ardhi

  1. A

    KERO Jiji Mwanza wananizungusha kubadilisha jina la umiliki wa ardhi kwenye mfumo wa elektroniki

    Halmashauri ya Jiji la Mwanza kushindwa kubadlisha jina la mmiliki wa kiwanja kwenye mfumo, Nilinunua nyumba Mwaka 2024 na kukamilisha taratibu zote za kuhamisha milki Julai, 2024. Japokuwa kwenye hati linasomeka jina langu, Halmashauri ya Jiji la Mwanza wameshindwa kurekebisha taarifa zangu za...
  2. Ardhi Kliniki Geita

    Msajili wa Hati Nchini, Bw. David Mshendwa, amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato, Bw. Louis Bura, Hati Miliki aliyopata kupitia Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini mkoani Geita. Kupitia Kliniki hiyo, wananchi wanapata fursa ya kupata elimu na ushauri kuhusu...
  3. Mmuya apokea taarifa za tathmini ya mpango kabambe wa jiji la Dodoma na mikakati ya upangaji matumizi ya ardhi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (MB), amepokea Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma wa mwaka 2019–2039, iliyowasilishwa na wataalamu wa Maendeleo ya Makazi kutoka Makao Makuu kwa kushirikiana na Ofisi ya Kamishna Msaidizi...
  4. Serikali yaendelea kutoa huduma za ardhi kupitia kliniki kidijiti

    RUVUMA: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia Kliniki za Ardhi, zinazolenga kupunguza migogoro ya ardhi na kuongeza uelewa kuhusu sheria na taratibu za umiliki wa ardhi. Kwa mkoa wa Ruvuma, kliniki hiyo ya Ardhi ya Kidigiti...
  5. Kliniki ya ardhi Kahama yarahisisha upatikanaji wa hati

    • Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijiti wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi, ikiwemo kupata hati miliki bila kulazimika kufika katika ofisi za ardhi. Wito huo umetolewa na Afisa...
  6. Wanawake Cwajitokeza kupata huduma kwenye kliniki ya ardhi

    Chunya, Mbeya Wanawake Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, wameonesha mwitikio mkubwa na kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea wilayani humo. Kupitia kliniki hiyo, wanawake takribani 130 wamefika na kupata huduma mbalimbali za ardhi ikiwemo umiliki wa ardhi...
  7. Kliniki ya ardhi kidijiti yaleta neema Tabora: Hati zaidi ya 200 zatolewa tabora mjini na Nzega

    TABORA Wananchi wa Mkoa wa Tabora wameendelea kunufaika na huduma zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi Kidijiti, ambapo jumla ya Hati Miliki za Ardhi zaidi ya 200 zimetolewa kwa wananchi wa Tabora Mjini na Wilaya ya Nzega, hatua inayolenga kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi na kuwawezesha...
  8. 80% ya vijana Tanzania wenye miaka 35 hawana akiba ya kueleweka, hawana ardhi au asset yoyote na hawajajenga nyumba ya kuishi

    Source: Tomato Sauce Uchumi wa Mandoo ndooo
  9. O

    Wakazi 133 wa Lamu waipeleka Serikali Mahakamani kupinga ujenzi wa kiwanda cha Dangote hadi pale watakapolipwa fidia

    Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote. Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
  10. Ardhi Sports Club yashiriki ufunguzi wa Michezo ya 40 ya SHIMIWI Kilimanjaro

    Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na maandamano ya wanamichezo wote wanaoshiriki michuano hiyo mkoani Kilimanjaro. Maandamano ya...
  11. Baraza la ardhi na nyumba la wilaya iringa lashiriki kliniki ya ardhi, latoa huduma za utatuzi wa migogoro na elimu kwa umma

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Iringa limeshiriki katika Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Iringa inayoendelea kufanyika katika Manispaa ya Iringa kuanzia tarehe 20 Septemba hadi 03 Oktoba 2026, kwa kutoa huduma za utatuzi wa migogoro ya ardhi, ushauri wa masuala ya ardhi na elimu kwa umma kuhusu...
  12. Naibu Katibu Mkuu akabidhi wananchi hatimiliki Dodoma

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewakabidhi wananchi hatimiliki leo tarehe 25 Septemba, 2026 jijini Dodoma wakati wa Kliniki ya Ardhi inayoendelea mkoani humo. Kliniki hiyo ilianza tarehe 22 Septemba na inatarajiwa kuhitimishwa rasmi tarehe 03 Oktoba, 2026...
  13. Kliniki ya Ardhi Mbeya yahudumia wananchi 227, hati 57 zagawiwa

    Chunya, Mbeya Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120 zimesajiliwa huku Hati 57 zikitolewa kwa wananchi. Kwa upande wa mapato, mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha...
  14. Waziri Akwilapo azindua kliniki ya ardhi ya kidijiti Mtwara

    MTWARA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amezindua rasmi Kliniki ya Ardhi kidijiti mkoani Mtwara huku akiwataka wananchi kutumia fursa hiyo kupata elimu na huduma mbalimbali za ardhi, ikiwamo upimaji, upangaji na umilikishaji. Uzinduzi huo umefanyika...
  15. Wananchi wa Njombe wapata hati miliki kupitia ardhi kliniki

    Wananchi wa Mkoani Njombe wamepata hati miliki za makazi kupitia Ardhi Kliniki, kwa kutumia mfumo wa kidigitali wa e-Ardhi ambapo zoezi hilo limefanyika Mtaa wa Idundilanga kwa ushirikiano wa Ofisi ya Ardhi Njombe, na Halmashauri ya Mji Njombe ikiwa na lengo la kuhakikisha wananchi wanapata...
  16. Kamishna wa Ardhi msaidizi Manyara akabidhi hati kwa mwananchi

    Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara, Bwn. Erick Makundi, akikabidhi hati kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi ya Mkoa, inayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite, Kwaraa, Mjini Babati, kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 3, 2026
  17. Wananchi Mwanza waendelea kuufaika na huduma za ardhi kupitia ardhi kliniki

    Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi. Kliniki hiyo inaendeshwa katika mikoa yote Tanzania Bara ambapo ilianza Septemba 22 na itahitimishwa Oktoba 03...
  18. Mmuya: Heshimuni mipaka iliyopimwa, tuondoe migogoro ya ardhi

    Wananchi wametakiwa kuheshimu mipaka ya ardhi iliyopimwa na kutambuliwa kitaalamu, ambayo ni hatua muhimu katika kuzuia na kumaliza migogoro ya mipaka kati ya vijiji na maeneo mengine nchini. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya ametoa kauli hiyo mara baada ya...
  19. Bodaboda Mtwara wapewa Elimu ya e- Ardhi, Wahimizwa kurasimisha Ardhi zao Kisheria

    Mtwara- Maafisa usafirishaji maarufu kama bodaboda mkoani Mtwara wamepata elimu kuhusu matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, unaowawezesha wananchi kusajili na kurasimisha viwanja vyao ili kupata umiliki unaotambulika kisheria. Elimu hiyo imetolewa na Kamishna Msaidizi wa Ardhi (Utawala wa Ardhi), Bi...
  20. H

    Naomba kujua gharama za hati upande wa Premium, ni asilimia ngapi?

    Habari wadau, Naomba kujua gharama za kulipia hati upande wa Premium ni 2.5% au 25% ya gharama ya kiwanja? Maana bili niliyopewa sielewi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…