Katibu katika Wizara ya Afya nchini Rwanda, Dk. Yvan Butera, alitangaza kwamba mtu mmoja kati ya watano nchini Rwanda amepata tatizo la afya ya akili.
Matatizo yaliyoenea zaidi kati ya haya ni pamoja na wasiwasi na mfadhaiko, matumizi mabaya ya dawa za kulevya na pombe, na magonjwa mengine ya akili.
Nchi hii inaelekea mwisho wa siku tutapata kumbe sifa zote za mchongo