biashara

  1. youngkato

    Inaboa sana, lakini itafanya biashara yako iwe na maisha marefu!

    Kuna kitu kimoja ambacho wafanyabiashara wengi hawakipendi kufanya, lakini kina mchango mkubwa katika ukuaji na uendelevu wa biashara zao. Nacho ni kutengeneza maudhui (Content Creation) mara kwa mara kwa ajili ya kuitangaza biashara. Najua inachosha kila siku kufikiria cha kupost, kupiga picha...
  2. youngkato

    Content creation: Ujuzi muhimu wa kukuza biashara na kutengeneza fursa za ajira

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato. Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
  3. Parabolic

    Masauni ktaja biashara ya kaboni kama fursa ya kiuchumi kwa wananchi

    Antalya, Uturuki. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, amesema Biashara ya Kaboni nchini inatarajiwa kufungua fursa mpya za ajira na kuongeza kipato kwa wananchi, hususan wanaoishi katika maeneo ya vijijini. Masauni amesema kuwa biashara...
  4. Masokotz

    Anzisha Biashara ya E-commerce

    Habari za Wakati huu; Ni matumaini yangu mnaendelea salama na mapambano ya kiuchumi. Je wewe ni mfanyabiashara wa kidigitali?Je wewe ni winga uliyepo kariakoo ambaye una connection ya wateja? Leo nataka nikusanue Jambo. Amua sasa kufanya Full ecommerce business.Badala ya kuwa mfanyabiashara...
  5. Tech Max

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa 15m hapa mkoa wa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa 15m hapa mkoa wa dar es salaam
  6. OMOYOGWANE

    Teknolojia inaweza kukutajirisha leo, lakini ikakusaliti na kuua biashara yako kesho (Tukumbushane enzi za VHS hadi 5G)

    Habari za wakati huu wana JamiiForums. Leo nimepitia nyumbani kwa marehemu baba yangu. Wakati napekua vitu vya zamani, nimekutana na kanda moja ya video (VHS) ikiwa imefunikwa na vumbi. Kuitazama tu ile kanda, kumbukumbu za mbali zikanirudisha nyuma na kunipa somo kubwa sana kuhusu maisha...
  7. Cantona fundi mkuu

    Vibanda vya kisasa vya biashara

    Kwa mahitaji ya vibanda vya kisasa. Tunatumia mbao ngumu na bodi ngumu. Finishing ya film stickers na PVC panels.n.k tupe oda boss tukutengenezee lako. Vibanda vya juice. Vibanda vya wakala. Vibanda vya migahawa. Vibanda vya walinzi. Vibanda vya ofisi ndani ya magodauni ya viwandani. Boss...
  8. Lycaon pictus

    Na hii biashara ya kuuzia watu internet ndiyo ikoje?

    Nimeona sana promo za watu kuanzisha na kushawishiwa waanzishe biashara ya kuuza internet. Hii business ndiyo ikoje?
  9. youngkato

    Biashara ya photo studio: mtaji, vifaa, faida na jinsi ya kuanzisha

    Mwongozo kwa vijana na wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara ya upigaji picha na kuikuza hatua kwa hatua. 1. Utangulizi: Je, biashara ya Photo Studio inalipa? Katika kipindi hiki ambacho picha zinatumika kwenye biashara, ajira, mitandao ya kijamii na matukio mbalimbali, upigaji picha...
  10. raiswenu

    Kama unajitafuta kwenye biashara, zijue hizi kodi

    Tuseme unajitafuta kwenye biashara, -Utalipa pango -utalipa kodi TRA(inategemeana na biashara) -Utalipa leseni (wastani 100,000) -Utalipia mazingira wastani (3000 kwa mwezi) -utalipa zimamoto(wastani 25,000 kwa mwaka) -Kodi ya bango (inategemeana na ukubwa wake) -Hapo hujaweka pesa ya...
  11. Pakome

    Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara lakini viongozi hawataki kuishi maisha ya ufukara

    Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
  12. youngkato

    Je, umewahi kufikiria kwamba unaweza kujenga biashara kwa kufanya kazi ambayo watu wengi hawana muda, vifaa au utaalamu wa kuifanya wenyewe?

    J Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo. Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
  13. M

    Ni mwaka wa tatu na majukumu yamemzidi bado karidhika na mshahara ule ule! Chunguza vizuri kashaudukua mfumo wa biashara yako

    Na ndio sababu kubwa huwa inawafanya wafanyakazi wengi madukani ama kwenye makampuni kuacha kazi wakishaona bosi anaweka mifumo ya kubana mianya
  14. G

    Wanawake wengi wenye magari wasio na biashara ni Malaya Grade one hata kama ni mke wa mtu fuatilia Kwa makini

    Wanawake ni watu wachungu sana kwenye kituo Hela za matumizi hata Kwa mambo yanayowahusu wao wenyewe. Hivyo ni vigumu sana kugharamia gari mafuta na maintenance za mara Kwa mara . Mshahara wake wa laki Tano umwambie atoe laki tatu Kwa ajili maintainance na mafuta ya gari ni ngumu sana Wakati...
  15. Tech Max

    Naomba wazo la biashara la mtaji wa 10m hapa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
  16. Tech Max

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam

    Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
  17. Tech Max

    Ninawazo la biashara kwa dar es salaam mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp

    Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
  18. K

    Wafanyabiashara Nchini Kunufaika na Biashara na Malipo ya Kimataifa

    Wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania wanatarajiwa kunufaika na biashara na malipo ya kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 200 yenye uwezo wa fedha za kigeni zaidi ya 25 hatua ambayo inafungua fursa za biashara kimataifa . Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...
  19. youngkato

    Biashara ya mbao na samani: Fursa ya kujiajiri Tanzania

    Je, unajua kuwa biashara ya mbao na samani inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato ukiifanya kwa mipango sahihi? Kadiri watu wanavyojenga nyumba, kufungua ofisi na kuboresha makazi yao, ndivyo fursa za kuuza mbao, vitanda, meza, makabati na samani nyingine zinavyojitokeza. 1. Mtaji wa kuanzia...
  20. Bwege2030

    Kabati ya kioo cha Aluminium inauzwa, haina changamoto yoyote nabadilisha tu biashara

    INAUZWA! KABATI YA KIOO YA ALUMINIUM Gharama za Delivery ndani ya Tanzania bara ni juu yangu,kama ni Zanzibar Gharama ni Kwako
Back
Top Bottom