VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Mpaka sasa, wapiganaji wa M23 wapo Kaniola, huko Kivu kusini, umbali wa km 53 tu kutoka mji wa Uvira. Eneo hilo liliangukia mikononi mwa wapiganaji hao, baada ya mapigano kati yao na jeshi la DRC likishilikiana na jeshi la Burundi, Wazalendo na mamluki kutoka Amerika kusini,nchini Columbia.
Vile vile,vita hivi vinapamba moto Kivu kaskazini, ambapo pia M23 inazidi kupanua maeneo inayopigania.
Mashirika ya huduma za kibinadamu nchini DRC, yalitangaza kuwa, kandi maeneo yaliopo chini ya uongozi wa M23, kwa sasa ni rahisi kwao kufika, na mazingira ni rafiki, na vitendo vya kikatili vilivyokuwa vikiendelea kabla ya kundi hilo kuweka uongozi wao, havipo tena. Raia wengi walianza kurudi makwao,na wengine wakiendeleza shughuli zao.
Baada ya serikali ya DRC kushindwa kuachia huru wafuasi wa M23 inaowashikilia, jambo ambalo iliahidi baada ya kuomba wanajeshi na polisi wake waliokuwa katika kambi ya MONUSCO mjini Goma, kama ilivyoahidi kwamba agizo hilo likitekelezwa,na yenyewe itatekeleza la M23, kitendo hicho kimefanya kundi hilo lijipange upya kwa mapigano.