Rwanda: mkulima alalamikia uwezo wa kufikisha mavuno yake sokoni.

Rwanda: mkulima alalamikia uwezo wa kufikisha mavuno yake sokoni.

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Nchini Rwanda, mwekezaji wa kilimo bwana Jesse Ratichek, mwenye mashamba ya ukubwa wa Ha 5,600; alisikika akilalamika kuhusu uwezekano wa yeye kufikisha mazao yake,ambayo ni mboga mboga soko la Ulaya. Mkulima huyu, anadai kwa sasa ana uwezo wa kupata Tani 500 kwa mwezi,ambazo ndo hubebwa na ndege ya mizigo ya RwandAir kwa kipindi hicho, na kwa kuwa hawezi kuuza peke yake, anakula hasara. Anatarajia kufikia Tani elfu tatu ifikapo mwaka 2026, na kwamba ikiwa hatapata uhakika wa kufikisha mazao yake sokoni, basi ataacha.

RwandAir, imemuahidi kufanya kila inaloliweza kupata ndenge nyingine ya mizigo,kumsaidia.


ATC haiwezi kubeba mizigo hii?
 
Back
Top Bottom