Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. David Silinde, leo Novemba 28, 2026, amekuatana na Menejiment ya Wizara katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma.
Katika kikao kazi hicho, Mhe. Silinde ametambulishwa rasmi kwa Menejimenti ya Wizara pamoja na kupokea taarifa kuhusu hali ya...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 25, 2026 mkoani Morogoro.
Nawasilisha malalamiko yangu kwa Waziri wa Ardhi, nikiomba Wizara ifanye uchunguzi kuhusu mwenendo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni, ambayo inachukua maeneo ya wazi (Mfano: Madoli) na kuyagawa kama viwanja kwa watu wanaofahamiana na baadhi ya viongozi wa mamlaka hiyo.
Aidha, kuna madai...
Napongeza kwa huduma ya mauzo ya ardhi za halmashauri kufanyika kupitia tausi lakini lalamiko moja kumekuwa na mwenendo ambao ardhi zinakua preview halafu siku ya mnada inapofika saa 4 mda wa kuruhusu kushiriki mnada husika, tovuti ina ganda (ina freeze) na baada ya dakika moja viwanja vyote...
Anonymous
Thread
ardhi
maboresho
mfumo wa tausi
tausi
uuzaji wa viwanja
viwanja
“Hata tukichukiana, hata tukipigana, ardhi haiongezeki. Tutauana bure, tutajenga chuki, lakini ardhi haiongezeki.”
𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚
Waziri Mkuu wa Tanzania
🗓️ Novemba 22, 2026
📍 Ngerengere, Morogoro, Tanzania
Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Ngerengere, Halmashauri...
Katika kuimarisha nidhamu ya kazi, uwazi na uwajibikaji katika utoaji wa huduma za sekta ya Ardhi, Serikali imeendelea kuchukua hatua dhidi ya watumishi wanaokiuka taratibu na kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuwaingiza wananchi katika migogoro na changamoto za umiliki wa ardhi.
Akizungumza...
My Take
Naunga mkono hoja ya Kitila Kwa sababu hata niwe Mimi yaani mtu ananipa Bilioni 5 ambayo naweza kwenda kufanyia makubwa zaidi kwingineko nisiuze kisa mgeni?
Mnaolaumu acheni upuuzi,hata Mimi Nina eneo langu japo halipo Dar nikipata mgeni na ofa nzuri nauza nachukua pesa,Nchi ni kubwa...
ARDHI (SHAMBA) EKARI 48 INAUZWA.
SIFA ZA ARDHI NI HIZI ZIFUATAZO:-
(1.) ARDHI IMEZUNGUKWA NA MITO MITATU YENYE MAJI SAFI (PERMANENT RIVERS) PANDE TATU ZA ARDHI.
(2.) UPANDE WA NNE WA ARDHI PIA UNA MTO WENYE MAJI SAFI YA KUTEGA (PERMANENT RIVER)-YAANI HAUTUMII PAMPU (WATER PUMP) BALI UNAWEKA...
DAR ES SALAAM
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma za Kliniki ya Ardhi katika maonesho ya TAREX 2026 yanayofanyika jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuwafikia wananchi na kuwawezesha kupata huduma mbalimbali za ardhi kwa urahisi.
Kupitia kliniki hiyo, Wizara...
Kliniki ya Ardhi Katika Maonesho ya Talex Yafungua Fursa za Uwekezaji Kwa Kutoa Hati Miliki Ndani ya Saa 12
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mkoa wa Dar es Salaam inasogeza huduma za kidijitali za umilikishaji ardhi moja kwa moja katika Maonesho ya Talex Tanzania Real Estate Expo...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wapima Ardhi nchini kushirikiana na Wizara kubuni mfumo utakaosaidia kubainisha viwanja ambavyo havina hati miliki ili kurahisisha usimamizi wa milki za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
Mhe...
DODOMA
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspari Kasperi Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma na Halmashauri zake kuongeza nguvu katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi ili kuwawezesha kutumia...
KOROGWE
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutekeleza maelekezo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa kufanya zoezi la utambuzi na uhakiki wa viwanja na mashamba zaidi ya 2, 305 katika eneo la Makinyumbi lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dk Leonard Akwilapo ameshiriki kikao cha 14 cha Kituo cha Kikanda cha Rasilimali za Ramani kwa Maendeleo (Regional Center for Mapping of Resources for Development - RCMRD) kilichofanyika Mjini Swakopmund, Mkoa wa Irongo nchini Namibia kuanzia...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea??
Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
Nimepata viwanja viwili kupitia Tausi, eneo la Mvuti, jirani na Chanika na Zingiziwa. 700sqm na 450sqm. Bei ni 10M kwa 6M
Baada ya kuvishika online, nilitembelea eneo husika. Ni 39km kutoka town (Kariakoo), linafikika kwa lami hadi kilomita 3 kutoka eneo la mradi.
Kinachonifanya nisite kulipia...
Kijiji cha Chumwi, Wilaya ya Musoma Vijijin mkoani Mara kuna zoezi la upimaji ardhi linaendelea, sasa hela ya upimaji inahitajika na wanapokea mkononi, swali langu zoezi lolote la Kiserikali si huwa kuna Namba ya Malipo zinatolewa au upande wa ardhi wana utaratibu wao?
Wamesema ni surveyors...
Afisa Ardhi wa Wilaya ya Maswa amekaa wilayani humo kwa miaka 24 na ndiye chanzo cha migogoro ya ardhi Serikali inatakiwa kumbadilishia kituo cha kazi, kwani amekuwa kikwazo katika baadhi ya mambo mengi ya kiutendaji kiasi kwamba inaonekana kila kitu kinafanyika kwa vile anavyotaka na sivyo...
Ukubwa wa tetemeko hili ni mkubwa kuwahi kutokea kutokana na mtetemo wake, kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika eneo hili hili linaweza kuwa tetemeko lenye mtetemo mkubwa kuwahi kutokea maeneo haya mchana. Kwa upekee limepita muda nilioutaja hapo juu na kujirudia tena saa 1:22pm.
Mtetembo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.