Je, unajua kuwa biashara ya mbao na samani inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato ukiifanya kwa mipango sahihi?
Kadiri watu wanavyojenga nyumba, kufungua ofisi na kuboresha makazi yao, ndivyo fursa za kuuza mbao, vitanda, meza, makabati na samani nyingine zinavyojitokeza.
1. Mtaji wa kuanzia...
Wakuu salama!
Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
Habari jamii forum.
Kwa wakazi wa Dar es salaam na maeneo Jirani .
Tunauza mbao aina ya mtiki (tirky)
Kwa vipimo vifuatavyo,
Urefu wa mbao karibu zote ni
Cm 270 yaani futi 9.
Kwahiyo mauzo ni,
Ujazo ni cm 6 yaani inches 2 na nusu
Hivyo mauzo na bei ni kama ifuatavyo
2×5=25000/-...
Tumekuwa tukipata changamoto mbalimbali katika Mfumo wa BRELA lakini hakuna Customer Service nzuri, unaweza ukapiga simu siku tatu na wasipokee pia system yao inachangamoto sana.
Changamoto ni pale unapokuwa na shida ya kupiga simu haipokelewi no +255 22 221 2800
System yao ni pale mtu...
Anonymous
Thread
biashara
brela
leseni
usajili
usajili wa biashara
wakala
Shilole nini kimekupata mama au siku hizi unapika chakula kibovu au ndo Yale Yale badala ya kuweka juhudi zaidi kwenye biashara Yako ww umeweka juhudi ya kuwa mpiga vigelegele mashuhuri wa serikali ya mama Samia ukisubiria kuteuliwa kwenye nyadhifa mbali mbali?
Watu walivyochoma mgahawa wako...
Juma alikuwa na ndoto ya kufungua biashara ya dobi (Laundry & Dry Cleaning). Alinunua mashine ya kufulia, pasi na vifaa vingine, kisha akaanza kupokea nguo za wateja.
Mwanzoni biashara ilienda vizuri, lakini kadri wateja walivyoongezeka, changamoto zikaanza kujitokeza. Hakuwa na mfumo mzuri wa...
Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe.
Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
Ndugu wanajukwaa,
Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam.
Mwaka jana 2025, tulikutana na...
Anonymous
Thread
barabara
biashara
haki
kando
kando ya barabara
kuvunjwa
malalamiko
ndani
siku
siku tatu
ufafanuzi
wafanyabiashara
Ni habari nazozipata kutoka chanzo cha kuaminika kisicho na shaka hata kidogo
Jirani tunachekeana lakini chuki aliyonayo kwangu ni kubwa.
Na mimi nimewahi kupata ushindani mkali kiasi kwamba nilishindwa kabisa kucompete, nilihama lakini sikufikia kiwango cha hii chuki na unafki
wateja wangu...
Ajira, ujuzi wa ufundi na kuimarika kwa biashara ndogo ni miongoni mwa fursa ambazo wananchi wameanza kupata kutokana na ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay, wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma, ambao umefikia asilimia 78.
Baadhi ya vijana wanaoshiriki ujenzi huo wamesema wamepata kipato cha kuendesha...
Je, jina la biashara yako haliendani tena na malengo yako? Au unataka jina jipya litakalowavutia zaidi wateja?
HABARI NJEMA! UNAWEZA KUBADILISHA JINA LA BIASHARA YAKO.
Kupitia taratibu za BRELA, unaweza kuomba kubadilisha jina la biashara lililosajiliwa, kwa kuzingatia masharti husika.
MAMBO...
Wafanyabiashara wengi wanapotaka kusajili majina ya biashara zao, hukumbana na changamoto zinazoweza kusababisha maombi yao kuchelewa au kukataliwa. Mara nyingi, changamoto hizi hutokana na makosa madogo ambayo yangeweza kuepukika kwa kupata mwongozo sahihi.
YAFUATAYO NI MAKOSA 5 MUHIMU...
Wafanyabiashara wengi wanajitahidi kutafuta wateja na kukuza mitaji yao, lakini wanasahau hatua muhimu ya kuirasimisha biashara yao, ambayo ni kusajili jina la biashara kupitia BRELA.
ZIFAHAMU SABABU 5 MUHIMU ZA KUSAJILI JINA LA BIASHARA YAKO.
1. KUJENGA UAMINIFU KWA WATEJA
Biashara yenye...
🚀 BIASHARA YAKO, SULUHISHO LETU!
Boresha usimamizi wa biashara yako kwa mifumo ya kisasa, rahisi kutumia na inayokupa matokeo.
✅ Punguza kazi za mikono na matumizi ya daftari.
✅ Achana na usumbufu wa Excel.
✅ Rahisisha mauzo, stock, hesabu na ripoti.
✅ Pata suluhisho kulingana na mahitaji ya...
Tanzania na Kenya zinaendelea kuchukua hatua za kuondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara ya mpakani, kwa lengo la kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, kupunguza gharama na muda wa wafanyabiashara, pamoja na kuongeza fursa za biashara kati ya nchi hizo mbili. Ushirikiano huo unatarajiwa kuimarisha...
Kwanini marafiki zetu hawanunui Biashara kwetu wanaenda kununua sehemu nyingine ?
Unakuta unauza kitu fulani ila rafiki yako hanunui kwako,unashangaa badae anacho hicho kitu.!!
Wakuu,
Nimetunza hadi nimefikisha laki 800,000/= hadi sasa na bado najiuliza nifanye biashara gani kulingana na kipato nilicho nacho.
Kazi niliyonayo iliyonipa hiyo 800k bado niko nayo na nataka niingie kwa biashara sasa.
Hii ni mbinu nzuri sana ya kiintelijensia ya biashara (Mystery Shopping) inayokusaidia kujua ukweli kuhusu huduma kwa wateja anayotoa mfanyabiashara mwenzako au mpinzani wako (competitor). Unapotumia namba ngeni, anakuwa hana tahadhari na atakujibu jinsi anavyowajibu wateja wengine wa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.