biashara

  1. T

    Wapi napata orodha ya categories za leseni za biashara nchini?

    Wakuu, Wapi naweza kupata (kwenye mtandao) orodha ya aina (categories) za leseni za biashara Tanzania? Ahsante.
  2. Mawimbi yanapotulia ndiyo tunajua nani anaogelea uchi (Hatua 10 za kuchukua ili kuizuia biashara yako isife kwa mlipuko wa Corona)

    Mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea sasa duniani (COVID - 19) una madhara kwenye kila eneo la maisha yetu. Madhara makubwa kabisa yako kwenye upande wa afya, siyo tu kwa mtu mmoja mmoja, bali kwa mfumo mzima wa afya. Kwa sababu uwezo wa mfumo huu ni mdogo ukilinganisha na uhitaji...
  3. Natafuta eneo la biashara ya chips Morogoro

    Wakuu habari anayefahamu eneo zuri au Kama unalo eneo naweza kuweka banda la chips niPM tuyajenge. Ni kwa maeneo ya Morogoro mjini kama unaweza kuwa na mgahawa mi nikaongezea chips au una duka mi nikaweka hapo karibu vinywaji vitembee nicheki
  4. T

    Ipi ni njia bora: Kufungua biashara kama mtu binafsi au kwa kutumia kampuni?

    Wakuu, Kuna biashara nawaza kuianzisha, sasa kwa mazingira ya sasa ya nchi yetu na kwa mustakabali wa biashara husika, njia ipi ni bora? Kufungua biashara na kuiendesha kama mtu binafsi au kuiendesha chini ya kampuni? Faida na hasara zake ni zipi? Hebu wazoefu fungukeni.
  5. Je, kuwa na website tu kunatosha kuanzisha biashara?

    Hili ni swali ambalo huwa nakutana nalo mara kwa mara ninapokuwa katika shughuli zangu hasa pale ninapomsaidia mtu kuanzisha biashara. Mara nyingi wanaouliza swali hili ama huwa wanataka kujifunza au basi wanakuwa wanaona kama haina umuhimu. Katika kuwashauri huwa nawaambia kwamba Unapofikiria...
  6. Biashara ya nguo za dukani

    Habari, Naomba nipewe 1,2,3 kuhusu biashara ya nguo za dukani (kijijini kwetu tunaita special). Nahitaji kuchukulia Dar - Kyela border. Naomba kujua profit, cost, TRA. Binafsi nimekomaa mpaka mwisho nimepata 1M. NB: Fremu ipo free, ni yangu. Mchango wa mdau
  7. Wadau na wajasiriamali, naomba kujuzwa kuhusu Mr. Kuku Farms na uhalisia wa aina ile ya biashara

    Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi. Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi. Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na...
  8. R

    Ushauri kuhusu biashara yangu

    Habari zenu wanabodi. Bila kupoteza muda wanabodi. Ni kwamba mwaka 2018 nilifungua duka la vipodozi, nywele bandia za kila aina pale Ubungo. Nilianza na mtaji wa 2M mbali na hela niliyolipa kodi, kutafuta leseni, n.k. Baada ya kuanza biashara, kila baada ya miezi 2 nilikuwa naongeza 2M ili...
  9. INAUZWA Makambako, Njombe: Photocopy mashine Xerox 4265

    Photocopy machine xerox 4265, inauzwa IPO makambako-njombe. Simu 0676775220
  10. Ni muhimu kufundisha watoto biashara yako tangu wakiwa wadogo, Wahindi hili wameliweza

    Ninakumbuka familia moja ya Wahindi nikiwa mdogo. Mke na mume wote walikua madaktari wa macho. Walijaliwa kupata watoto wawili wakiume na wa kike. Walikua na clinic yao ya macho kwenye nyumba yao ya ghorofa. Chini ndiyo ilikuwa ofisi na juu waliishi wenyewe. Niliwafahamu zaidi wale watoto...
  11. K

    Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
  12. Hivi ndivyo teknolojia mpya zinavyoua biashara kubwa na jinsi ya kuzuia biashara yako isife kwa mabadiliko ya teknolojia

    Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia. Kuna mifano mingi sana...
  13. Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara. Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
  14. Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Ndugu wanajamvi, Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa. Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement, mahoteli kimataifa, Total, Songas, Oryx, Puma energy ni hasa ya kigeni. Nimevutiwa kujua haya. Naomba...
  15. Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

    Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
  16. Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    Salaam wanajukwaa, Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja...
  17. M

    SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

    Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
  18. Naomba ushauri: Nimechoka kusoma nataka kumiliki biashara yangu

    Mimi ni mwanafunzi ambae namalizia elimu yangu ya biashara CBE ila kwa sasa siitaji tena kuendelea na masomo naitaji kuanzish biashara yangu binafsi na biashala ninayo taka kufanya ni biashara ya kuuza nguo za mtumba za kike japo sio mala ya kwanza kufanya hii biashara ila kwa sasa nataka...
  19. Mtaji wa Tshs. milioni 3 uzalishe Tshs. 40,000/= kwa siku; njoo tufanye biashara

    Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa Milioni 3. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k. KARIBUNI.
  20. Samatta atokea front page ya Daily Mail Sports, gazeti linaloheshimika Uingereza

    Mzuqa, Kijana wetu mpendwa Mbwana Ally Samatta, mshambuliaji hatari haijawahi kutokea tangu mbingu na nchi ziumbwe leo katika ukurasa wa mbele front page katika gazeti linaloheshimika Uingereza -- Dailymail -- wameleta history yake. Wamemuelezea jinsi ni tegemeo Aston Villa na anavyotarajia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…