ardhi

  1. Kliniki za ardhi zaanza kwa kasi nchi nzima

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia Ofisi za Makamishna wa Ardhi Wasaidizi nchini, inaendesha Kliniki za Ardhi kuanzia tarehe 22 Septemba hadi 3 Oktoba 2026. Kupitia Kliniki hizo, wananchi watapata fursa ya kupata huduma mbalimbali za ardhi kwa urahisi na kwa wakati...
  2. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Malias

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo Sept 23, 2026 ameungana na Mawaziri wenzake kutoka TAMISEMI pamoja na Maliasili na Utalii katika mkutano wa hadhara kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu unaohusu mipaka ya kiutawala na mpaka wa msitu wa Kazimzumbwi...
  3. S

    Migogoro ya ardhi; Laiti siku mimi fundi samico nikiwa kiongozi wenyeviti na watendaji wa mtaa watanyooka, Huwezi kuuza eneo lenye mgogoro

    Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi; Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi! Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa; 1. Wenyeviti wa mitaa 2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa 3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
  4. Timu za wizara ya Ardhi zaanza kwa ushindi SHIMIWI 2026

    Timu za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi zimeanza kwa kishindo katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa ushindi katika michezo mitatu kwenye mashindano hayo yanayoendelea mkoani Kilimanjaro. Mafanikio hayo yamekuja kufuatia ziara ya...
  5. Ardhi FC yaianza shimiwi kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ras Lindi

    KILIMANJARO Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Ardhi, Nyunba na Maendeleo ya Makazi (Ardhi Fc) imeanza vyema Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ras Lindi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi...
  6. Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo lashiriki One Stop Centre

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo limeshiriki katika zoezi la One Stop Centre linalofanyika katika Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi. Zoezi hilo limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Halmashauri ya Mji Bagamoyo...
  7. Tanzania kwenye makazi na ardhi ni scam trade pro max

    Ukifika kanda ya ziwa au sehemu zenye madini ambayo unaweza kupata mpaka USD za mamilioni ni bei rahisi. Ila sehemu za makazi kama nyumba,real state,mijini na sehemu za kimkakati unaweza shangaa kuuziwa Bilioni wakati wameacha kinyesi au kaburi.
  8. T

    KERO Wananchi wa Pugu wanaopakana na pori linalodaiwa ni eneo la Jeshi, tunakabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa

    Maeneo ya Pugu, wananchi wanaopakana na pori linalodaiwa kuwa ni eneo la Jeshi, tumekuwa tukikabiliwa na vitendo vya kunyanyaswa, ikiwemo kuvunjiwa nyumba na kuzuiwa kutoa maoni au kuzungumza kuhusu suala hili. Tatizo hili linadaiwa kusababishwa na watu wanaodai kuwa wamiliki wa eneo hilo...
  9. W

    KERO Hizi ni changamoto kubwa zinazohitaji uchunguzi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza

    Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu. Changamoto ya vyoo vya matumizi ya pamoja Jengo hilo lina mlango mmoja wa kuingia kwenye eneo la vyoo, ambavyo vinahusisha...
  10. A

    KERO Wizara ya ardhi mtusaidie! Madalali wamegeuza bei za viwanja kuwa janga la kitaifa kwa bei zisizo halisi

    Mimi ni mmoja wa Watanzania wa kawaida ambao tunahangaika usiku na mchana, kwa juhudi na kipato chetu kidogo, ili angalau tuweze kumiliki kipande cha ardhi na kujenga makazi kwa ajili ya familia zetu. Hata hivyo, hali ilivyo sasa mtaani, kumiliki kiwanja kumeanza kuwa ndoto inayozidi kuwa ngumu...
  11. Mfumo wa e-Ardhi Mtwara wafanya mapinduzi makubwa: Masijala za ardhi zenye majarida sasa zahamia kidijiti

    MTWARA Mkoa wa Mtwara umeanza kushuhudia mabadiliko makubwa katika usimamizi na uhifadhi wa taarifa za ardhi kupitia Mfumo wa e-Ardhi, ambapo masijala za ardhi zilizokuwa zikihifadhiwa kwa kutumia majarida sasa taarifa hizo zinaendelea kuhamishiwa katika mfumo wa kidijiti. Hatua hiyo ni sehemu...
  12. Wataalamu wa ardhi Mtwara waupokea vyema mfumo wa e-Ardhi, wako tayari kuwahudumia wananchi

    📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi...
  13. Wajumbe wapya wa baraza la ardhi Tunduru wahimizwa kuwa waadilifu na kutenda haki

    TUNDURU Wajumbe wanne wameapishwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kuwa Wajumbe wapya wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Tunduru, ikiwa ni hatua ya kuimarisha upatikanaji wa haki na utatuzi wa migogoro ya ardhi na nyumba wilayani humo. Zoezi hilo limefanyika leo, Septemba 18...
  14. Mfumo wa e-ardhi unavyofanya kazi kutoka wizara ya ardhi

    https://youtu.be/hOY_UYsoqiI?si=dlv7lgmJRF0hxHfw
  15. Serikali yaboresha utoaji wa huduma ya ardhi kidijiti

    Serikali imesema matumizi ya kidijiti ya Mfumo wa e-Ardhi yamelenga kuleta mageuzi makubwa katika utoaji wa huduma za ardhi, ikiwa ni pamoja na kuondoa urasimu. Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro, Rehema Mdee amesema hayo wakati akizungumza na Radio Kicheko Live kuhusu namna mifumo...
  16. Manispaa ya Lindi yatakiwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa hati ya ardhi Kampasi ya UDSM - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
  17. Waziri Akwilapo atoa onyo kali kwa wavamizi wa ardhi

    DAR ES SALAAM- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaonya wananchi wanaovamia maeneo kwa nguvu na kuunda vikosi vya ulinzi kwa ajili ya kulinda maeneo hayo, akisema Serikali haitavumilia vitendo hivyo na kwamba hatua kali za kisheria zitachukuliwa...
  18. Serikali yasistiza wanandoa kumiliki ardhi pamoja kuepuka migogoro ya ardhi

    ★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na mirathi isiyo ya lazima ambayo inaweza kujitokeza baada ya mmoja wa wanandoa kufariki. Akizungumza kwenye...
  19. Mfumo wa e-ardhi unarahisisha huduma za ardhi, unafunga mianya ya kero za viwanja

    ★Wizara yaweka lengo la kufikisha mfumo huo katika mikoa yote ifikapo 2027 Serikali imeongeza kasi ya matumizi ya mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi na hati miliki, huku ikilenga kuufikisha mfumo huo katika mikoa yote nchini ifikapo mwaka 2027...
  20. Mfumo wa e-Ardhi: Mwananchi kusaini hati milki ya ardhi mkoa wowote alipo

    RUVUMA Wananchi nchini sasa wanaweza kupata na kukamilisha baadhi ya huduma za ardhi kwa urahisi zaidi kupitia mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi, ikiwemo kusaini hati zao bila kulazimika kusafiri hadi mkoa ambako huduma ilianzishwa. Akizungumza wakati wa kutoa elimu kwa umma kuhusu matumizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…