Rwanda yapokonywa ardhi iliyopewa na Congo Brazaville.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Tangazo lililotufikia, ni kwamba chanzo ni Rwanda kuchelewa kutumia ardhi iliyopewa.

Rwanda ilipewa heka 11, na makubaliano yalikuwa kwamba ifikapo Desemba 8, 2024 bila Rwanda kuanza kutumia ardhi hiyo, basi itanyangwanywa na atapewa mwingine anaeweza kuiendeleza. Lengo lilikuwa kuendeleza shughuli ya kilimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…