Mwanaume, unakaa na mwanamke, unamzalisha, umri unamtupa nachakaa, unamuona wa nini, unamkimbia na kila kitu.
Jamani, mtu kama humtaki, na umekaa ukafikilia ukaona hafai kuwa tena mkeo, kumbuka basi umezaa nae.
Mwanamke mmoja alipewa tu nauli ya kurudi kwao baada ya kuishi na mwanaume kwa muda wa miaka 18. Punguzeni ulimbukeni jamani.