biashara

  1. Dam55

    Wafanyabiashara wa sukari zaidi ya 51 kufikishwa mahakamani kwa makosa ya kuhodhi sukari na uhujumu uchumi

    Wafanyabiashara zaidi ya 51 waliokamatwa kwa makosa ya kuuza sukari kwa bei juu tofauti na bei elekezi ya serikali watafikisha mahakamani muda wowote kuanzia sasa kwa makosa ya uhujumu uchumi. Hayo yamebainisha na waziri wa kilimo leo, alipokuwa akikagua shehena ya sukari tani 2900 iliyowasili...
  2. L

    Imagine karne ya 21 kiongozi anatumia neno Mabeberu kama silaha. Anajua kweli ubeberu upo hata kwenye biashara ya mchicha hapa nchini?

    Maana nyepesi ubeberu au beberu kama inavyotumika kwa muktadha wa siasa ni ADUI au UADUI. Je, tujiulize hapa kwetu tz hatuna mifumo ya kibeberu makazini, kwa wakulima au kwenye biashara? Kimsingi ukifuatilia hata kwenye biashara ya mchicha ambao huwatunawaona wakinamama wakipitisha mchicha...
  3. M

    Tractor gani nzuri kwa biashara New Holland, John Deer au Massey Ferguson?

    Wana bodi ? naomba ushauri nataka kuwanunulia ndugu zangu wasio na ajira na tegemezi kifaa cha kazi ambacho watafanyia biashara wajikimu na kirudishe hela yangu mapema with minimum risk, nimewaza kuhusu tractor cause nina access na tractor john deer ku nilipo zipo nyingi na nzuri ila sijui kama...
  4. B

    Hizi biashara za vyakula hazisambazi covid-19 kweli?

    Moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi biashara za vyakula mfano: miwa iliyo menywa, mahindi ya kuchomwa, nk. Hivi hushikwa shikwa na watayarishaji hasa kwa miwa. Mahindi ya kuchomwa hushikwa shikwa hata na wateja kujiridhisha ugumu au ulaini wake. Sahani za vyakula, nyuma (uma), vijiko, vikombe...
  5. M

    Ushauri wa biashara

    Je, ni bidhaa gani kutoka bara la Ulaya (Europe) zinafaa kwa biashara Tanzania. Kuna kampuni inasafirisha mizigo moja kwa moja East africa, ningependa kufanya partnership pamoja nao. Asanteni kwa maoni yenu.
  6. Amo1

    Ni bora kuwa single kuliko kuumizwa kihisia na “wafanyabiashara” wa karne hii

    Habari wanaJF Kitu nilichojifunza kwa sasa kama hauna moyo wa kutoa na hauna uwezo wa kutoa ni bora ukae single kuliko kuumizwa kichwa na hawa wafanyabiashara wa sasa. Yani kila unapogusa iwe ni rafiki(I mean positive friendship) au mahusiano lazima mizinga ihusike. Wengine una chat nao au...
  7. Masokotz

    Unapopambana na COVID 19: Cha muhimu ni kuhakikisha wewe hufi na biashara yako pia haifi

    Habari za wakati huu ma GTs Poleni kwa changamoto ya Korona na ni matumaini yangu kwamba kila mmoja wengi tunapambana ili kuweza kuishi.Kama uliweka malengo mengi katika mwaka huu wa 2020 basi ni muhimu ukarekebisha malengo yako na kuweka lengo kipaumbele lako kuwa ni kuendelea kuwa hai."STAY...
  8. Kibosho1

    Biashara ya sukari sasa imekuwa kama ya ngada, tupo tayari kununua sukari hata kwa 4000/= ipatikane tu

    Serikali haijashinda vita na wafanyabishara toka mzee Magufuli aingie ulingoni. Korosho alipigwa vibaya sana. Mpaka leo serikali inadaiwa. Pambano la sukari nalo limefikia pabaya sana tuna viwanda vingi sana hapa ndani na bado sukari haitoshi kuagiza nje bado tatizo. Sasa sukari haipatikani...
  9. Humayra

    Biashara ya nyama choma. Mbinu, changamoto na faida zake

    Salam wakuu. Nimejikuta navutiwa kufanya hii biashara ya nyama choma (Grilled meat). kwa walio wazoefu na hii biashara naomba michango yenu kuhusu changamoto, gharama, mbinu na faida za kuanzisha hii biashara. Thanks in advance. ======== Baadhi ya Michango =========
  10. P

    Biashara ya vifaa vya ushonaji...

    Wandugu salaam! Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile special zimeharibu hii biashara. Nawasilisha.
  11. FRANCIS DA DON

    Mabeberu waendeleza vita ya uchumi juu ya biashara ya dawa za Corona. Madagascar wadindisha na kusimamia ukucha kuhusu dawa yao ya ‘Covid organica’

    WHO imeendelea kuikandia dawa ya ‘Covid organica ambayo rais Magufuli ameahidi kuiagiza ili kunufaisha waTanzania, kwa kuwa dawa ya Corona ni fursa kubwa sana ya kiuchumi, mabeberu wameendelea kuiponda dawa hiyo wakati wakijiandaa kuiachia dawa yao ambayo itakuwa approved na WHO ili matrillioni...
  12. NgimbaErick

    Professional Wordpress Website Designing Service

    Hello, je umeanzisha Kampuni au Biashara mpya na unatamani kuwa na website itakayobeba kampuni au biashara yako? au unayo Kampuni au Biashara muda mrefu tu, lakini umekuwa ukitamani kuwa na Website ili kukuza unachofanya? Basi, naomba kusema kuwa nafasi ndio hii sasa, ya kubadilisha Biashara...
  13. MWONA MBALI

    Tupeane maarifa ya biashara ya butcher

    Wadau, natamani sana kupata maarifa ya biashara ya butcher. Naombeni sana wenye maarifa na ujuzi nayo, kuanzia kwenye upatikanaji wa vibali na maarifa ya biashara kiujumla. Je, ni mtaji wa kiasi gani mtu anaweza kuanza nao?
  14. M

    Nataka kuanza Biashara ya duka la rejareja msaada ushauri

    Hbr ndugu. Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo. Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo? Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo. NB Naomba ushauri pia juu...
  15. Cvez

    Sekta ya Utalii Tanzania ijiandae kwa maisha ya Corona na baada ya Corona

    Janga la Corona mpaka sasa hivi limeathiri nyanja mbalimbali za uchumi. Ingawa mpaka muda huu sekta ambayo imeathiriwa zaidi na ipo ICU ni sekta ya Utalii. Nchi nyingi zimefanya lockdown, kuna kufutwa kwa safari za anga. Hivyo hoteli, migahawa, tax drivers, wakulima, wavuvi, tour companies na...
  16. M.Rutabo

    Ushauri nataka kufanya biashara ya kukopesha

    Wakuu kwanza habari ya asubuhi. Nije moja kwa moja kwenye mada nilikuwa na pesa kidogo lakini kwa sababu ya kuwa busy na shughuli nyingine nikawa naonelea kwa nini nisiwakopeshe wanawake wanaojishughulisha na biashara ndogo ndogo Kama magenge, migahawa midogo midogo ili mradi tu...
  17. Mtaalam_the_first

    Forex Trading Tanzania: Yafahamu haya kabla ya kujiingiza kwenye hii Biashara

    Habari, Ndugu Watanzania, mimi nikiwa kama mdau ya Forex Trading, nimeona kuna ulazima wa kuandika Makala hii kumsaidia Mtazania yoyote uko nje atakae au anaye tamani kujiingiza kwenye hii biashara. Waweza jiuliza kwa nini nachukua jukumu hili, mafanikio katika sekta hii sio rahisi kama inavyo...
  18. Fildaus

    Kutoa Mchanganuo bora wa kuuza Biashara ya Gas Tanzania

    Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
  19. S

    Manispaa ya Dodoma, utaratibu huu mpya wa kuomba fremu za biashara katika stendi mpya ya mabasi na soko jipya unastahili pongezi

    HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19. Hayo...
  20. The Sheriff

    Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

    MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana tarehe 15 April 2020, imefanikiwa kumkamata kigogo wa dawa za kulevya raia wa Nigeria Kanayo David Chukwu (39) mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam. Pia inawashikilia raia wawili wa Tanzania Alistair Amon Mbele(38) ambaye ni mkutubi wa...
Back
Top Bottom