Habari za wakati huu wakuu wa jukwaa hili.
ukisikia mjini njoo na akili zako nguvu acha kijijini basi soma uzi huu kwa umakini.
Kuna kitu kimoja nimekuwa nikikiona mtaani kwetu, hasa kwa vijana wajanja wanaofanya biashara za Electronics (TV, sabufa, simu), Movie Libraries, na hata Hardware za...
Moja ya changamoto kubwa zinazowakabili wafanyabiashara wengi ni kuwa na bidhaa au huduma nzuri, lakini watu wachache wanaofahamu uwepo wa biashara zao.
Ukweli ni kwamba, kuwa na bidhaa nzuri pekee hakutoshi. Unahitaji pia kuwa na mikakati sahihi ya kuitangaza biashara yako ili iwafikie watu...
Kuna kitu kimoja ambacho wafanyabiashara wengi hawakipendi kufanya, lakini kina mchango mkubwa katika ukuaji na uendelevu wa biashara zao. Nacho ni kutengeneza maudhui (Content Creation) mara kwa mara kwa ajili ya kuitangaza biashara.
Najua inachosha kila siku kufikiria cha kupost, kupiga picha...
Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato.
Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
Antalya, Uturuki. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni, amesema Biashara ya Kaboni nchini inatarajiwa kufungua fursa mpya za ajira na kuongeza kipato kwa wananchi, hususan wanaoishi katika maeneo ya vijijini.
Masauni amesema kuwa biashara...
Habari za Wakati huu;
Ni matumaini yangu mnaendelea salama na mapambano ya kiuchumi.
Je wewe ni mfanyabiashara wa kidigitali?Je wewe ni winga uliyepo kariakoo ambaye una connection ya wateja?
Leo nataka nikusanue Jambo.
Amua sasa kufanya Full ecommerce business.Badala ya kuwa mfanyabiashara...
Habari za wakati huu wana JamiiForums.
Leo nimepitia nyumbani kwa marehemu baba yangu. Wakati napekua vitu vya zamani, nimekutana na kanda moja ya video (VHS) ikiwa imefunikwa na vumbi. Kuitazama tu ile kanda, kumbukumbu za mbali zikanirudisha nyuma na kunipa somo kubwa sana kuhusu maisha...
Kwa mahitaji ya vibanda vya kisasa.
Tunatumia mbao ngumu na bodi ngumu. Finishing ya film stickers na PVC panels.n.k
tupe oda boss tukutengenezee lako.
Vibanda vya juice.
Vibanda vya wakala.
Vibanda vya migahawa.
Vibanda vya walinzi.
Vibanda vya ofisi ndani ya magodauni ya viwandani.
Boss...
Mwongozo kwa vijana na wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara ya upigaji picha na kuikuza hatua kwa hatua.
1. Utangulizi: Je, biashara ya Photo Studio inalipa?
Katika kipindi hiki ambacho picha zinatumika kwenye biashara, ajira, mitandao ya kijamii na matukio mbalimbali, upigaji picha...
Tuseme unajitafuta kwenye biashara,
-Utalipa pango
-utalipa kodi TRA(inategemeana na biashara)
-Utalipa leseni (wastani 100,000)
-Utalipia mazingira wastani (3000 kwa mwezi)
-utalipa zimamoto(wastani 25,000 kwa mwaka)
-Kodi ya bango (inategemeana na ukubwa wake)
-Hapo hujaweka pesa ya...
Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri
Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
J
Kila siku, nyumba, ofisi, maduka, hoteli, shule na majengo mbalimbali yanahitaji kusafishwa. Baadhi ya wamiliki wanafanya usafi wenyewe, lakini wengine wanahitaji watu au kampuni zinazoweza kutoa huduma hiyo kwa malipo.
Hapa ndipo inapopatikana fursa ya biashara ya Cleaning Services, yaani...
Wanawake ni watu wachungu sana kwenye kituo Hela za matumizi hata Kwa mambo yanayowahusu wao wenyewe.
Hivyo ni vigumu sana kugharamia gari mafuta na maintenance za mara Kwa mara .
Mshahara wake wa laki Tano umwambie atoe laki tatu Kwa ajili maintainance na mafuta ya gari ni ngumu sana
Wakati...
Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
Naomba wazo la biashara la mtaji 10m kwa hapa mkoa wa dar es salaam. Nicheki 0756704145 kunisaidia wazo la biashara.... naomba mwenye connection nq mtu anayeendagq China na dar kwa ajili ya biashara
Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
Wafanyabiashara na wajasiriamali wa Kitanzania wanatarajiwa kunufaika na biashara na malipo ya kimataifa kutoka mataifa zaidi ya 200 yenye uwezo wa fedha za kigeni zaidi ya 25 hatua ambayo inafungua fursa za biashara kimataifa .
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa...