biashara

  1. Nataka nianze Biashara ya Bolt XL

    Habarini wandugu, sijawahi fanya biashara hii kabla, ila kutokana na changamoto za kimaisha nimeonelea ninunue Noah kwa ajili ya biashara ya Bolt. Naomba maoni yako juu ya biashara hii.
  2. Jina la biashara (business name): Mambo muhimu unayopaswa kujua kabla ya kusajili biashara yako Tanzania

    Katika ulimwengu wa biashara, jina si maneno tu unayoandika kwenye bango au kutumia kutangaza bidhaa zako. Jina la biashara ni sehemu muhimu ya utambulisho wa biashara yako. Linakusaidia kujitofautisha na wafanyabiashara wengine, kujenga uaminifu kwa wateja na kutambulika sokoni. Hata hivyo...
  3. Biashara Kati ya Tanzania na Kenya Mpakani (Namanga): Nani Anashinda Kweli na Nani Anapigwa?

    Biashara kati ya Kenya na Tanzania ilishuka kwa 9.4% mwaka jana hadi Ksh 114.1 Bilioni (kutoka rekodi ya Ksh 125.9 Bilioni). Katika kiasi hicho, Kenya iliuza bidhaa za Ksh 63.6 Bilioni kwenda Tanzania na kununua bidhaa za Ksh 50.5 Bilioni kutoka Tanzania. Cha kushangaza, takriban 70% ya anguko...
  4. Mchezaji Wa Tanzania anaweza kulipwa mabilioni kwa matangazo ya Biashara?

    Jude Bellingham anakadiriwa kulipwa kati ya €3 milioni hadi €5 milioni (takriban Dola za Marekani milioni 3.2 hadi 5.4) kwa kampeni yake mpya ya kutangaza chupi za Calvin Klein, huku akivuna jumla ya takriban Dola za Marekani milioni 15 hadi 16 kwa mwaka kutokana na mikataba yote ya matangazo...
  5. Kama unataka kukopa ili ununue gari la kufanyia biashara, usinunue gari used kwa mtu

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa baada ya kuona anachopitia aliyekuwa my Landlady. Huyu mwanamama ni mtu mwenye biashara kadhaa zinazofanya vizuri huku akiwa na assets kadhaa kwa maana ya nyumba na plots. Kabla ya kukopa ili kununua basi kubwa (Yutong) alikuwa tayari anafanya biashara ya...
  6. Tanzania yaendelea kuimarisha uwekezaji na ushirikiano wa biashara na Cuba

    Tanzania na Cuba zinaendelea kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na kidiplomasia kwa kuendeleza fursa za uwekezaji, biashara na ushirikiano wa kiteknolojia. Ushirikiano huo unalenga sekta muhimu zikiwemo afya, elimu, kilimo, utalii, utafiti wa kisayansi na uzalishaji wa viwandani, huku ukifungua...
  7. O

    Serikali yapiga vita Biashara haramu zinazoigharimu Kenya KSh Bilioni 826 kila Mwaka

    Serikali ya Kenya imezindua mkakati mpya wa kitaifa wa kukabiliana na biashara haramu ambazo zinakadiriwa kusababisha hasara ya takribani KSh bilioni 826 kila mwaka, kiasi kinachowakilisha karibu asilimia 9.3 ya Pato la Taifa (GDP). Wizara ya Biashara ilisema kuwa biashara hizo haramu...
  8. Biashara Yako Inaanza? Pata Wateja na Matokeo ya Uhakika kwa Kasi Sasa!

    Kuanzisha kampuni mpya ni hatua kubwa, lakini changamoto kuu ya biashara nyingi zinazoanza ni kupata wateja wa kwanza haraka na kujulikana sokoni. Usipoteze bajeti yako ndogo kwa kubahatisha au kutumia njia za kizamani zisizo na mrejesho. Nasaidia biashara zinazoanza (Startups) kupiga hatua kwa...
  9. Jinsi ya kukuza biashara kutoka mtu mmoja hadi kampuni kubwa: Njia 8 za kujenga empire

    Biashara nyingi hazikui kwa sababu mwanzilishi wake anataka kufanya kila kitu mwenyewe. Anataka kuwa mmiliki, meneja, mfanyakazi, muuzaji, mhasibu, Customer Care na msimamizi wa kila jambo. Matokeo yake, biashara inakuwa inamtegemea mtu mmoja. Akiondoka, mambo yanasimama. Akiumwa, biashara...
  10. M

    Ni vitu gani unavitamani ungevijua na kuvifanyia kazi mapema kama ungeanza upya biashara yako upya?

    1. Usimwamini msaidizi wako kupita kiasi. Kumbuka kuwa msaidizi wako yupo kazini kwa ajili ya kutengeneza maisha yake, siyo yako. Mwanzoni anaweza kuonyesha juhudi na kujitoa sana, lakini kama ambavyo ukiwa na kiu ya maji kadri unavyoyanywa hamu hupungua, basi naye kadri siku zinavyoenda na...
  11. E

    Ukweli mchungu : Karibu Asilimia 50 % ya wanawake wanajihusisha na biashara ya kujiuza

    Si wake za watu ,si single mother ,si single women, si under 18 , si single girls , si watumishi wa Mungu ,si waajiriwa , si wasio na kazi , hali ni mbaya . Asilimia kubwa sana ya wanawake wanajihusisha kwa namna moja au nyingine na kujipatia mali au kipato kwa kutumia miili yao . Chungeni...
  12. Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya Mabondo ya samaki

    Salama wakuu? Hiki kitu nimekua nikisikia tu bila kuelewa kwa kina. Naomba kuelimishwa biashara hii ikoje? Na haya mabondo yanatumiwa kwa kazi gani hasa? Soko lake likoje?
  13. M

    Hufanyi biashara kama hakuna washindani, una Priveledge ! hii ndio sababu wanasiasa na watumishi wengi wakistaafu au kufukuzwa biashara zinawashinda

    It's not business if competition is not allowed. Kama biashara yako haiwezi kuendelea bila uwepo wa madaraka yako, basi hukuwahi kujenga biashara ya kweli. Ulikuwa umejipendelea tu (priveledge) Watumishi wengi wakiwa serikalini hujijengea mazingira ya biashara yasiyo na ushindani. Huanzisha...
  14. Nilipoteza pesa nyingi kwa kutegemea influencers, lakini nilipata somo ambalo sitalisahau

    NILIPOTEZA PESA NYINGI KWA KUTEGEMEA INFLUENCERS. LAKINI NILIPATA SOMO AMBALO SITALISAHAU! Miaka kadhaa iliyopita, niliweka lengo kwamba ifikapo Februari 15, 2021, niwe nimeingiza TSh milioni 15 ndani ya wiki moja tu. Najua inaweza kusikika kama ndoto kubwa, lakini kwa hesabu nilizokuwa...
  15. The future is borderless, hakikisha biashara yako ni borderless pia

    Dunia inabadilika kwa kasi. Leo, unaweza kuwa na biashara Tanzania, lakini wateja wako wakawa Kenya, Congo, Uganda, Marekani au nchi nyingine yoyote duniani. Teknolojia imeondoa mipaka mingi ya kibiashara. Huhitaji tena kuwa na fremu kubwa katikati ya jiji ili bidhaa au huduma zako ziweze...
  16. A

    KERO Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati. Wanatuharibia vyakula, biashara zinaathirika

    Umeme Wilaya ya Nzega unakatika sana kila wakati, kuna muda unaweza kukatika asubuhi mpaka kesho yake mchana, changamoto hiyo ipo kwa wiki tatu sasa. Changamoto hii ni kero na inajirudia, kuna vitu vyetu vingi tu vinakwama, biashara zinaharibika, vitu nyumbani vinaharibika pia na kupata Hasara.
  17. Usisubiri uache kazi ndio uanzishe biashara, unaweza kujenga biashara yako huku ukiwa umeajiriwa

    UNA AJIRA? USISUBIRI UACHE KAZI NDIO UANZISHE BIASHARA. UNAWEZA KUJENGA BIASHARA YAKO HUKU UKIWA UMEAJIRIWA! Kuna kosa ambalo vijana wengi wanalifanya wanapofikiria kuanzisha biashara. Wanaamini kwamba ili uweze kuwa mfanyabiashara, lazima kwanza uache kazi, uwe na muda wote wa kusimamia...
  18. O

    Unaleta mfumo wa watu kusoma sayansi alafu hao hao hawapati option ya kusoma biashara, unawajenga wawe watumwa wa taasisi na waajiri

    Unaleta mfumo ambao watu wanasoma Sayansi, lakini hawapati hata fursa ya kujifunza Biashara kwa kina. Unawajengea uwezo wa kuwa wataalamu wa kufanya kazi ndani ya taasisi na kuajiriwa na waajiri, lakini hauwaandai vya kutosha kuwa wamiliki wa taasisi hizo. Daktari anafundishwa kutibu, lakini ...
  19. Kwa nini biashara ya dawa za kulevya haramu Tanzania na Kenya imejikita Pwani ?

    Ni kwa sababu ya uchumi mzuri ? Wateja/watumiaji wengi ? Ni rahisi kufikika ? Ni rahisi kuificha biashara yenyewe na wanaoifanya maeneo hayo ? Hapa sizungumzii bangi na mirungi.
  20. Biashara ya kuuza bando

    Naomba muongozo kuhusiana na biashara ya bando,,, 1.ipi n gharama na fuu kufunga 2.ipi Ina stable internet 3.kama Kuna njia nyingine ya kutuma kupitia simu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…