VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,494 Reaction score 1,466 May 26, 2025 #1 Msemaji mkuu wa Serikali ya DRC, Patrick Muyaya, akisema kwamba, DRC ni nchi kubwa ya ukanda. Hii inatosha kuonyesha kwamba, Rwanda, Burundi na nchi nyingine jirani, haziwezi kuishi bila Congo, wakati Congo inaweza kuishi bila nchi hizi. Ni kweli? Attachments Umujinga cyane. Kwiyemera n’ubujiji iyo bijyanye bibyara iki Muyaya ati; u Rwand.mp4 493.6 KB
Msemaji mkuu wa Serikali ya DRC, Patrick Muyaya, akisema kwamba, DRC ni nchi kubwa ya ukanda. Hii inatosha kuonyesha kwamba, Rwanda, Burundi na nchi nyingine jirani, haziwezi kuishi bila Congo, wakati Congo inaweza kuishi bila nchi hizi. Ni kweli?
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,847 Reaction score 9,374 May 26, 2025 #2 Ngoja tuone.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,975 Reaction score 1,252,369 May 27, 2025 #3 Aiseee
Good day to die hard Member Joined Apr 16, 2025 Posts 38 Reaction score 25 Jun 21, 2025 #4 Bila shaka ni kweli