Tanzania kuweka utaratibu mpya wa biashara ndogo ndogo

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Katika zoezi la kuwapa kipaumbele wazawa, Tanzania imefikia uamzi wa kuondoa leseni za waliokuwa wanafanya shughuli ndogo ndogo za kiuchumi.

Je, utaratibu huu, unawanufaisha kweli wazawa? Kama na yenyewe ina watu wengi wasio na ajira, utaratibu huu ukiwekwa,unafungulia raia hao milango ya ajira barani kote na EAC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…