ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    Watanzania mna IQ ndogo sana. Samia, Nchimbi, Mwigulu lao moja.

    Hawa wote ni mafisadi, wana mtandao, wameamua kucheza na akili zenu kama walivyo wachezea akili kipindi cha Khabil and Habil. Amkeni, haya mafisadi yote lazima yashughulikiwe, hayana ugomvi wowote yanataka kuonesha kuwa yamefarakana halafu 2030 yafanye drama itakayopelekea mlipe urais moja kati...
  2. Crocodiletooth

    Baraza lafumuliwa na kusukwa kwa sehemu ndogo.

  3. Crocodiletooth

    Tuna synagogue ndogo Arusha.

    After years of communication the We Were Never Lost team finally was able to meet and spend a week with Rav Yehuda Kahalani and his community in Arusha, Tanzania 🇹🇿. The Tanzanian Jewish community will be featured as one of the episodes in the We Were Never Lost documentary series. This...
  4. Dennis Robert Shughuru

    Kuna mtu kanitaja kwamba nina IQ ndogo haya ndo majibu yangu

    Kuna member kanitaja kule kwamba nina IQ ndogo na anaamini kwa kufanya hivyo ananikera na kuna ambao wamemsupport Paroco Watanzania ni watu ambao wanapenda sana sifa hata ambazo ni wazi hastahili kwa hiyo ukitaka kumuudhi mtanzania hata kama yeye hana fedha mwambie huna fedha atakukasirikia...
  5. leroy

    Kwanini Mikopo ya Benki Ina Riba Kubwa (Ksh/Tsh) Ingawa Serikali Inakopa kwa Riba Ndogo?

    Hili ni swali ambalo wengi hujiuliza: Ikiwa Serikali inaweza kukopa benki kwa kuuza Hati Fungani za muda mfupi (Treasury Bills) na kupewa riba ya asilimia 9, kwa nini wewe ukienda kukopa unaambiwa riba ni asilimia 14 hadi 18? Ni wapi zile asilimia 5 hadi 9 za ziada zinapotelea...
  6. Red black

    Hivi ni kwanini baadhi ya Waafrika wana akili ndogo sana?

    Je, ni swala la Genetics au nini? Au wanazaliwa na ujinga kichwani?
  7. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  8. G

    Nimenunua gari ndogo ya mizigo mjini. Napigaje pesa?

    Habari wana jamii. Naombeni kufunzwa namna biashara ya kubeba mizigo kwa gari ndogo kama hizi pick up za tani 2 inavyoendeshwa (Mfumo wake). Naanzaje? Napataje wateja? Gari ipo dar lakini mimi ni mgeni wa hii biashara. Msaada wenu🙏
  9. radhiya

    Nyumba ndogo inauzwa Kimara temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  10. Crocodiletooth

    Rafiki yangu Alex,ananidokeza baba yupo salama na anajishughulisha na shughuli zake ndogo ndogo za kilimo!

    Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!
  11. A

    HOJA Serikali inashangaza sana katika ujenzi wa barabara Dar es Salaam, ni nyembamba na haziendani na kasi ya maendeleo ya Jiji

    Ninashangaa kuona kuwa hadi mwaka 2026, Serikali bado inajenga barabara zenye njia mbili tu kwa magari ya kawaida, licha ya changamoto kubwa ya foleni jijini Dar es Salaam. Kwa mfano, eneo la barabara ya Airport lina nafasi kubwa ambayo ingeweza kutumika kujenga njia nne za magari ya kawaida na...
  12. D

    HOJA Kwanini Airtel money wanatoa kamisheni ndogo ya miamala ukilinganisha na kampuni nyingine?

    Naomba TCRA wafuatilie % za kamisheni ya miamala kwa mawakala wa kutoa/kutuma fedha kwa mtandao wa AIRTEL ni ndogo sana ukilinganish na mitandao mingine Picha 3 za mwanzo ni airtel money, zinazofata ni mixx by yas
  13. R

    Tujenge separate roads za malori na mabasi, gari ndogo etc. Ajali za Morogoro wala hakuna funzo tunalolipata. Pendekeza suluhisho!

    Hivi hatuwezi kweli kujenga barabara za malori tu angalau several kilometers from town center yachepuke kuepukà msongamano na kuleta àjali. Casual observation inaonesha kuwa ajali mbàya zinatokea several, 10, 15, 20 kms kutoka mjini centre....... Morogoro pamekuwa machinjioni ya maisha ya...
  14. Kaka yake shetani

    Tanzania tupitie upya syndrome hawa watu ni wazuri sana kwenye kufanya kazi ndogo ndogo hata biashara kubwa zako.

    Syndrome kwa tanzania ni kama bado wajapewa nafasi ila ni watu wazuri sana. Kazi zao sio hatari wala mbaya na unaweza kuwapenda sana. Watu wenye syndrome ni zaidi ya hawa tuliopo. wakipata mafunzo tokea wadogo na walipo ni watendaji wakazi ambazo walio timamu ni kazi. Kuna kazi ukiwapa...
  15. A

    Uamuzi wa Kesi ya Said Issa na wenzake dhidi ya CHADEMA hadi Oktoba 22, 2026

    Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
  16. 1

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓 Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo. UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽 Tunaiomba UDSM: • Itoe...
  17. Lycaon pictus

    Kwa nini Dar es Salaam ina share ndogo ya GDP ya nchi ukilinganisha na majiji mengine ya EA?

    Jiji la Nairobi na viunga vyake linachangia asilimia 41 ya GDP yote ya Kenya Kampala na viunga vyake, 60% ya GDP yote ya Uganda Kigali 40% ya GDP ya Rwanda Dar Es Salaam 19% ya GDP ya Tanzania. Ni jambo zuri uchumi wa nchi kutokuwa dominated na jiji moja. Ila nini kimesababisha iwe hivi kwa...
  18. comrade_kipepe

    Ndonga ishawahi kukusaliti?

    Kwenye shughuli zako za kiserikali, iliwahi kutokea siku ndonga ikakusaliti? Booster inayozungumziwa kwenye video ni kama ipi?
  19. M

    Ni wapi naweza kupata router ndogo ya 5G inayoingiza laini zote, hizi router tunazopewa ni kubwa kama matunguli 😀

    Tulishazoea hapo zamani unabebakarouter kako kirahisi Lakini hizi router za 5 G kubwa kama matunguli 😀 Ni wapi naweza kupata router portable
  20. nzalendo

    Nyumba ndogo zina faida/msaada sana ki Afya

    Naam hasa afya ya akili.. Hawa wake zetu kwa kiasi fulani wanachangia sana kututanguliza mahala pema peponi. Hivyo mkombozi ni nyumba ndogo,,,huko hupata vitu ambavyo mke hawezi kukupatia, Wanaume tunahitaji heshima tu,,ukiambiwa jambo sikiliza. Mke akiwa na jeuri na kujibu kwa dharau hufanya...
Back
Top Bottom