RIB yakabidhi simu za milioni 77 na nusu walioibiwa Rwanda

RIB yakabidhi simu za milioni 77 na nusu walioibiwa Rwanda

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,494
Reaction score
1,466
Rwanda Investigation Bureau, imekabidhi watu mbali mbali simu zao zilizoibiwa kwa nyakati tofauti ndani ya miezi 5. Zoezi hilo limeambatana na kuwekwa wazi, watu 14 waliohusika na wizi huo.

Ni simu 332, zenye thamani ya Faranga za Rwanda, Milioni 77 na laki nane.

Walioweza kupata simu zao, ni miongoni mwa walioweza kutoa taarifa kwa wakati, baada ya kuibiwa na kuwa na vielelezo vya kuwa simu zilizoibiwa zilikuwa mali zao.

Pichani, ni walioitwa kukabidhiwa simu zao baada ya kupatikana.

1747337820006.png
 

Attachments

  • 🎥AMASHUSHO🎥 Urwego rw'Ubugenzacyaha (@RIB_Rw), rwasubije ba nyirazo telephone .mp4
    77.4 MB
Safi sana hii ingekuja bongo ingependeza sana
 
Back
Top Bottom