biashara

  1. hp4510

    Nahitaji connection ya mtu ambae anafanya biashara ya samaki Mwanza

    Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam. Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
  2. PANG-ISO

    Jinsi ya kupata cheti cha ubora cha ISO kwa kampuni yako

    Wadau hamjambo? Pamoja na changamoto ya #Corona, maisha mengine ni lazima yaendelee. Lengo la hii post ni kutaka tupeane ujuzi na kukumbushana namna ya kupata cheti cha Ubora wa bidhaa na huduma cha ISO. ISO ni nini? ISO ni shirika la Viwango la Kimataifa (International Organization for...
  3. youzam

    Biashara inayolipa

    Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta huku na huko kujua ni biashara gani inalipa. Yawezekana wengi hatuelewi maana ya biashara inayolipa. Ukweli ni kwamba, biashara inayolipa ni ile ambayo ina uhusiano chanya kati ya kipato unachopata na matokeo ya kile unachokitoa. Mfano. Kama wewe ni mwalimu...
  4. Sangoma

    Naomba kujua mahali pa kupata kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara

    Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu? Nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima. Nashindwa kujua...
  5. M

    Wakati nchi nyingine zinafikiria jinsi ya kusaidia biashara zisife, Serikali ya awamu ya 5 ndio inainyongelea mbali sekta binafsi

    Wandugu; ukisoma taarifa kutoka nchi mbali mbali utakutana na habari zinazoelezea hatua zinazochukuliwa na serikali za nchi zao kupunguza makali ya athari za corona. Hebu jisomee hapa: How countries are deploying stimulus packages in the fight Malaysia Issues Second Stimulus Package to Combat...
  6. Miss Zomboko

    Corona kusababisha biashara kushuka kwa asilimia 32 duniani

    Ripoti mpya ya mwaka kuhusu Takwimu na Makadirio ya Biashara iliyotolewa jana Jumatano na Shirika la Biashara Duniani WTO, inasema biashara duniani inakadiriwa kupungua kati ya asilimia 13 hadi asilimia 32 mwaka huu, kutokana na athari za mlipuko wa COVID-19 unaokithiri kote duniani. Ripoti...
  7. Kisabulo

    Naomba mwenye uzoefu wa biashara shule za msingi wa uuzaji barafu anipe mchanganuo

    Naomba mwenye uzoefu na biashara ya barafu shule za msingi anipe mchanganuo
  8. cantona55

    Karibuni wageni na wafanya biashara

    ..
  9. cantona55

    Fursa ya kuuza magazeti kwa kilo

    ......
  10. Y

    Jipatie Mfumo kwa ajili ya biashara microfinance

    Mfumo wetu unasifa zifuatazo 1.Unaweza kua na branch zaidi ya mmoja 2.Unaweza jua maresesho ya siku husiko 3. Unaweza generate cashbook kwa ajili yenye taarifa za mikopo iliyotelewa matumizi na marejesho kwa muda husika 4.Unaweza pata report ya siku mmoja husik(daily) report 5.Watumiaji...
  11. S

    Unafanyeje biashara kipindi hiki cha Corona?

    Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu! Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha! Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na wamerudi makazini na shughuli zikiwa zinaendelea kama kawaida ( masks, sanitizers, kupimwa joto la mwili...
  12. N'yadikwa

    Baada ya Corona kuisha sheria ndogo zipitishwe kwenye Halmashauri, maeneo yote ya biashara yawekewe vitakasa mikono

    Yakiwemo maji yanayotiririka na sabuni au sanitilizer. Aidha iwe lazima baada ya COVID-19 kuisha maeneo yote yanayokusanya idadi kubwa ya watu yawe na mapipa madogo ya kuweka taka na iwe marufuku kubwa kwa yeyote kuonekana na taka katika eneo lake la biashara. Maeneo kama vile - Maduka Makubwa...
  13. Analogia Malenga

    Wafanyabiashara 650 waomba kufunga biashara TRA

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imepokea zaidi ya maombi 650 kutoka kwa wafanyabiashara wakiomba kufunga biashara za maduka na hoteli za kitalii kutokana sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu walizozieleza ni watalii kusitisha safari zao za kuja kutalii na kupanda Mlima...
  14. H

    Kubadili Jina la Biashara (Kampuni)

    Habari wanajamvi, napenda kuuliza utaratibu wa kufuata wakati wa kubadili Jina la Biashara ( Kampuni).
  15. C.T.U

    Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

    Wakuu, Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za Bar. Naombeni ushauri wenu.
  16. N

    Naomba tufahamishane kwa wajuzi na wanaofanya biashara ya kununua nguo za kike za mitumba(especially suruali nzur za kike na blouses)pale memorial mos

    Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya kaskazini na natarajia kuanza kufanya biashara io ya nguo Kali za mitumba za kike. Naomba...
  17. Vege

    Vile mitandao ya simu ilivyofanya Corona kama biashara ya kuwanyonya wateja

    Habari zenu wadau, Kutokana na matamko ya serikali ya watu kujifungia ndani ama kalantin kama inavyojulika, mitandao mingi ikiwemo TTCL, VODACOM, TIGO wamekua waki pandisha bei za vifurushi vyao kiholela na kupunguza thamani ya vifurushi hivyo. Wakati ili hali wanajua watu wengi wapo nyumban...
  18. Jankidust

    Fursa Biashara ya supu na chapati

    Habari wakuu, Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza. Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo (mfano Magomeni, Manzese, Mwananchi, Buguruni, Sinza, Kimara n.k). Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo kubaliana...
  19. T

    Wapi napata orodha ya categories za leseni za biashara nchini?

    Wakuu, Wapi naweza kupata (kwenye mtandao) orodha ya aina (categories) za leseni za biashara Tanzania? Ahsante.
  20. Makirita Amani

    Mawimbi yanapotulia ndiyo tunajua nani anaogelea uchi (Hatua 10 za kuchukua ili kuizuia biashara yako isife kwa mlipuko wa Corona)

    Mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea sasa duniani (COVID - 19) una madhara kwenye kila eneo la maisha yetu. Madhara makubwa kabisa yako kwenye upande wa afya, siyo tu kwa mtu mmoja mmoja, bali kwa mfumo mzima wa afya. Kwa sababu uwezo wa mfumo huu ni mdogo ukilinganisha na uhitaji...
Back
Top Bottom