Wiki nzima ya mapumziko, yawa nafasi ya uzinzi kwa wanyarwanda wengi

Wiki nzima ya mapumziko, yawa nafasi ya uzinzi kwa wanyarwanda wengi

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Kwa muda wa siku 7, yaani tarehe 1 hadi 7 mwezi Julai, 2025, Wanyarwanda walioajiliwa serikalini, walipata muda wa mapumziko, kwa ajili ya kuadhimisha sikukuu za uhuru na kujikomboa, zilizoangukia mwisho wa wiki.

Rubavu, mpakani mwa Rwanda na DRC, ambapo kuna ziwa Kivu, ikiwa ndo kivutio pekee cha wanyarwanda hasa wenye uwezo, kutoka miji tofauti, inasemekana eneo hilo lilifurika kwa muda huo wote.

Cha kushangaza, utafiti uliofanywa kupitia biashara za mjini Rubavu, ulibaini kuwa, wauzaji wa CONDOMS na dawa za kuzuia mimba, ndo bidhaa zilizopata wateja wengi, ikiwa maduka ya madawa yanauza na maduka ya watu binafsi pia.

Kwa idadi ya waliotafuta za kuzuwia mimba, hakika hawakuzingatia na maambukizi ya VVU. Lazima wengi waliondoka navyo.
 
Back
Top Bottom