VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,494
- 1,466
Watafiti wa shirika la Gamaleya huko Urusi, wamesema miaka miwili mbele, chanjo ya ukimwi itaanza kutolewa baada ya kuidhinishwa na shirika la afya duniani.
Sputnik V,chanjo ya Covid-19 iliyojizolea umaarufu kwa mafanikio ya 97.8%, ni kazi ya Gamaleya.
Sputnik V,chanjo ya Covid-19 iliyojizolea umaarufu kwa mafanikio ya 97.8%, ni kazi ya Gamaleya.