi hizo mbili. Ushirikiano huo unatarajiwa kuimarisha...
  18. Kwanini marafiki zetu hawanunui Biashara kwetu wanaenda kununua sehemu nyingine ??

    Kwanini marafiki zetu hawanunui Biashara kwetu wanaenda kununua sehemu nyingine ? Unakuta unauza kitu fulani ila rafiki yako hanunui kwako,unashangaa badae anacho hicho kitu.!!
  19. Nina 800k tu nifanye biashara gani ili izalishe? Niko DSM

    Wakuu, Nimetunza hadi nimefikisha laki 800,000/= hadi sasa na bado najiuliza nifanye biashara gani kulingana na kipato nilicho nacho. Kazi niliyonayo iliyonipa hiyo 800k bado niko nayo na nataka niingie kwa biashara sasa.
  20. Tumia laini ya mtu mwingine mtafute mfanya biashara mwenzako uone anawajibu vipi wateja

    Hii ni mbinu nzuri sana ya kiintelijensia ya biashara (Mystery Shopping) inayokusaidia kujua ukweli kuhusu huduma kwa wateja anayotoa mfanyabiashara mwenzako au mpinzani wako (competitor). Unapotumia namba ngeni, anakuwa hana tahadhari na atakujibu jinsi anavyowajibu wateja wengine wa kawaida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…