ardhi

  1. E

    Mkuu wa mkoa wa Pwani kuja na duka la ardhi

    Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
  2. Think2

    Tetemeke la ardhi limetokea Bukoba leo alfajiri

    Habari ya uhakika ni kuwa tetemeko la ardhi laikumba bukoba majira ya alfajiri ambapo wakazi waliamua kukumbia nje ya nyumba zao bila nguo kunusuru maisha yao hata hivyo hakuna madhara yeyote yaliyoripotiwa hadi sasa Geologist tunamba ufafanuzi wa hili swala iweje tetemeko la ardhi mshindwe...
  3. M

    Hatari inayowakabili wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)

    Kufuatia ukosefu mkubwa wa hostels kwa wananafunzi wa vyuo vikuu ikiwepo chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), wanafunzi wengi wa chuo hiki wanaishi nje ya maeneo ya Chuo kuanzia maeneo ya Mwenge,Mpakani, Lufungila Survey,Makongo juu na maeneo ya Jirani ANGALIZO Kwenye kona ya chuo cha ARU ukiwa...
  4. Wizara ya Ardhi

    Ardhi Sports yang’ara SHIMIWI, yatwaa vikombe vinne

    Timu ya Ardhi Sports imefanya vizuri katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) 2026 kwa kutwaa vikombe vinne, ikiwemo ubingwa wa mpira wa miguu na mchezo wa Darts. Mashindano hayo yaliyoshirikisha watumishi kutoka Wizara, Idara na Taasisi...
  5. G

    Barua kwa Waziri mkuu na wizara ya Ardhi, Upimaji Haramu wa Ardhi wilaya ya serengeti.

    Nikiwa kama mdau wa maendeo nchini napenda kujua kwa nini halmashauri ya wilaya ya serengeti mkoani Mara imeruhusu upimaji wa viwanja na Mashamba bila kutoa stakabadhi za EFD wananchi wanabaki na makaratasi ambayo serikali haiyatambui nani yuko nyuma ya hili zoezi gharama ziko juu wananchi...
  6. Wizara ya Ardhi

    Wananchi Chemba kunufaika na Kliniki ya Ardhi

    Mkoa wa Dodoma umeendelea kutekeleza Kliniki za Ardhi katika maeneo mbalimbali kwa lengo la kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi, ambapo safari hii kliniki hiyo inafanyika Wilayani Chemba kwa siku tano. Kliniki hiyo iliyoanza Oktoba 5, 2026 katika Ofisi za Ardhi Wilaya ya Chemba...
  7. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi yajipanga kusogeza kliniki za ardhi katika michezo

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema Wizara yake inajipanga kuanzisha Kliniki ya Ardhi katika mashindano kama ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) ili kuzidi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi...
  8. zitto junior

    Rais wa Somalia apinga uvamizi wa Israel kwenye ardhi yake.

    Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, ameiambia Al Jazeera kuwa nchi yake haitakubali uwepo wa Israel nchini humo "chini ya hali yoyote ile" na itapinga jaribio lolote la kuvutwa katika migogoro ya Mashariki ya Kati. Rais wa Somaliland na waziri mkuu wa Israel. Katika mahojiano maalum...
  9. Wizara ya Ardhi

    Mmuya aagiza kasi upatikanaji wa hati za ardhi sasa kupatikana ndani ya saa 48

    ★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
  10. A

    DOKEZO Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Kanda ya Magharibi (Tabora) inachelewesha Hati

    Kuna migogoro na kampuni binafsi za upimaji hali inayopelekea majalada kurundikana ofisini bila sababu. Ofisi ya Msajili haitoi hati mpaka wale wadada (maafisa) wapewe kitu kidogo. Hili jambo linakera sana na linatia hasira, Serikali itume watu wake wafanye kazi yao ya uchunguzi.
  11. Wizara ya Ardhi

    Kliniki ya ardhi kidijiti Tabora yahitimishwa kwa tabasamu, hati 389 zatolewa

    TABORA: Kliniki ya Ardhi Kidijiti mkoani Tabora imehitimishwa kwa mafanikio makubwa, huku wananchi wakiondoka na tabasamu baada ya kukabidhiwa jumla ya Hati Milki za Ardhi 389, hatua inayochangia kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi na kurahisisha upatikanaji wa huduma za ardhi. Akizungumza...
  12. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi yatwaa ubingwa wa Darts Shimiwi 2026

    KILIMANJARO Timu ya mchezo wa Darts ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya SHIMIWI 2026 yanayoendelea mkoani Kilimanjaro, baada ya kuifunga timu ya Wizara ya Maji kwa jumla ya pointi 5–3 katika mchezo wa fainali. Mchezo huo wa fainali...
  13. Wizara ya Ardhi

    Wataalamu wa ardhi waweka mikakati ya kuongeza urasimishaji ardhi Urambo

    TABORA: Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Tabora, Bw. Tumaini Gwakisa, akiambatana na wataalamu wa ardhi, akiwemo Msajili Msaidizi wa Hati Mkoa wa Tabora Na.Samweli Ibrahimu na Msajili Msaidizi wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa Mkoa wa Tabora Bw.Franklin Chonjo,wamekutana na...
  14. Wizara ya Ardhi

    Mmuya: Linda ardhi yako, muda rahisi wa kupata hati ni sasa

    ★ Asema mifumo ya utoaji huduma imedhibiti watu kati★ Akabidhi hati zaidi ya 800 za miliki za ardhi Mafinga Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema maboresho ya mifumo ya utoaji huduma za ardhi yamewezesha wananchi kupata hati za miliki kwa urahisi zaidi...
  15. Wizara ya Ardhi

    Moshi yazindua Mfumo wa E-Ardhi huduma popote, Wananchi 890 wapimiwa ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Ndugu Godfrey Mnzava, amekabidhi hati 50 za ardhi kwa Wananchi wa Kijiji cha Koresa, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Mfumo wa Ardhi Kliniki Kidijitali, maarufu kama “E-Ardhi Huduma Popote.” Uzinduzi huo umeenda sambamba na utoaji wa elimu kwa...
  16. Wizara ya Ardhi

    Wajibu wa mdhamini katika dhamana ya hatimiliki ya ardhi katika Taasisi za kifedha

    https://youtu.be/9zjBfqx1E9E?si=tRVVlcDNCgoNkbdJ Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi, Na Nyumba la Wilaya Dodoma, Mhe. Omary Mbega, kupitia ABM FM radio 91.2 Akielezea Wajibu wa mdhamini katika dhamana ya hatimiliki ya ardhi katika taasisi za kifedha.
  17. Wizara ya Ardhi

    Kliniki ya ardhi kahama yarahisisha upatikanaji wa hati

    • Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi. Wito huo umetolewa na Afisa...
  18. Wizara ya Ardhi

    Tabora yatatua mgogoro wa ardhi iliyomilikishwa toka miaka ya 1969

    TABORA Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayoendelea mkoani Tabora imefanikisha utatuzi wa mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu kati ya familia ya Bi. Osiana Ahadi Shauri na familia ya Saidi Senyange, kuhusu maeneo ambayo familia hizo zimekuwa na nyaraka za umiliki tangu miaka ya 1982 na 1989...
  19. Wizara ya Ardhi

    Wakazi zaidi ya 60 Klyamatundu Rukwa wapatiwa hati miliki za ardhi, wahimizwa kujiandaa kutumia e-ARDHI

    SUMBAWANGA: Wakazi zaidi ya 60 wa Klyamatundu, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, wamepatiwa hati miliki za ardhi baada ya kukamilisha taratibu za umilikishaji wa viwanja vyao kupitia zoezi la urasimishaji makazi. Hati hizo zimeandaliwa na kukabidhiwa kwa wananchi kupitia...
  20. Wizara ya Ardhi

    Ardhi Kliniki-Sumbawanga

    Mkurugenzi Msaidizi wa Urasimishaji Makazi, Bw. Nicholaus Mwakasege, na Msajili Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Rukwa, Bw. Ng’umbunela Langalanga, wakitoa elimu kwa wananchi kupitia Vos FM ,90.1 FM Sumbawanga kuhusu masuala mbalimbali ya ardhi, ikiwemo umuhimu wa kuwa na hati miliki, taratibu za...
Back
Top Bottom