Uhalisia wa mwanamke au wa mwanaume unajulikana lini?

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Mwanamke halisi hujulikana katika nyakati za umasikini wa mume wake, ama akiwa hajazipata pesa au akiwa kafilisika au kupoteza madaraka. Hapa utaijua sura halisi ya mwanamke wako.
Sura na tabia halisi za mwanaume (mume) hujulikana katika ugonjwa wa mke wake. Ukipata ugonjwa wa muda mrefu utakaokufanya kukaa kitandani ama muda mrefu zaidi au maisha yako yote yaliyosalia au ugonjwa utakaokufanya ushindwe kumudu majukumu yako ya kawaida hapo ndipo utapata fursa ya kujua sura halisi ya mwanaume wako.
Usibishe haraka wewe fanya utafiti kwanza.
 
Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom