Breaking News
Abarimu bagiye gusuzumwa abatazi Icyongereza bavanwe mu kazi.Minisitiri w’Intebe Dr Ngirente Edouard yatangaje ko Guverinoma y’u Rwanda irimo gutegura gahunda yo gusuzuma abarimu bigisha mu mashuri abanza n’ayisumbuye niba bazi Icyongereza bigishamo.
Waziri mkuu nchini Rwanda, ametangaza kuwa, walimu wote nchini, wanaofundisha shule ya msingi na sekondari, watatahiniwa kuhakiki kama wanaelewa lugha ya kiingeleza inayotumika kufundisha. Atakaeferi mtihani, huyo hana kazi tena.
Swali ni je, walimu hawa, mpaka wanapata kazi na kufundisha watoto, wizara ya elimu ilikuwa wapi? Je, kama haina imani nao, waliofundishwa wana nini? Watamaliza shule wakiwa na nini? Japo mpaka sasa, hata wahitimu wa vyuo vikuu, ni makaratasi tuu, ujuzi ni sufuri.