VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Baada siku moja, wanyarwanda 300 walipoingia nchini humo kutoka DRC, kwa mara nyingine, leo wameingia 790 pia.
Kwa mjibu wa vyombo vya habari, watu hawa, na wengine ambao bado hawajawasili, walizuiliwa na waasi wa serikali ya Rwanda, FDLR,huko walikokuwa mapolini. Wengi wao, ni watoto na wanawake.
Wapo waliozaliwa huko huko, baada ya wazazi wao kukimbilia nchini humo mwaka 1994, na wengine waliondoka nchini Rwanda na kujiunga na waasi hao miaka kadhaa iliyopita, wakiwemo ambao wana miaka chini ya 5 toka waende huko.
Selikali ya Rwanda inasema walikuwa wamezuiliwa na uongozi wa FDLR mpaka hapo walipofukuzwa na AFC/M23 huko Kivu Kasikazini.