Russia yajiandaa kuzindua chanjo ya virusi vya ukimwi(HIV)

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Watafiti wa shirika la Gamaleya huko Urusi, wamesema miaka miwili mbele, chanjo ya ukimwi itaanza kutolewa baada ya kuidhinishwa na shirika la afya duniani.

Sputnik V,chanjo ya Covid-19 iliyojizolea umaarufu kwa mafanikio ya 97.8%, ni kazi ya Gamaleya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…