ardhi

  1. Waziri wa Ardhi David Silinde akutana na menejiment ya wizara

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. David Silinde, leo Novemba 28, 2026, amekuatana na Menejiment ya Wizara katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma. Katika kikao kazi hicho, Mhe. Silinde ametambulishwa rasmi kwa Menejimenti ya Wizara pamoja na kupokea taarifa kuhusu hali ya...
  2. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akisikiliza hoja na kero mbalimbali zilizoibuliwa na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara katika ziara ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Novemba 25, 2026 mkoani Morogoro.
  3. K

    KERO Wizara ya Ardhi tunaomba muichunguze Halmashauri ya Kigamboni, Dar, inauza maeneo yaliyotengwa kuwa wazi

    Nawasilisha malalamiko yangu kwa Waziri wa Ardhi, nikiomba Wizara ifanye uchunguzi kuhusu mwenendo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni, ambayo inachukua maeneo ya wazi (Mfano: Madoli) na kuyagawa kama viwanja kwa watu wanaofahamiana na baadhi ya viongozi wa mamlaka hiyo. Aidha, kuna madai...
  4. A

    HOJA Maboresho yafanyike Mfumo wa TAUSI - Kitengo cha mauzo ya ardhi

    Napongeza kwa huduma ya mauzo ya ardhi za halmashauri kufanyika kupitia tausi lakini lalamiko moja kumekuwa na mwenendo ambao ardhi zinakua preview halafu siku ya mnada inapofika saa 4 mda wa kuruhusu kushiriki mnada husika, tovuti ina ganda (ina freeze) na baada ya dakika moja viwanja vyote...
  5. H

    Hata tukichukiana, hata tukipigana, ardhi haiongezeki. Tutauana bure, tutajenga chuki, lakini ardhi haiongezeki. ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ

    โ€œHata tukichukiana, hata tukipigana, ardhi haiongezeki. Tutauana bure, tutajenga chuki, lakini ardhi haiongezeki.โ€ ๐ƒ๐ค๐ญ. ๐Œ๐ฐ๐ข๐ ๐ฎ๐ฅ๐ฎ ๐๐œ๐ก๐ž๐ฆ๐›๐š Waziri Mkuu wa Tanzania ๐Ÿ—“๏ธ Novemba 22, 2026 ๐Ÿ“ Ngerengere, Morogoro, Tanzania Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Ngerengere, Halmashauri...
  6. Mtumishi aliyetoza fedha kinyume na taratibu achukuliwa hatua, timu mahususi ya ardhi kuundwa Morogoro

    Katika kuimarisha nidhamu ya kazi, uwazi na uwajibikaji katika utoaji wa huduma za sekta ya Ardhi, Serikali imeendelea kuchukua hatua dhidi ya watumishi wanaokiuka taratibu na kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuwaingiza wananchi katika migogoro na changamoto za umiliki wa ardhi. Akizungumza...
  7. Kitila Mkumbo: Wananchi wa Masaki na Mikocheni Wanauza Ardhi zao Kwa Wageni Kwa makubaliano ya kisheria Harafu Serikali Inalaumiwa Kwa Lipi?

    My Take Naunga mkono hoja ya Kitila Kwa sababu hata niwe Mimi yaani mtu ananipa Bilioni 5 ambayo naweza kwenda kufanyia makubwa zaidi kwingineko nisiuze kisa mgeni? Mnaolaumu acheni upuuzi,hata Mimi Nina eneo langu japo halipo Dar nikipata mgeni na ofa nzuri nauza nachukua pesa,Nchi ni kubwa...
  8. C

    Ardhi (shamba) ekari 48 inauzwa

    ARDHI (SHAMBA) EKARI 48 INAUZWA. SIFA ZA ARDHI NI HIZI ZIFUATAZO:- (1.) ARDHI IMEZUNGUKWA NA MITO MITATU YENYE MAJI SAFI (PERMANENT RIVERS) PANDE TATU ZA ARDHI. (2.) UPANDE WA NNE WA ARDHI PIA UNA MTO WENYE MAJI SAFI YA KUTEGA (PERMANENT RIVER)-YAANI HAUTUMII PAMPU (WATER PUMP) BALI UNAWEKA...
  9. Wizara ya ardhi yaendelea kutoa huduma za kliniki ya ardhi maonesho ya Tarex 2026

    DAR ES SALAAM Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma za Kliniki ya Ardhi katika maonesho ya TAREX 2026 yanayofanyika jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuwafikia wananchi na kuwawezesha kupata huduma mbalimbali za ardhi kwa urahisi. Kupitia kliniki hiyo, Wizara...
  10. Kliniki ya Ardhi Katika Maonesho ya Talex Yafungua Fursa za Uwekezaji Kwa Kutoa Hati Miliki Ndani ya Saa 12

    Kliniki ya Ardhi Katika Maonesho ya Talex Yafungua Fursa za Uwekezaji Kwa Kutoa Hati Miliki Ndani ya Saa 12 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mkoa wa Dar es Salaam inasogeza huduma za kidijitali za umilikishaji ardhi moja kwa moja katika Maonesho ya Talex Tanzania Real Estate Expo...
  11. Wapima ardhi watakiwa kubuni mfumo wa kubainisha viwanja visivyokuwa na hati miliki

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wapima Ardhi nchini kushirikiana na Wizara kubuni mfumo utakaosaidia kubainisha viwanja ambavyo havina hati miliki ili kurahisisha usimamizi wa milki za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Mhe...
  12. Watumishi wizara ya ardhi wasisitizwa kuongeza nguvu utoaji elimu matumizi ya mfumo wa E-ardhi

    DODOMA Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspari Kasperi Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya Ardhi katika Ofisi ya Ardhi Mkoa wa Dodoma na Halmashauri zake kuongeza nguvu katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi ili kuwawezesha kutumia...
  13. Wizara ya ardhi yahakiki viwanja na mashamba zaidi ya 2,305 katika eneo la Makinyumbi, hale Tanga

    KOROGWE Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutekeleza maelekezo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa kufanya zoezi la utambuzi na uhakiki wa viwanja na mashamba zaidi ya 2, 305 katika eneo la Makinyumbi lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya...
  14. Akwilapo ashiriki kikao cha 14 cha mawaziri wa ardhi RCMRD Namibia

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dk Leonard Akwilapo ameshiriki kikao cha 14 cha Kituo cha Kikanda cha Rasilimali za Ramani kwa Maendeleo (Regional Center for Mapping of Resources for Development - RCMRD) kilichofanyika Mjini Swakopmund, Mkoa wa Irongo nchini Namibia kuanzia...
  15. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
  16. Swali wizara ya ardhi na ujenzi uvamizi AU kuuza eneo la road reserve barabra ya Morogoro

    Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea?? Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
  17. N

    Nimepata viwanja Mvuti, jirani na Chanika. Vinafaa kwa uwekezaji wa rasilimali ardhi?

    Nimepata viwanja viwili kupitia Tausi, eneo la Mvuti, jirani na Chanika na Zingiziwa. 700sqm na 450sqm. Bei ni 10M kwa 6M Baada ya kuvishika online, nilitembelea eneo husika. Ni 39km kutoka town (Kariakoo), linafikika kwa lami hadi kilomita 3 kutoka eneo la mradi. Kinachonifanya nisite kulipia...
  18. A

    KERO Chumwi, Musoma Vijijini wanapimaji ardhi wanataka Sh 50k taslimu, hakuna namba ya malipo?

    Kijiji cha Chumwi, Wilaya ya Musoma Vijijin mkoani Mara kuna zoezi la upimaji ardhi linaendelea, sasa hela ya upimaji inahitajika na wanapokea mkononi, swali langu zoezi lolote la Kiserikali si huwa kuna Namba ya Malipo zinatolewa au upande wa ardhi wana utaratibu wao? Wamesema ni surveyors...
  19. M

    KERO Afisa Ardhi wa Maswa amekaa muda mrefu kituoni hapo, ufanisi wake umeshuka

    Afisa Ardhi wa Wilaya ya Maswa amekaa wilayani humo kwa miaka 24 na ndiye chanzo cha migogoro ya ardhi Serikali inatakiwa kumbadilishia kituo cha kazi, kwani amekuwa kikwazo katika baadhi ya mambo mengi ya kiutendaji kiasi kwamba inaonekana kila kitu kinafanyika kwa vile anavyotaka na sivyo...
  20. Muda huu 12: 23 tarehe 5/11/2026 limepita tetemeko kubwa la ardhi eneo la Masumbwe Geita likiwa na uelekeo wa Magharibi lililodumu kwa sekunde kadhaa

    Ukubwa wa tetemeko hili ni mkubwa kuwahi kutokea kutokana na mtetemo wake, kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika eneo hili hili linaweza kuwa tetemeko lenye mtetemo mkubwa kuwahi kutokea maeneo haya mchana. Kwa upekee limepita muda nilioutaja hapo juu na kujirudia tena saa 1:22pm. Mtetembo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ