VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 Jul 5, 2025 #1 Mwanamke akifua nguo za mmewe au mpenzi wake, akikuta hela, anakausha,kama hakijatokea kitu. Acha akute Condom sasa! Anacharuka kama si yeye. Kwenu wanawake, Si na kwenye hela basi iwe inakuwa hivo hivo!!
Mwanamke akifua nguo za mmewe au mpenzi wake, akikuta hela, anakausha,kama hakijatokea kitu. Acha akute Condom sasa! Anacharuka kama si yeye. Kwenu wanawake, Si na kwenye hela basi iwe inakuwa hivo hivo!!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,975 Reaction score 1,252,369 Jul 5, 2025 #2 Inashangaza sana